Mwenyekiti wa UWT Dar mama madabida akiwashukuru viongozi wa tanzania girl guide association kwa mchango waliotoa katika harambee hiyo ambapo pamoja na nguo, viatu, vifaa vya nyumbani na kadhalika pia kiasi cha sh. milioni 5 unusu taslimu zilipatikana
baadhi ya vitu vilivyochangwa katika harambee hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Inatia moyo kuona sisi wabongo tunasaidiana hata katika maafa!!!but nasikia serikali ina mpango wa kuwahamisha walala hoi waliojenga karibu na jeshini????sasa huo ni udikteta!!!kwanini serikali isihamishe ghala la silaha sehemu nyingine mbali na walalahoi???masikini wamepata shida kujenga vibanda vyao leo heti wahame kweli ni sawa hivyo au udikteta kama wa afrika kusini??samaki mkubwa kula mdogo....i hope haitakuwa hivyo kwani si sawa na ni uonevu kwa masikini waliopata shida kujenga heti leo akaanze upya!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2009

    naliona gazebo kwa mbaali.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2009

    michuzi
    Huyu mama madabida ni mwenyekiti na sio katibu kama ulivoandika hapo juu,mpe mtu hishma yake ala!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...