nanihi akiwa na kaka freddy macha (kati) na nguli wa sanaa mzee robino ntila katika dina la mchana nyumba ya sanaa wikiendi ilopita. kaka freddy, ambaye anaishi UK, yupo nyumbani kwa vekesheni ya kikazi ambapo kuanzia jumatano hii ataendesha warsha mbalimbali zinazohusu sanaa, uandishi na ujasiriamali. ratiba kamili na maelezo vitafuata baadaye

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2009

    Namkumbuka fredy kwa mchango wake katika jamii wakati ule nikiwa mwanafunzi na yeye alikuwa huanadika hadisi za kizungu katika gazeti moja la kila jumapili nimelisahau kwa hivi sasa ni miaka mingi binafsi umri wangu ni 45 sasa najiuliza kaka fredy anaumri gani kwani alipokuwa muandishi sisi bado ni watoto wa nyumbani niwanafusi wa primary tulijifunza maneno mengi ya kizungu kuoka katika hadisi zake zile za magazetini tunamshukuru kwa msada ule ijapokuwa ilikuwa ni lazima ununuwe gazeti lile

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...