Home
Unlabelled
uzi mpya wa kina nanihii...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hiyo ya juu sio ile nguo ya ubatizo ya raila odinga????
ReplyDeleteNa hiyo ya chini mstari wa maombolezo wa nini? Dizaina wenu katokota vibaya vibaya, analeta mambo ya umodo kwenye soka??
Mimi sio mshabiki wa soka kiviiiileeee, lakini hiyo ya ugenini, mmhh, sijaikubali kabisa. Shurti kwa vijikamba vya kukabia koo!
ReplyDeleteNdo umuhimu wa kuwa na MYUZEAM. Naona washkaji wamechoka kudesign, wakaenda kuchomoa pamba ya VASCO DA GAMA na kuifanya kuwa pamba yao ya away. Safi sana kwa kuwaenzi MABABU. HE HE HEEEEEEEE
ReplyDeleteGordon Chiggs
LFC or DIE
dubai!!!
ReplyDeletecolonial white shirts #1
ivi wazungu na waarabu ktk soka vipi na vipi????
sielewi-elewi
mbona inaonyesha mtakuwa mnaomboleza ugenini mkivaa hiyo away kit. msimu ujao mtakoma na dizaina wenu keshajua hilo na kuwaandalia nguo ya maombolezo.
ReplyDeleteIt doest click in my mind, what a shame, I have never come across with such a strage jersey,
ReplyDeletehehehehe...designer kawaua. hasa huo uzi wa ugenini....loh! huo mshipi mwekundu kifuani ka supervisor wa vinjwaji hotel fulani hivi...hehehehe
ReplyDeleteDuhh..
ReplyDeleteTOOBA YARABI .... mbona hiyo ya kwanza ni kama sare za walinzi wa kampuni moya pale Magomeni...designer huyu feki ..na inaonyesha wazi mzimu ujao ni msimu wa majuto na maombolezo kwa man U .. poleni sana wakati wa kubebwa umeisha sasa..
Ni mimi MCHUMIATUMBO HAJIDUNI.
changa la macho, itakuwa timu moja kuvaa jezi za sponsor wawili? hiyo nyeupe ni saudi telecom na chini AIG
ReplyDeleteWEWE annon wa Tarehe May 14, 2009 8:51 AM hivi unaishi ulimwengu upi? hebu staarabika na wacha kuwa na fikra finyu na za kibaguzi. unauliza mwarabu na mpira? mwarabu amefikisha timu yake world cup mtanzania wapi!?
ReplyDeleteHivi huyo sponsor AIG hajafilisika ? Maana sije mkawa kama West Ham United, sponsor wao aliposhindwa kuwakatia haki yao ikabidi wabandike viraka kuziba matangazo ya sponsor ktk jezi zao.
ReplyDeleteAu huo uzi wa ManU ni feki?
Mdau
Liverpool
naona man-yuu sasa mmeamua mwakani mshiriki mashindano ya kumsaka mr handsome boy. hiyo sio nguo ya mpira. you are not serious
ReplyDeletehii ni tribute kwa kikosi chetu kilicho chukua ubingwa wa FA miaka 100 iliyopita wazeya
ReplyDeletetatizo kidogo imwkaa kama t-shirt ya kike hata mimi mdau inaniumiza kichwa
SOUTHAMPTON MAN CHAIR
Sio Feki ni kweli itakuwa inatangaziwa na Saudi Telecom ya saudia arabia kuhusu ya chini sijui sababu AIG matatizo yao tunajuwa watakuwa wanavaa kiraka labda waweke VODACOM hapo.
ReplyDeleteDUH Machester Unite mwakani watacheza Rugby nini?
ReplyDeletehuo uzi wa ugenini unanikumbusha send off ya demu wangu. yaani alivaa hivo hivo kudadadeki nikiuona napata akshi akshi manake yeye alilegeza hizo kamba basi ule mfereji unaotenganisha ukaonekana vizuuuuuri we acha tu man-u watakuwa wananikumbusha mbali kama kuna anae bisha aulize kupitia chizihajijui@yahoo.com nitam sendia photos on email
ReplyDeleteKuna wachoma nyama hapa kwenye kibaa cha jirani wanavaa unfomu kama hizo!hii kali!sidhani kama hiyo jezi hapo juu itatumiwa .kama ni hivyo itakuwa kichekesho!
ReplyDeletetimu kubwa nyingi msimu ujao jezi zao za ajabu mbona au mjaziona?
ReplyDeletehao AIG mkataba wanamaliza lini na man united?
tehe tehe tehe!!! hicho ni kiwewe cha kupigwa 4-1 pale trafford. na bado msubirini mr dullacell(kuyt) mwakani. nasikia mliposikia mnayama tevez anakuja liver mkajifanya eti mnaanzisha nae mazungumzo ya kumsajili. kisa asiende liver. kwa taarifa yenu mtachukua ubingwa mwaka huu sababu mlibebwa sana. lakini mwakani sahauni na kipigo kutoka kwetu mechi zote mbili kiko palepale.
ReplyDeletehiyo jezi yenu mpya haitanoga kama hamtakuwa mkivaa na mikufu ya shaba manake wenzetu mmeamua kuwa mamodo!!
hiyo ya ugenini hata timu za mchangani hazitakubali kuivaa.yaani kuiangalia sana ni kichefuchefu.hahaha
ReplyDeletehovyooooooooooo!!!!!!!!
Acheni roho mbaya nyie! badala ya kushughulikia usajiri kuongeza nguvu ya timu zenu mbovu (Liverfools na Rentboys)mnakaa kujadili jezi yetu. Sijui mtakuwa wapi tarehe 27? Mavi yatawauma... Champions of England, Champions of Europe and Champions of World watafanya vitu vyao kama kawaida yao. Baba Ubaya, huo uzi ni mshahara wa mtu wa mwezi mmoja, usifanye mchezo! Mwisho ni mpira wa hali ya juu unaoonyeshwa na Man Utd, sio jezi. Kama nyie mwapendeza mme-win trophy gani mwaka huu au uliopita? Paka Mweusi
ReplyDeletehahaah mwangalieni chizi huyu MANURE au MAnuwa Manuwa united. anasema Rent boyz sasa nani Rent boyz? Tevez mpo naye Mkopo wa miaka miwili sasa mnapata tabu za kumnunuwa mnamtafuta kwa lazima FREE! kashasema anataka kuchezea Liverpool na C. Ronaldo mnamuabudu kama mungu, kila siku Sir Alex anampigia magoti. nyie zidi kununuwa ma Refa tu na watu wa FA ila wachezaji wanawakimbia.
ReplyDeleteJAMANI TUWAACHENI UTANI ILE JEZI YA CHELSEA MNASEMAJE IMEVIMBA SEHEMU ZA KIFUWA IMEVIMBA MABOYA SIJUI NDIO DROGBA AKI DIVE AOGELEE VIZURI. ASIJE KUZAMA. XXX
ReplyDeleteTarehe May 15, 2009 4:25 AM,Anonymous
ReplyDeleteBasi ww ndio chizi hivi siku zote hizi munaingia ktk leg na kujua manu ananunua marefa na watu wa fa sasa ktk leg hamuogomi nyinyi mbona tunawaona kila siku munaingia uwanjani basi itakuwa mzembe sn ww kama unajua fika manu ananunua refa na kukubali kucheza inakuwa work done is equaly to zero. Ama ukiishiwa hukosi sababu haya na champions leg manu kanunua marefa ama utasema nini kwa hili na next seasorn jeee bajomba ndio huna tamaa ya kombe kwa vile manu ananunua marefa hemu kuwa na akili bro.
U can try next seasorn for curling cup if wigan's not intrested