
hassan rehani bitchuka 'super stereo' kulia na shaaban dede wakiwajibika usiku wa kuamkia leo kwenye bwalo la maafisa wa polisi oysterbay jijini dar ambapo kila ijumaa wanapiga nyimbo zao za old skul ili kuwaburudisha vijana wa zamani na wa sasa kwa vibao ambavyo nadra kusikika kwenye shoo zao za kawaida. shoo hii ya kila ijumaa inakuja juu kwa kasi na wadau toka kila kona wanaofika wanafurahia kwani hapo nyimbo ni za enzi za mwalimu tu
Utaoona wanamume wengine huwapa talaka wake zaooo....
ReplyDeleteWatu wa kuenziwa hawa kwa mchango walioutoa katika utamaduni wetu. Yu wapo Gurumo?
ReplyDeleteHAWA SI LO LOTE WALA CHOCHOTE NGOMA MSONDO TU. KIBOKO YAO.
ReplyDelete