mkuu wa wilaya
pole kwa kazi mkuu. mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 32. nilikuja nchini marekani mwaka 2003 kwa ajili ya masomo. sasa hivi nimekamilisha masomo yangu na kufanikiwa kupata ajira na kampuni ya mawasiliano huko Seattle,Washington. kadhalika nimeamua kutatufa mwenza.
ninayemtafuta ni dada mwenye mvutio wa aina yake figure safi na reception ya nguvu, ningependa sana dada aliye marekani mwenye umri kati ya miaka 25-29 na pia awe na angalau shahada ya kwanza. mlevi sitaki, ila ningependa dada mtaratibu na mcha mungu kwani mimi ni mcha mungu pia. walio nyumbani pia ningependa hasa kama anaweza kupata visa ya kuja marekani. nitashukuru sana ikiwa utaliweka ombo langu katika globu ya jamii
dada yeyote ambaye anadhania kwamba anaweza kuwa na hivyo vigezo naomba aniandikie ili tujuane zaidi. Ningetafuta mwenye lakini maeneo ninakoishi na kufanya kazi hakuna watanzania, pia naomba aambatanishe picha yake. hii itakuwa ni siri
mdau
Seattle, Washington
richardmugisha28@yahoo.com
Mimi naomba uweke picha kwani mimi ni binti niliye na sifa hizo ila sitaki kuanzisha uhusiano halafu nikagundua kuwa wewe siyo good looking guy nitashindwa la kukuambia kaka. Ni heri nijue kabisa unaonekanaje kabla sijaanzisha uhusiano wowote. Na hilo jina mugisha halinivutii kabisa.
ReplyDeleteSasa kaka yangu ombi umetoa na sisi single ladies tunataka kujua qualifications zako sio zetu tu..Urefu wako,rangi, mimi as single ni mgonjwa wa urefu na rangi.kabila dini,umesomea fani gani?je upo tayari kuishi marekani for life au unampango wa kurudi kusukuma gurudumu hom?mhh be specific hii ehormony ya michuzi profile yako is not complete!Michuzi na wewe usibane hii..maana hujatulia...all the single ladies x2 put ur hands up!
ReplyDeleteRichard,
ReplyDeleteHongera sana kwa wazo zuri ambalo mara nyingi watu walioko ughaibuni huwa hawalifikirii.
Nataka nikupe changamoto kuwa je ukimpata mwenye umbo unalolitaka halafu akija kuzaa itakuwaje na umbile likabadilika utamuachaa au itakuwaje?
Mtanzania,
tmajaliwa@yahoo.com
wabeba box mnambwebwe kweli, sasa wewe unataka kuowa mwanamke usiye mfahamu. hiyo shule uliyosoma haijakusaidia.
ReplyDeletekwani hukuwahi kuwa na girl friend huko chuo au mtaani kwenu? kama ulikuwa naye muowe huyo. kwa sababu mnafahamiana na mnaweza ishi.
pia kitendo cha kutaka wanawake watume maombi kwako ni udharirishaji.
kama vp rudi kwenu bukoba katafute mwenyewe.
NAHISI KAMA UNA AKILI PUNGUFU MAANA UNAPOSEMA MWANAMKE MWENYE MVUTO WA NGUVU UNAMAANISHA NINI? KWASABABU MVUTO WA MTU KILA MTU ANA UFAFANUZI WAKE NAOMBA NIKUSHAURI KITU KIMOJA NDUGU YANGU SWALA LA MKE HALIJAKAA KIMZAHA KIASI HICHO FANYA SUBIRA UKITAFUTA TARATIBU MTU AMBAYE ANAMVUTO UNAO UTAKA WEWE MAANA KILA MTU ANA MVUTO WA NAMNA YAKE, NA USIJE UKASHANGAA UTAKAPOMPATA WA STYLE UMTAKAYE WENGINE WAKIDAI HANA MVUTO, TAFUTA MKE MWENYEWE TARATIBU NDUGU YANGU AU SUBIRI MPAKA UTAKAPOJUA NINI MAANA YA MKE MKE HUWEZI KUMPATA KWA KUTANGAZA TENDA UTAKACHOWEZA KUPATA KWA STYLE HIYO NI MWANAMKE LAKINI SIYO MKE. SIJAFURAHISHWA KABISA NA TANGAZO LAKO NA JITAHIDI USIFAHAMIKE MAANA KILA MTU ATAKUDHARAU. MICHUZI UKIENDELEA KUPOST HUU UJINGA NITAWEKA VIKWAZO VYA KUSOMA HII BLOG
ReplyDeleteshomile waitu
ReplyDeletena wewe je unafananaje??mana ni ndoa iyo utakayo sio utumwa so ji-introduce specifically na picha pia
yan seattle hakuna wa-Tz??????
akizaa je,akipata ajali je,akipooza je?
BOJOOOOO
Hivi kweli inakuingia akilini. Mtu umetoka Bongo kwenda kusoma nje. Ukishapata maboxi yenu ndio mnarudi na kuanza kuwadanganya dada zenu eti unatafuta mchumba na vigezo kibao. Hakuna la maana hapa; wkt unaenda kusoma hukuwa na girlfriend mtaani au secondary, Umemuacha wapi? Au ndio nyie mnaowatosa dada zenu mkienda majuu kwa kifikiria maisha umeshayapatia. Eti awe na shahada si umsomeshe kama kweli unampenda,Eti achukue Visa aje marekani akija na usipomkubali utamlipa gharama zake na usumbufu. Na nyie akina dada tumie akili sana mnapochagua wanaume(wachumba) utapapalika na elimu ya mshikaji kisa marekani wkt humjui unaniwake na kama ana True luv, Ukaja jutaaaaaaaaaaa kumfahamu. Nawe mtafutaji then upo nje unadhani Mchumba wa kuishi naye anapatikana kwa mda mfupi hivyo, Utamsoma saa ngapi na kujia nia yake kwako. Tumie akili kuchambua mambo ya mapenzi usidhani lele mama. Ukichesha kuoa au kuolewa (Wife material Or Husband material) Umechemsha maisha. Unaanza kujenga ma stress kichwani kazi haziendi na shule(further education) kiasi mpenzi anakuchanganya na tayari mmefunga ndoa tena Ndoa ya kanisani isiyoruhusiwa talaka. Think twice. Ushauri wa bure kwa unayetaka mchumba bora Uchukue Long leave uje home utazungukazunguka na kukutana ma mabinti mtakaa na kusomana na kujuana tena bila papara nakupata mmoja mwaminifu( kupata demu sio tatizo bongo bali mwaminifu na mkweli mwenye mapenzi ya dhati. ALL THE BEST
ReplyDeleteWewe unataka kuoa Tanzania kisha unasema mwanamke aweze kupata viza ya kuja Marekani na sio kama wewe umpatie hiyo viza.Uko na akili lakini? Watanzania wako kibao huko Seattle, nenda kwenye viwanja tu.
ReplyDeleteau tafuta tasha mambo yaishe. Nyama ni nyama tu.
Hivi wewe jamani katika dunia ya leo kuna mtu anatafuta mchumba kwa vigezo katika mtandao??
ReplyDeletelol na wewe muhaya gani ambaye huwezi hata kutongoza huko ulipo na kupata mchumba na baadae mkafunga ndoa baada ya kukubaliana naye hadi uombe msaada humu??? lol na kwa kabila hilo i hope uwezi kupata mchumba ..
I think attractions come first from the look, post your photo and personal particulars like height, weight, body type etc so single ladies can decide what they are in for........i understand your concern i also work full time and i don't hang out really so it hard for me to meet men and my age is running too,I'm 24 going 25years this might be opportunity to meet you but I'm not for anyone but the one i will like at least by look.....
ReplyDeleteRichard.... kwenye list ya sifa ongeza, mwanamke awe anajua kale kamchezo... ka kate....
ReplyDeleteWe rudi kwenu ukatafute...coz bongo wasanii wengi utapata mbuzi kwenye gunia..Naweza kujifanya mtiifu hata mwaka lkn si lolote pengine nilikuwa changu...Uzuri sio sifa kaka wazuri wengi ila tabia jee??...hivi wewe ulilelewa na wazee gani ambao hawakukufundisha jinsi ya kuchagua mchumba? Hakika nakuhurumia...Na katika tamaduni ya kiafrika japo tunaiga wadhungu sio vyema mwanamke kumuomba uhusiano mwanaume...Je wewe tabia yako tunaijua? Pia hata kama ni nzuri anaweza kutokea mwanamke akajiona ni mzuri akakuletea picha umakamkataa kutokakana na mtazamo wa macho yako yalipofikia Je unafikiri utakuwa umemtendea vyema mwanamke huyu..Si utakuwa umemdhalilisha na kujiona yeye sio wa thamani? Hebu rudi kwenu hata kwa livu then uchague unayemtaka...Pia siku hizi wapenzi ni kukaa kwa muda mujuani tabia kidogo ndipo muoane bila hivyo mnaweza msifike popote katika upendo wenu....Pia kwakuwa umeandika hivi unamtaka mwanamke unaweza kumpata unaempenda kutoka TZ sifa akawa nazo zote lkn kutokana na sababu za yeye kutaka kuja nje atakuja ila anaweza asiwe amekunda na baadae kukutosa akapotelea huko huko na kuchukuliwa na anayempnda wewe ukabaki holaaaaaa......
ReplyDeleteTia akili kijana....
wewe unabeba box hadi unakosa muda wa kutafuta mke.Huyo mke atakuwa na taabuuu akipatikana.nakushauri uende kwenu Bukoba ukatafute huko ukishindwa chukua vizee vya ughaibuni vilivyokata tamaa.Halafu, nisisahau kukwambia kwamba wanawake wazuri sana hawaolewi! si umeshaona wameanza kukwambia wanataka urefu,rangi,umbile,n.k watakuuzia chai tu na baadaye ujuute kuwafahamu.
ReplyDeleteKaka Mke mwema anatoka kwa bwana ohhhhhhh mkemwema. Ndugu Mwanamke mzuri sio sura wala umbo mwanamke mzuri tabia, hizo zote ni nyimbo zenye maana hasa. Ukipenda Umbo, akizaa akanenepa shapu ikawa no. 11, badala ya 8, utafanyajee? sura nayo akipata ajali akawa haangaliki itakuwajee? nakukumbusha kutumia njia sahihi zaidi kutafuta mke. wenzio tulioa tuliangalia vitu vya msingi zaidi, hayo yalikuwa ya mwisho. kuwa muangalifu kama unataka kweli Mke kwa maana ya Mke, la kama unataka Mke kwa maana watu wakuone mke wako anashepu na sura nzuri kila la kheri ni hayo tuu.... au mtani si uende BK kule mmejaaliwa ati.
ReplyDeleteMbagala Mabomu
HUYU JAMAA ANA MPANGO WA KUPATA MKE WALA NINI. KWANI KAMA UKITAKA KUOA MTANZANIA NI KITU RAHISI KUJA TZ NA KUOA NA KUONDOKA NA MKE. KWANI KUNAPUNGUZA KASHESHE ZA KUTAFUTA AU KUPATA VIZA. UKIONA HUYU JAMAA ANASEMA HUYO MSICHANA WA TZ ATAFUTE VIZA BASI UJUE NI MBABAISHAJI. NAOMBA KINA DADA MJIANGALIE NA HUYO JAMAA ANA NIA NZURI. JAMES- LONDON
ReplyDeletemugambire kaishoz utamjua tu,mikwara mingi wakati hamna lolote,wote walio marekani wangekua na style km yako sijui ingekuwaje,ushamba na depresion inakusumbua zama mtaani tafuta demu mwenyewe au domo zege?mnamwambia arudi bongo akachukue mke wakati yeye mwenyewe kajilipua baada ya kumaliza masomo!akirudi bongo ndo kwaheri marekani mpk atafute visa tena,naona kachoka kupiga mkono sasa anatapatapa kaka km we mjanja rudi kwenu bukoba utakuta umeandaliwa mke kabisa wa kulekule nyumbani
ReplyDeleteYaelekea mdau ni selfish sana.
ReplyDeleteUnataka dada mwenye mvuto wakati wewe mvuto wako haujulikani? Usiuzie watu mbuzi kwenye gunia. Anaomba aambatabishiwe picha lakini yeye hajaweka picha yake hapa. Anataka dada anayeweza akapata visa. Kwa nini wewe usije kumuoa ukaondoka nae kama kama mke wako ili apate visa kwa mgongo wako.
WADADA MSIINGIE MKENGE WA MABWANA WA DIZAINI HII, MTAJUTA KUZALIWA, MTU KUWA MAREKANI KUSIWABABAISHE, MAREKANI NI MICHOSHO TU.
ReplyDeleteUKIONA MTU KASHINDWA KUTAPA MWANAMKE HUKO ALIKO HADI AKAFIKISHA UMRI WA MIAKA 32, UJUE ANA MATATIZO MAKUBWA.
HAWEZI KUTAFUTA MWANAMKE KWA AJILI UA UBIZE, HUYO ANA MATATIZO SANA. INAWEZEKANA HAWEZI KUISHI NA MWANAMKE KWA JINSI ALIVYO NA TABIA MBAYA, NA HAPA ANALETA KISINGIZIO KWAMBA ENEO ANALOISHI HAKUNA. OF ALL THE PLACES UNITED STATES MADEMU KIBAO!!!
HUYU sio mhaya,mhaya hawezi omba msaada katika kutafuta mke-wahaya ni hot cake in fwacti angekuwa muhaya mijike ingeshajitongozesha-huyu atakuwa haya makabila ya ajabu,ajabu kama wachaga au wasukuma
ReplyDeleteteh teh teheeee kaaazi kweli kweli....! kaka japooo ungetuonyesha passpoti saizi yako tucheki mvuto upo au ndo yale yale.... najuuuuta kukufahamu!
ReplyDeletewewe anon. unayesema huyo siyo mhaya unataka kumkataa ndugu yako.wasukuma hatuna majina ya Mugisha halafu chapa ng'ombe hawezi kukosa demu weweee labda kama huwajui wasukuma vizuri.msukuma hawezi kwenda kubeba box marekani na kuacha ng'ombe wengi nyumbani asitamani kurudi.Huyo ni Mhaya tena wa Kanyingo maana mapomp yake yanaonesha hivyo. Nshomile kazana mwana waitu labda utapata anayejua kale ka mchezo ka ..kate..ro.
ReplyDeletemtajuuuuuuuuutaaaaaaa!
ReplyDeletekumFWAhamuuuuuuuuuuuu!
Wee anony wa May 14,2009 12:30 shika adabu yako allaaah! Wachaga na Wasukuma wana uajabu gani? Kama ulikosa la kuandika usingetoa comment zako za kijinga! Kwanini uyaaite makabila ya wenzako ya ajabu? Wee mwenyewe unaesema wenzako wa ajabu hujijui tu kuwa wewe ndio wa ajabu! Umeniboa..
ReplyDeleteNafikiri mpaka hapo umeshampata mke kazi kwako! Huyo ndiye mke wa mitandaoni binti msemaovyo
ReplyDeletemi nakubaliana na anonym wa hapo juu. muhaya gani hajui kutongoza? we kaka unahitaji ushauri nasaha wa namna ya kuanzisha uhusiano na wanawake. nyie ndio wanaume mlioachwa na wanawake waliokupenda baada ya kukusubiri kwa miaka lakini hawakuona juhudi zako za uvumilivu na kutaka ndoa! kinadada mliosingle msidanganywe na wanaume wa dizaini hii ni sumu! na mkumbuke nyumba bila upendo ni sawa na nyumba tupu hata kama mna mali kiasi gani. wasalaam!
ReplyDeleteMSIMAMO,wangu huko palepale,huyu si MUHAYA,network ya wahaya ni WORLDWIDE,aki beep tu,mke tena nshomile mwenye ka degree anakabhidiwa,huyu kama nilivyosema ni haya makabila yasiokuwa na network,sasa boxi zimemchanganya kabla aja run mental anaomba msaada probably huyu atakuwa ni li sukuma au chaga
ReplyDeleteKama shida ni sura nzuri basi umenipata kaka......ngoja nikutumie picha ya MAREHEMU shangazi yangu alipokuwa msichana.....halafu mawasiliano yote nitakuwa ni mimi
ReplyDeletekaka nimepata maombi yako sasa swali linakuja hivi,siku hizi kuna ma blog mengi yameanzishwa yenye tabia mbaya nina uhakika gani kama siku moja sitakuta picha yangu huko?hell no if u really serious wewe rudi nyumbani utapata mwanamke mzuri tu au hata mwambie mama yako akusaidie kutafuta mwanamke mzuri kutoka kwa marafiki zake then u can start from there bt haya mammbo ya mahusiano kwenye blog hapana thank u very much all the best kwenye kupata mke mwema
ReplyDeleteNani kakwambia kama mchaga anatafuta mke kwenye mtandao? Huyo infwact mgambireni enough. Pare kwa mwombeki kuna kabinti karikua kadogo wakati unaenda kusoma college sasa kanaweza kumarry some one. Also yule mzee Ngirwa mwanae anasoma sheria huko huko,usipate tabu. Kama utarudi likizo hapa kwangu kuna mdogo wa shemeji yangu Rutasitara karudi kutoka Nairobi. Don't let us down kwa kuoa mwanamke ambae anaongea broken english. She must be fluent in both languages,haya and english.
ReplyDeleteKuna fala moja hapo 12.30 nina uhakika shule huna 100%. Yaani wewe bado unahangaika na makabila uko dunia ya ngapi! Nshomile bwana!
ReplyDeletetumeona, ila usijali wataokutukana na wasema ovyo kwenye comment: ila kupata Mchumba utapata mwenye sifa nzuri na tabia nzuri, ila nakupa hii assignment ndogo: ya kusoma vizuri ten mistake the women do to men & Ten mistake the men do to women, ukimaliza linganisha pamoja utafahamu yupi anakupenda kwa dhati au yupi ana pretend, hata akificha makucha, ila usitumie vibaya.
ReplyDeleteMUHAYA UTAMJUA TU!!MBWEMBWE NYINGI!!HATA AWE NA SHILING10 MFUKONI UTASEMA ANAMAMILIONI!!
ReplyDeleteJAMANI MSISHANGAE SANA KWA MUHAYA KUTAFUTA MWANAMKE INTERNET MAANA WAO TABIA YA UTULIVU WA MWANAMKE WAO SIO FACTOR KABISA.PIA KWA MADADA WENYE AKILI HAWEZI KUKUBALI KUOLEWA NA MUHAYA HAWA WANAOANA WENYEWE KWA WENYEWE TU NDIO WANAOWEZANA.WANAULIMBUKENI WA KISAIKOLOJIA COZ WALIPOTOKA KWAO HUKO KAGERA HAPATAMANIKI
MICHUZI USIBINYE
mnahangaisha akili zenu bure. tangu lini mwendawazimu ukamshauri akakuelewa??. huyo jamaa hamnazo nadhani
ReplyDeletewewe kaka Richard, wasiliana na Genius John Mashaka ambaye yuko huko marekani pia, naona wanawake wanavunjiana maeno hapa wakimpigania, pengine atakugawia mitotoz
ReplyDeleteinaonekana kwa elimu ulionayo na uzuri ulionao inaoneka hata kunya hunyi wewe upo kama malaika eti na kujamba pia hujambi, pumbavuuuuuuu weeeeeee!!!!wewe unafikiri ndoa ni lelemama muulize baba yako na mama yako ndoa nini uzuri tabia elimu kwan nnavyojua mimi hakuna mtu mbaya duniani utakavyomueka mkeo ndivyo atakavyokuwa akili kichwani mwako pumbavu wewe watu wanaenda shule kutoa ujinga wewe umeenda shule kuongeza ujinga unafikiri kukusanya mivyeti ndani ndio ujanja mshamba mkubwa wewe au unafikiri kuwa marekani ndio dili hata muuza mchicha yuko marekani yaani ungekuwa karibu ningekupiga vibao shenzi wewe
ReplyDeleteKuna mawili, aidha elimu uliyonayo ni ya kwenye makaratasi tu lakini kiakili bado au hutafuti mke bali watafuta "girl friend" kwa ajili ya hamu zako tu!!!
ReplyDeletePole sana ndugu yangu hii ndio inaitwa Bongo usiombe kitu. Inaeleweka wazi unaweza ukawa ughaibuni na ikawa taabu kupata mchumba. Sio wote waliokuwa na bahati kuwa na relationship nzuri walipokuwa secondary au vyuoni. Kwanza nadhani mapenzi hayaruhusiwi kwenye secondary level.
ReplyDeleteKuna ushauri uliotolewa na wengine kwamba chukua long live kama mwaka mzima hivi nenda kuanzania Dar mpaka Bukoba. Watu wazuri watakuwa ni wale uliokuwa unawafahamu, either shuleni, makazini au mitaani.
Kama hilo haliwezekani, hapo ulipo fikiria kuextend search yako kwa nchi jirani kama Uganda, Rwanda, Burundi, Congo, Zambia, Malawi, Mozambique, na Kenya. Huku ni karibu na home na culture hazitofautiani sana na amini usiamini unaweza kukutana na mtu mzuri ambaye hukutegemea. Wenzetu hawana uswahili mwingi kama sisi.
Kama mwingine alivyosema hapo juu mke au mume mzuri hupewa na Bwana. Usitafute mtu mzuri sana atakusumbua. Tafuta mtu wa kawaida ambaye atakupenda, atakaye kuwapo na wewe kwenye shida na raha.
Kilio chako kimesikika na tunakuombea kwamba utafanikiwa.
14,2009 12:30 huyo ni mhaya Pasee, huoni hata anavyojidai eti awe na mvuto siumbe wako kwa udongo kama kazi rahisi, eti awe na shepu xmyzcc, nenda kaowe kwenu BUKOBA Maana kule mnakila kitu, mpaka katerero kwa sana
ReplyDeleteMke bora na mwenye busara anapatikana kwa kumuomba MUNGU akukutanishe nae basi hakuna pengine popote unaweza kumpata.
ReplyDelete1.Huyu jamaa atakua "DOMO-BONET"!
ReplyDeleteSi unajua bonet ya gari shughuli yake ya kulifunga na kulifungua?
2.Jamaa ni mshamba,He think being in America is everything,WTF is America?
3.Jamaa ni mdhalilishaji,kwanini asitume yeye kwanza hizo picha zake,Ye anafikiri wanawake nao hawana vigezo vya watu wanowataka?
4.Kwa jinsi alivyojieleza yaonyesha hali ya maisha aliyonayo huko Marekani sio njema kiivyo,kama mtu unafanya kazi ambayo ni rasmi with well organised job description,how can it be possible for him kukosa muda wa ku-socialise na watu particulary wa namna hiyo anayoitaka?Huyu jamaa anaonekana anapiga "BOX LAKUFA MTU",yaani lililopitiliza.
4.Akina dada(dadazangu),naomba msihadaike na mikwara ya kipumbavu namna hii.Try to show these kind of stuppid men that you are not a comodity.If you keep on entertaining such kind of UPUUZI,thesekind of Stupid men will keep on KUWAPUUZA as well.
5.Wake up akina mama!!
6.Wanawakeeeeee,Tanzania!!Mendeleo,Tanzania!!
Wanawakeeeeeeeee,Tanzania!!Maendeleo,Tanzaniaa!!
Ndimi kakayenu,
MKULIMA-KIJIJINI GEZAULOLE.
kaka naona una matatizo make huangalii tabia unaangalia uzuri tu
ReplyDeletena je wewe una huo mvuto???mbona hujatoa pics?tukuone
hivi inakuwaje mnashindwa kuwatafuta hao wachumba mpaka mje mtoe matangazo...
Jamani msishangae huyo Nshomile mwingine anaayemkataa nduguye.Tunajua Nshomile ni wabishi, watakwambia kila kitu ni wao.Eti "mtandao wa wahaya ni worldwide". Ndivyo unavyojidanganya, msaidie nshomile mwenzako apate nshomile mwenzake maana makabila mengine hatutaki kusikia neno mhaya.mijitu yenye complications zisizo na tija.
ReplyDeleteWewe Rutachokozibwa rudi kwenu Kateroro Ukamchumbie Kokushubira.Mtafutie Viza,Akifika marekani Umgambire aende shule.Akizaa Ule mvuto ukiisha achana naye nenda tena Rwamishenyi mchukue Kokushemererwa fanya kama yule wa mwanzo.Mimi nimesoma Marekani na ninaishi Marekani.Mke wangu nimemtoa Tanzania.Kwa sababu nilimpenda Viza siyo kikwazo.Acha ushamba usituabishe watanzania hapa unyamwezini.Inaonekana wewe ni mrefu kwenda chini,toa picha watu waone hiyo sura yako ya Rumanyika.
ReplyDeleteNAWEWE MASHAKA ACHA KUJIFAGILIA KWA KUJIFANYA MTU MWENGINE KWA KUJIITA JINIAZI HUNA UJINIAZI WOWOTE ZAIDI YA KUANDIKA PUMBA ZAKO KITHUNGU(KINGEREZA) ILI TUKUONE UNAJUA MAANA UNAJUA FIKA WATANZANIA WENGI HAWATOELEWA PUMBA UNAZAOZIANDIKA NA WAKUONE UNAJUA KUMBE PUMBA TUPU.
ReplyDeleteACHA UTUMWA WA DHANA YANI WAKIMAWAZO ULIO NAO KICHWANI NA UANDIKE KWA KISWAHILI ILI HATA WALE WALIOUKILEJI WAKUELEWE UPUUZI AMBAO HUA UNAANDIKA.
AU NAWEWE UNAASILI YA NSHOMILE?NAJUA NITABINYIWA TU!!RUSHA HII BITOZI WA ZAMANI
Mwanamme asiyetaka kuoa utamjua tu. Wewe Mugisha unataka kutuambia kuwa huko uliko hakuna wasichana!!!! Mimi niko NC mbona nawasiliana na wasichana wengi wazuri. Kama unataka mke nenda kule Bihalamuro-Muleba ukajichukulie mke. Lakini siku hizi unaweza kuoa mke kutoka nchi yoyote hapa duniani. Na usiwadharirishe wanawake wakutumie picha zako, weka yako kwanza.
ReplyDeleteMgambile stupid front of my wife.
wanigambila stupidy mbele ya my wive ishomile mpaka form six igenda na bulaya igaluka ni kanyoni,usisibatula basukuma lola ulushindo loko kwingila nalalih sukuma uchola nkima ngu mtandao aliyo mlihaya kututuja gete,holo ngwana bonge uholelileh udosile.Wasukuma wanajipenda sana tangu lini ukachanganya makabila ushamba huo ni ukoo wenu.
ReplyDeleteKama sio mziba basi ni mnyambo huyo. Hawezi kuwa mhaya jamani. Au wa Kaishozi?
ReplyDeleteWADAU MNAPOTEZA MUDA WENU KUBISHANA NA MTU AMBAYE HAYUPO. HAKUNA MTU ANAYEITWA MUGISHA KWA SAIKOLOJIA YANGU TU HUKO SEATTLE, USA.
ReplyDeleteHUO MJI NI JIJI KUBWA LENYE WABONGO KIBAO. KAMA KWELI YUPO HUKO ANGEWAJUA WABONGO KWA MAMIA. SEATTLE NDIO AKINA ALI KIBA HUFIKIA NA KUPATA SUPPORT KUBWA YA WABONGO. SASA YEYE YUKO SEATTLE YA WAPI?
HUYU ANAWACHEZEA TU. SIAJABU AMEITENGENEZA TU HIYO EMAIL NA JINA LAKE AONE HASIRA ZENU ZILIVYO. INAWEZEKANA SASA ANAWACHEKA TU NA ANAFURAHI ALIVYOWAPATA UJINGA WENU! ELIMIKENI.
annon 3.17pm "shenzi weweee"
ReplyDeletehahahahahhaaaaaaa,uwiiiii kwi kwi
u made my evening today
dah raha sana
wee annon limbukeni unaesema shomile asitafute mwanamke mzuri sana eti "atakusumbua sana"
ReplyDeleteunamanisha nini?sie wazuri nani atuoe??
koma babu
tafuta zungu weeeeeeeee, awa makima hujachoka nao tu, awana mana pesa mbili, ni kwasababu hatuna la kufanya tu ndo tunadandia apoapo
ReplyDelete