mlimani park orchestra wakiburudisha kwa vibao vya old skul ukumbi wa bwalo la polisi oysterbay jijini dar katika programu yao mpya ya kila ijumaa. kunradhi taa ilikuwa na kwikwi ikabidi nipige hivyo hivyo kavu kavu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 18, 2009

    Jamani Sikinde mnatisha. kwa kweli huo wimbo hauna tofauti na ulivyopigwa zaidi ya miaka 15 iliyopita.hii inaonesha kuwa kuna vipaji vya kutisha sikinde.kazi nzuri wana Mlimani park. Natamani siku nami nije kufaidi hilo nginde hivi karibuni. Kazeni buti wakubwa tuko nyuma yenu

    Mdau
    Cardiff

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 18, 2009

    Waaaaaaaaaaaaaaaaalahi umenikuna pabaya mie!!!
    Kipaji ni kipaji.
    Mziki ndio huu bwana!!
    Mzawa

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2009

    Ngoma ya ukae, wazo zuri kila Ijumaa kujikumbusha old skul.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...