Leo  asubuhi wakati nikipita Mtaa wa Mkunguni Kariakoo jirani na barabara ya Lumumba nikakumbana na kondomu kadhaa zilizotumika zikiwa zimetupwa kwenye pavement huku zingine  zikiwa zina majimaji ya 'magoli'. Kwa Dar hiki ni kitu cha kawaida haswa uswazi. Tuwe wastaarabu jamani ! taka kwake ni jalalani au kwenye chombo cha kutupia taka!
Mdau
MR. AHMED VIRIYALA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2009

    ustaarabu ni kutumia kondom hayo mangine niyenu na michuzi

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2009

    Sasa mnalalamika nini jamani? Angalau hao wana jeuri ya kutumia condoms...wengine hata wasingezivaa..!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2009

    The Origins of the Name Liverpool (Is Bwawa la Maini or Liver Birds and Liverworts)?

    Michuzi ,

    I think it is not Bwawa la Maini, read the following and post to your blog asap
    The Liver Bird
    Another area of debate about the origins of the name Liverpool focuses upon the bird on the Liverpool seal. The name ‘liver’ is said to come from a type of waterfowl, named liver, or lever. The borough arms have been presented as proof of this but it has been suggested that no bird of that type has been found in the Liverpool area. The historian Sir J. A. Picton noted that the symbolic bird of Liverpool was the Eagle of St John, which meant that the name liver should not have been attributed to the bird. This theory is less certain due to the evidence presented by the town seal. By 1829 the seal featured an aquatic style, or water, bird which looked like a crane but the bird on the corporation seal (a copy of which is in Matthew Gregson’s Fragments of the History of Lancashire) was not aquatic. The image on this seal is said to appear to be a dove with an olive branch, which had been made to look like seaweed. If this was the case, then the origin of the name was said to be topographical or related to the area itself.
    The Liverwort
    Other theories look at the local aquatic or water plant life. The first part of the name ‘liver’ may have referred to a form of liverwort on the seacoast. A liverwort is a tiny, rootless plant, named for its green liver shaped leaves. These plants, which were found in dense forests, are said to have been the first to make the move from the Earth’s oceans to dry land. It is said that the liverwort grew extensively in the local area.
    A rather different theory that the ‘liver’ part of the name Liverpool comes from links with the Lever family has been dismissed as much less likely. While there are clearly a number of theories as to how or why the name Liverpool came about, and some theories do perhaps appear more likely than others, there does not appear to be a simple answer to this question.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 15, 2009

    Jamani ustaarabu ni kitu cha bure, lakini wengi wetu tumeshindwa kukitumia, labda siku kitakapouzwa madukani.
    Utakuta mtu anajipengea ovyo makamasi njiani na kuyatupa kweupe- pwaa!, au makohozi, huu sio ustaarabu. Hasa kipindi hiki cha baridi kinachoanza tutakuatana nayo yamezagaa kila kona. Ni sawa na mtu kujisaidia akaacha `kuflash' uchafu wako

    Kuna vitu tunavidharau lakini ndivyo vinatutofautisha na wanyama.

    Ukikohoa funika mdomo wako, ukiongea na wenzako usipende kushika pua, ukiwakuta wenzako wasalimie,usiwapite kwani unaweza ukapotea njia ukarudi kuwaulizia, sijui utaanzia wapi.
    Vitu vilivyotumika vitupwe kwenye mapipa, sio tunajitupia ovyo mabarabarani, na ni sawa na hizo kondomu, huo ni uchafu wako unautupa hadharani, ni ajabu kabisa.
    Jamani ustaarabu ni kitu cha bure kabisa,ukikikosa, wewe huna tofauti na mnyama.(Ashakumsi matusi)
    M3

    ReplyDelete
  5. Na hivi ndo wanatuletea ATM za NDOMU!
    Tutegemee sana hayo mitaani.
    Nyie subirini tu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 15, 2009

    ndo tabia ya vijanadume wa bongo
    uzinzi adi hawajua mahali pa kushusha ayo "magori"

    carzy people

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 15, 2009

    Kaka Michuzi mimi kama ni msomaji mkubwa wa blog hii kwa kweli sometimes huwa nashindwa kukuelewa. Kwa sababu mada ya hapa ni ustaarabu wa utumiaji wa kondom sasa iweje watu waanze kupandikiza habari za bwawa la maini na ww uzirushe tu hizo comments mahali ambapo hapastahiki? Ingekuwa kuna mtu amechangia mada hii katika lugha ambayo haikufurahishi ungeminya, lakini mtu anapotoka nje ya mada unapeta tu... Mbona unakuwa kama Tom Henning Ovrebo

    ReplyDelete
  8. Njia ile ni pana iendayo upotevuni

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 15, 2009

    Nafikiri hiki ni kipimo kizuri sana kuwa wangalau sasa kondomu zinatumika. Zamani kulipokuwaga kusafi kulioneshaga kuwa kondomu hazitumiki. Tatizo lililokuwa zamani ni mtazamo wa kutumia kondomu kwamba ukitumia unaona hujafaidi. Ila sasa watu wmegundua kuwa utamu wa pipi ni mate yako si pipi yenyewe, ukitupa ganda lenye mate baada ya kula pipi ina maanisha kuwa sasa hivi pipi zinaliwa ndani ya ganda na si kuzimenya maana UKIMWI hauna mwenyewe.

    Hongera sana wahamasishaji kazi yenu sasa tunaiona kuwa watu wameamka na wanajikinga na gonjwa hili. Ila nao kidooogo wawe wastaarabu kwani ukiweka ganda mfukoni la pipi baadaye ukatupa kwenye dust bin utakosa nini wakati pipi umeshaifaidi?. Watoto wanaokota hayo na kufanya mafulizo yenye mate yenu mliyolambia pipi, hebu jiweke wewe kwenye nafasi ya mtoto utajiskiaje?

    Sasa kampeni iwe tumia condom then itupe kwenye shimo la taka.

    Huku kwa wenzetu kuna ATM za Condom kila ukiingia public toilet yoyote, ila packet moja yenye condom mbili ni £1, sasa kama bongo ni za bure basi tuwacharge hata shs500 tu ili wazithamini na kuzitupa panapostahili wakimaliza mchezo wa wote.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 15, 2009

    afu tunapita tunaokota hilo "DILI" la izo mbegu zilizomo umo tunaziotesha ktk chupa/pandikizi wanazaliwa/anazaliwa mtoto,afu siku unakatiza mtaa unakutana/unaona mtu copy-paste yako kabisa,mamsamp hakuelewi nk nk

    kwa wale ambao kila siku wanaomba Mungu wapate uo uhai wazae

    ni hayo tu

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 15, 2009

    mbegu ni uhai jamen...ziheshimuni basi

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 15, 2009

    Nyie bwana tuache uhuni, kondom si solution , watu wafundishwe ustarabu; Na ustarabu wa kwanza ni kuwa na mke wako na mume wako.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 15, 2009

    HIYO NDIO FAIDA YA NA HASARA PINDI AU WAKATI ATM YA NDOMU MTAMBO WAKE UTAKAPO KAMILIKA.INAONYESHA NI JINSI GANI TUSIVYO WASTARABU.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 15, 2009

    je bahati mbaya watoto wanacheza wanaona ndio puto la kupuliza inakuaje kwa sababu watoto hawajuianaweza kumwaga hayo maji ya magoli akaanza kupuliza puto, jamani tuwe wastaarabu tuwafikirie watoto hasa wauswahilini maana hucheza popote na huokote chochote na kuchezea

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 15, 2009

    Umesema vizuri sana ndugu "Njia ile ni pana iendayo upotevuni"
    Kitu kingine cha kufikiria kuwa wanyama kama mbwa, paka na mapanya wa mitaani wanaweza kuramba hizo remains na keleta magonjwa nyumbani. Hata nzi vile vile wanaweza kueneza magonjwa kutoka kwenye makondomu hayo.
    haina haja kutangaza kuwa umefanya au umetumia kondumu.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 15, 2009

    KWA UPANDE WANGU NADHANI MTU ANAYEWEZA KUFANYA HIVYO NI MVUTA BANGI AU MLEVI OVYO MTU TIMAMAMU HAWEZI FANYA HIVYO

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 15, 2009

    Bwana Michuzi,

    I thnk serikali inatakiwa ianzishe law ambayo itawabana watu kutupa taka ovyo, Mana ni aibu na si nzuri kwa watoto. Mtoto anaweza kufikiria puto akaanza kupuliza...Ni aibu sana.

    Kwahiyo serikali ingekuwa inawapiga watu fine kwa kutupa taka ovyo.

    Mfano mzuri Zimbabwe, niliendaga mwaka 1995. Kuna mshikaji wangu mmoja bila kujua akatupa ganda la ndizi chini, Jamaa bila kuchelewa wakaja na kumuamuru aokote la sivyo fine. Na walitusamehe coz hatukuwa wenyeji.

    But this is not only government responsibility, but also individual responsibility. Jamani, Taka ni ugonjwa.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 15, 2009

    Whoever support or defend this kind of behaviour, you should be ashamed of yourself….just because we are encouraged to use condom doesn’t mean we can throw anywhere. Some people feels like they are doing public a favour by using condoms..no you don’t!!! You are using condoms for your own good; why public have to suffer after your pleasure. I live in abroad and few years back I returned bongo to see my family. And one day I was on the street with my nieces and nephews and we came across condoms very few steps we made especially in the cemetery… and I was so embarrassed and disgusted by that habit. How am I supposed to explain to little girls/boys age of 3 to 10, what is condom? And what they use for? Do you want your kids to grow up around used condoms…..
    First of all, you shouldn’t be having sex on the street anyway; by finding condoms on the street that means you were having sex in the public place, its Illegal people….I don’t know anybody who sane will take condoms out of the room and throw in the street. If you think that’s normally behaviour then next time you use condoms, throw in your backyard so your family and neighbour can see “you are practicing save sex”. They will be proud of you..right?

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 15, 2009

    siku hizi watu wanapiga nyeto kwa kutumia condom wanaivaa nje ndani na yale mafuta yake sasa ndo yanageuka kitelezesho kama sabuni halafu goli mumokwamumo. hizo ni punyeto huyo aliyezitupa unadhani kazitumia kwa demu?? wala!!! azitumie kwa demu chumbani kisha akazigalagaze barabarani. kwanza ukitumia kondomu kwa demu huwezi toka umezibeba namna hiyo ni lazima utakuwa umeziviringisha kwenye tishu pepa au karatasi, la sivyo huwezi kuzibeba ukatembea mtaani sababu zinakuwa na shombo ya kufa mtu, ndani mbegu zako nje shombo la uke, utazibebaje?

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 16, 2009

    Ahsante kwa ujumbe wako mzuri. Ka-swali ka uzushi nauliza hivi; Hiyo picha (miguu) ya huyo dada ina uhusiano gani na hizo kondomu? Kama haina uhusiano, si ungesubiri akapita kwanza halafu ndio ungechukua picha!!

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 17, 2009

    MIMI nimezimia na hiyo miguu ya kijana kwenye hii picha Mashaallah!! naweza kumnunulia gorofa walahii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...