Waheshimiwa,
Am writing a research paper on Controversial Status of Zanzibar within Tanzanian federation and i would like to get some information regarding the topic. Can any one accurately inform me of:
*the number (and names) of Ministers and Deputy ministers who are Zanzibaris
*the number (and names) of Ambassadors and Counsels who are Zanzibaris
*any other variable to strengthen my research.
i would also appreciate if any one directs me to a source of any of this information.
I advance my gratitudes for your kind responses.
i may be reached at
hamad@samf.aau.dk
Wassalam.
Hamad
Mdau hiyo research yako sijaipenda hata kidogo. Kwanza the number of Zanzibar ministers wana uhusiano gani na controversial status of Zanzibar within Tanzania. Hayo maswali yako kawaulize Wazanzibari wenzio usitake kuamsha hasira zetu asubuhi asubuhi.
ReplyDeleteWhat is yuour research question and what is your research problem. Is this your research project for completion of your PhD or MA..
ReplyDeleteHow old are you? Dont let this people in CUF misleading you on this topic and carry way from this issue. TZ mainland has done a lot for Zanzibar people particularly, in government position. If you look at government official back in days, Salim Ahmed Salim worked for Union government ever since when he was 22 years old, Sharif Ahmed attended USDM for free, Dr, Salim Amrour worked for Union gov, Dr,Bilal worked for Union gov before he became Waziri Kiongozi, Retired President Mwinyi was minister for Union gov and Balozi, Amina Salum was minister for Union gov, Aboud was TZ Accountat general was minister for union gov, Fatuma Said Ally was minister for Union gov, Karume young brother is diplomat in Italy, there so many Zanzibarian who have been enjoyed equal opportunity but....what can you say....
ReplyDeletekijana hujasoma somo la research vizuri. kwanza kabla ya kuamua reseach topic hayo mambo ya vitabu, materials na data collection ulikuwa uyazingatie. jee topic yako ina literature review ya kutosha? jee hakutakuwa na ugumu wa wewe kupata primary data? haya ni maswali ya kujiuliza kabla ya kuamua topic ya research.
ReplyDeletesasa wewe kabla ya kujiuloiza hayo umekurupuka na kutaka kufanya research ktk hiyo ishu y muungano unadhani utafanikiwa? na nani atakaekuwa tayari kukupa data?
fikiria tena na kama kuna uwezekano badili utafiti wako.
Huyu hana nia njema wadau! Research gani ya kifitini hiyo?
ReplyDeleteHakuna nchi inayoitwa zanzibar, bali kuna mkoa unaoitwa zanzibar na mkoa huo upo katika nchi inayoitwa Tanzania, full stop.
ReplyDeletenadhani mdau anataka ku-compare power sharing of the two constituent members of the union. nahisi ni jambo zuri kuliandikia na si vibaya kama tutampa michango yetu. je hii ni research ya shahada ya uzamili au ya udaktari wa falsafa? nitakutumia some info kwa email yako.
ReplyDeletekila la kheri ndugu.
Bwana Hamad et al,
ReplyDeleteThe choice of the title of your research is something governed by academic principles, I will not ask you why you have chosen this title like others who did in the above.
The only thing that I would question is, how much can you rely on the blog information for your academic research ? If I was your professor I would surely deny you good deal of marks for not consulting the proper sources. (This is just an advise). All of the information you are asking is easily available on Bunge and Ministry websites.
And for patriotism reasons: I used to know more than 90% of the Ministers and from their respective "majimbos" (It is not must for you but if you are interested in this topic then I would expect you to be like blogger/Ms "Magazeti" above)
For the rest of the contibutors in this topic. The academic questions or reserches should not be mixed up with our political affiliations and dicourage Bw Hamad in one way or another. There should be academic freedom in this country.
I remain.
Tena Wa Zanzibari walio wengi hawajui kwamba erikali ya mapindusi haina uwezo wa kulipa hata mishahara ya wafanyikazi wake wenyewe hili limekuwa jukumu hili limnabebwa na serikali ya muungano kwa kodi za wavuja jasho wa Tanganyika, usitutie kichefu chefu asubuhi na mapema hivi!
ReplyDeleteI quite certain the final outcome of your research paper is to take us (Tanzanians) a step back not forward. Next time, as a research commissioner, you may launch a research to find out the controversial status of us Musoma and probably ask for names of Musomaians who have held ministerial posts since Nyerere left office. I can assure you from now - that will scare me...
ReplyDeletesijawai ona toka nzaliwe,yan unatafuta desa la research paper bloguni??
ReplyDeletetena ishu yenyewe muungano?yan wee mtanzania au hujui viongozi wa nchi hii?mana ata kalenda imejaa adi picha zao ao wa-zenji
tia timu uko
RESEARCH TOPIC AND RESEARCH PROBLEM
ReplyDelete???
ovyo
kaka, kama unashindwa kujua kitu rahisi kama number of ministers who are zanzibars, i seriously think you just need an internet degree, you are just not inteligent enough for a real degree!
ReplyDeleteHamadi, there is no Federation or Federal government of Tanzania.
ReplyDeleteWe have the United Republic of Tanzania, from the Union of two countries Tanganyika and Zanzibar.
Go to the Tanzanian gov't, Bunge,ministries(departments), wikipedia etc etc websites, but mind you, the info you get from the websites are not conclusive so do further research.
Mdau
Bandari Salama.
Hii inaonyesha wazi sisi Watanganyika tulivyochoka na Muungano na Wazanzibari. Huyu Hamadi ameomba mchango na sisi tunatoa maamuzi ( conclusion)
ReplyDeleteTumesahau kama kwa miaka 10+ ya mwanzo ya Muungano serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ilikuwa inatoa mchango mkubwa zaidi wa kuendesha huduma za Muungano na hakuna aliyepiga kelele. Leo hii Wazanzibari wamechacha na wanashindwa kulipa mishahara imekuwa tabu.?
Mfano mmoja tu, BOT inatakiwa itoe siyo chini ya 5% ya faida (dividends) kwa mwaka kwenda Zanzibar , kiasi ambacho kingetosheleza malipo yote hayo lakini BOT haijawahi kutoa fungu hilo hata mwaka mmoja, wakati BOT imeundwa kwa mtaji wa pamoja.. Hazina yote ya fedha za kigeni ilihamishiwa DSM ili kuanzisha BOT.. nani anapata faida sasa hivi?
Kweli Wazanzibari walipata nafasi nyingi kwenye serikali ya Muungano , lakini jee , ilikuwa ni "favour" au haki yao ya Muungano ?
Turudi kwa Bw Hamad. Sisi Watanzania kwa ujumla hatuendelei kwa sababu tunakandamiza uhuru wa fikra. Ni "research" nyingi duniani zinaaandikwa halafu zinaonekana mbovu hata hazifai kusomwa , lakini tunaamua hivyo baada ya kusoma kilichoandikwa ndani...Hamad hasomi chuo cha CCM Kivukoni. Nilivyopita Kivukoni hata mimi ningeipinga research yake..
Maendeleo yanaanaza na uhuru wa kufikiri, kusema na kuandika. Watanzania tuache ukiritimba wa mawazo kama tunataka maendeleo ya kweli.
Mtanzania halisi.
Any way,hii reseach yako ni mbaya kwani mpangilio wake si mzuri na una mambo ya siasa ndani yake kiasi kwamba haitafaa kabisaa.
ReplyDeleteKwanza Zanzibari ni Unguja na Pemba,Ambapo Unguja,pemba na Tanganyika ndio tukapata Tanzania.
Swali Kwanini Zanzibar si Pemba,Tanganyika au Unguza ndani ya Tanzania?Let this be my challenge for you today.[dazd@windowslive.com]
Kweli sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana. Kijana wa watu ameulizia msaada wa kupewa information na ataipata wapi. Mara Oh wengine wameanza kuonyesha umahiri wao kuanza kui criticize research yake na kumuulizia maswali ya kumkatisha tamaa. Je nyie ni waalimu wake? Je nyie ni ma supervisors wake? Mnajua hata anasoma shule gani? Mnajua pia kwamba anasomea nini?
ReplyDeleteKuna wanao ulizia topic yake, sijui research problem etc. HIlo sio alilo ulizia. Ameulizia data na anajua anachotaka kukifanya. Nyie mbona mnajifanya wajuaji?
Wengine wameanza kuiponda research as if wao wanajua zaidi. Hii inanikumbusha wakati Bwana Ford aliposema anahitaji kwa kipindi fulani awe anatengeneza magari kwa wingi (mass production) wajinga wakaanza kumshushua. Hatimaye aliweza kufikia lengo lake ijapo wengi walimpigia makelele na kumkatisha tamaa kama mfanyavyo kwa huyu kijana.
Zaidi basi hakuna aliye mshauri kwa kumpa research problem inayofanana na nia yake basi kumsaidia (ijapo najua hamuwezi hilo). Nasema hamuwezi kwani hamuwezi kumpeleka mtu jinsi mtakavyo. Hata Supervisor wake hakumlazimisha afanye nini bali alimpa uhuru wa kucheza uwanjani.
Basi hitimisho langu, tumwache kijana uwanja acheze. Swala la kuandika research na Tanzania kurudishwa nyuma hayana uwiano wowote.
Swala eti atakosa data sio kweli kwani inategemea na approach yake. Utajuaje kama atatumia method isiyo ya moja kwa moja (indirect) kupata data?
Zaidi basi ni watu wengi wapo tayari kutoa maoni yao kuhusu muungano mbona? Fikirieni kabla hamja mkosoa mtu just because mnapenda kukosoa.
Baada ya kuwashushua kidogo ngoja nimsaidie Kijana.
Swali lako kijana unahitaji data za mawaziri wa zenji. Nenda kwenye website ya government upande wa Zenji utapata data za kutosha hata na za wabunge (wawakilishi - ebo wengine walingojea eti wanilime kwa kutokuwataja wawakilishi - nyooo) na hata data za upinzani vilevile. NEnda kwenye website ya Bunge, utawapata na hata credentials zao zipo asikudanganye mtu. Huna haja ya kuulizia website inaitwaje. We type kwenye explorer yako ama google - bunge/ government of tanzania website/ etc mambo yatajipa menyewe.
Kijana uliulizia kuhusiana na data za controversy ya TZ bara na VIsiwani (nchi mbili tofauti zanazodai kuwa nchi moja japo umoja huonekani ki mtazamo makini = we type kulekule niliko kuelekeza,type status of Zanzibar in its relationship with the mainland/ ama misunderstanding between zanzibar and mainland etc. HUko utapata pa kuanzia kijana. Mfano soma article imeandika kwa ufasaha toka hii site:
http://www.tzaffairs.org/2008/09/zanzibar-two-issues/
Mwisho niwachambe tena wale wanajifanya ni wataalamu mbuzi wa kumkaba mtu koo utadhani wanamfanyia mtu VIVA kumbe wao hata darasa hawajalifikia. mtu akisikia tu research problem ama statement of the problem anajiona bitozi kumbe mweleze aandike yake basi utacheka. Nyiee. Mngelikuwa darasani kwangu ama ningelikuwa supervisor wenu walah ningeliwakamata mashati hadi msapu ama mkinye cha mtema kuni. Poleni lakini kwa kuwagombezeni. Poeni basi nyiee. msirudie lakini. mkiombwa msaada toeni msaada na sio muone mmepata uwanja wa kupiga.
naondoka kwa mikwara na athubutu mtu kunijibu vibaya atakiona
Unaweza kupata idadi yao, na mambo mengi mno ktk kitabu cha ZANZIBAR AND THE UNION QUESTION kilichoabndikwa na Haroub Othman na Cris Maina Peter.Hapo utapata mambo mengi ambayo yatakusaidia ktk research yako.
ReplyDeleteAll the best
MAKULILO, Jr.
www.makulilo.blogspot.com
Kweli kuna mananga humu ndani! Research ya PhD aje kuwauliza majina haya? Unadhani PhD unaandika tu jamani? It takes 3 years, sio 1 week mwanangu, and its serious research na data collection. Sio ujinga huu.
ReplyDeleteNo offence intended, just clearing the air!
mtoto
usitipoteee muda toa pesa ingia darasani ujifunze. una akili wewe, ina maana utatoa reference michuzi dot com ndiko ulikopatia data. hii sio research una kikao cha kijiweni na wakosa kazi sasa unataka utumie nguvu zute kujifanya unajua. hata project ya idato cha tat haiokotwi data kwa style hii.get lost
ReplyDeleteUsisahau kuweka namba ya Wazanzibari waliojazana kwenye Bunge la Muungano, 50 kati ya majimbo 232 ya nchi nzima.
ReplyDeleteKuna Watanzania takriban mil 40 jumla, Wazanzibar kama mil 1 kati yao. Kwa hiyo Watanzania 214,285 wana mbunge mmoja (mil 9 gawa kwa majimbo 182 ya bara), lakini kila Wazanzibar 20,000 tu wanapata mbunge (mil 1 gawa kwa 50).
Kwa maneno mengine, Wazanzibar wako over-represented mara kumi ya wa Bara (laki mbili gawanya kwa 20,0000).
Over-representation katika demokrasia za Bunge na upigaji kura maana yake watu wachache wana nguvu ya maamuzi ya wengi, Mbunge wa Zanzibar kura yake ni nzito zaidi ya Mbunge wa Bara mara kumi.
Hebu msituwekee usiku Bungeni na kwenye cabinet, jikateni, kajiungeni na mnaolingana nao, Comoro wanatafuta mtu wa kujiunga nao, nendeni. To hell with ya'll Pembas and Shirazis etc etc...Jikateni.
research yako ni nzuri sana. ngoja nikumegee data.
ReplyDelete1.wazanzibari wako mil 1 wakati wabara wako ni mil 36.
2.idadi ya wakazi wa zanzibar ni sawasawa na wakazi wa wilaya ya kinondoni mkoani dar-es-salaam.
3.wabunge wa zanzibar hushiriki vikao vinavyojadili masuala ya bara bungeni na kupokea posho isivyo halali.
4.zanzibar ina wabunge na wawakilishi wengi kulinganisha na bara. rejea ule mlinganyo wazanzibari ni mil 1 wakati wabara ni mil 36.
5.zanzibar haichangii chochote katika uendeshaji wa shughuli za muungano.
6.zanzibar inapata 4.5% ya mgao wa mapato ya serikali ya muungano wakati mchango wake kwenye hazina ya muungano ni 0%.
7.zanzibar ina wananchi wachache kuliko mkoa wa mwanza lakini ina mawaziri na mabalozi wengi kuliko wenyeji wa mkoa huo.
Bakahau hizi ndio kerto za Muungano, wawaona jamaa wanavyokuwa wakali kama mbogo? usijali na kuvunjika moyo, kesho nitakupa data zote unazotaka kwa kutumia e mailo yako
ReplyDeletejamani hamuwezi kuwa wakali kiasi chote hicho wakati hamujui research objective zake huyu ndugu Hamad. Lakini nimeona wazi kuwa waliotoa hizi comment ni vichogo watupu na ndio maana comments zao zimeambatana na chuki. Kama kuna watu walitumikia taifa katika position mbalimbali kama kina Salum Ahmed na wengineo ni kwamba walikuwa wakitumikia nchi kwa jina la Tanzania na sio kui-favor Zanzibar, na kama Seif Sharrif amesoma bure pia hakufanyiwa favor ila amepewa haki yake ya msingi ambayo kila mwananchi anatakiwa kupatiwa katika nchi yake husika... na kama hujui hako zako za msingi basi nakwambia kuwa moja ni kupatiwa elimu.. ndugu Hamad usife moyo tutakutafutia hizo source na kukupatia
ReplyDeleteMdau Hamad,
ReplyDeleteSafi sana ... wewe chuja pumba na mchele utapata data na pointers to more data.
Kuna wadau wa OLD SKUL wanakasirika kuona unapeta kiulaini wakati wao enzi zao Michuzi hakuwepo walikuwa wanahenya maktaba mpaka saa nane usiku.
Leo mzee unapeta na Google tu, roho zinawauma ... mara oh internet degree ... oh sijui hiyo sio research ... kumbe hawajui mambo ta teke linalokujia.
Watanzania tujaribu kuwa wastaarabu jamaa ameuliza swali mnamshushia shutuma nzito nzito,kijana ameuliza swali ilikuwa wajibu wenu mujibu kama hujui kaa kimya fullstop,na kwanini nyinyi wadanganyika anapotokea mtu akidadisi kuhusu muungano mnakasirika??!!Pana siri kubwa hapa mimi yangu macho tu!!!!!!!
ReplyDeleteHamad,
ReplyDeleteResearch za hivi huwa hazifanyiki tanzania kwani hata maprofesa wanaogopa topic hiyo, wengine hawaitaki, kwani mara nyingi huonyesha makosa ya muungano ambayo watu hujisikia vibaya.
Research kama hizi hufanyikia nje kwa uhuru kabisa. Na usithubutu kuomba msaada bara maana utaishia kupewa maneno mabaya na kukatishwa tamaa isipokuwa watu wachache. We kama unataka data nzuri omba kutoka visiwani watakupa zoote.
Hii ni miongoni mwa zile mada amabazo watu hawapendi zijadiliwe sijui kwa nini na husema muungano hauna matatizo. Au hakuna ubaguzi, bila hata ya ushahidi kwa sababu katiba yetu haina sheria ya kuchambua ubaguzi bali inanadi kutokuwepo ubaguzi.
Ka-reserch kamekaa KIMDEBWEDO sana, haiingii akilini kwa mwanafunzi wa PHD kutafuta kitu minor kama hicho kupitia blog, mwanagu kukuruka na google au website ya sirikali utapata hiyo habari, au mwulize mtoto wa std VII atakupa jibu.
ReplyDeleteMnaosema wazanz hawawezi hata kujilipia mishahara yao,mukatafute vitabu muisome historia ya waznz kabla ya muungano,utajiri uliokuwepo Znz enzi hizo ndio uliokufanyeni nyinyi watanganyika muungane na Znz,sasa hayo hamuyajui au mnajitoa fahamu?Msitutie uchungu hapa tukasema mengi,michuzi usibanie pls.
ReplyDeleteMichuzi umezidi kuminya comments jamaa juu hapo wametapika na kuwakandia waznz wala hukuzibania comments zao mimi nimeongea ukweli juu ya nyinyi ndugu zetu wa kitanganyika umeibania,unafuja kinoma noma.
ReplyDeleteNyinyi mmekuwa mnapiga mayoye huku mkisema sisi watanzania hivi na vile Kiboko Mtu mmoja tu ndie Mtanzania Mungu amlinde na ampe Nguvu zaidi (ROSTAM)
ReplyDeleteKuuliza si ujinga:ndugu wasomi, kama mnashindwa kumjibu mtu mpumbavu swali, mtaweza kumjibu mtu mwerevu? Kwanza, ndugu hajasema anafanya PhD au MA; pili, ndugu huyu hajajua hata research maana yake nini. Naona yeye ajua research ni mkusanyo au descriptive list of material available. Ushauri mzuri amepewa na watu waungwana ktk blog hii kwamba research yake sio researchable kwani hajajiuliza maswali muhimu kama yafuatayo: why are you asking this question? who has the information needed to answer it? will they give it to you? how will you get it from them? will their replies answer the question you set earlier on? nk. Zaidi sana, lazima research iwe ndani ya ethical norms, kama nia ya utafiti ni kuchochea hisia mbaya, utaishia kutiwa vidole machoni badala ya kutoa report ya utafiti wako. At any rate, muuliza swali does not seem to be too foolish. Ndugu, you are not too foolish. Mlahabwa, UK
ReplyDeleteNafikiri umepata pa kuanzia, hata hayo matusi ni data. hizi commments zote ni part ya research yako. Hongera sana na natumaini u mwanaume strong kwani tumembiwa mtu mwenye nguvu ni yule anayeweza kuzuia hasira zake,. Zote hizo ni input usiache kutumia hata moja utafanikiwa. na ukishafanikiwa tujulishe kwa ktuwekea link kwenye blog yetu ya jamii.
ReplyDeleteSijaona kama mdanganyika nafaidika nini na huu mwungano.
ReplyDeletehaya ulichokiata umekipata na hata usiyo yategemea pole sana
ReplyDeletelakaini kumbuka hakuna nchi inayoitwa Zanzibar bali kunamkoa wa wa zanzibar