



Angalizo: Wadau kunradhi kwa kuwa kimya kwa muda wa takriban masaa 12 yalopita. hii ni kutokana na ratiba ya vekesheni kuwa taiti ile mbaya. kwa sasa mambo ni mswano na libeneke kama kawa - msikonde wala nini...
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kweli konozzzzz
ReplyDeletemichu siku utapigwa panga na wenye mali wewe???
yani wavopenda konolizzz wanawake wa wanaume wezako???
wee ngoja,aya bwana tumekuona na izo pics za kuonyesha familia ukirudi bongo
hahahaaaaa
kaka kula mashavu ndugu ndoo dunia inavyokwenda ila ukweli pamba za uhakika siku hizi kaka kwa sababu unataka U Dc wa Tegeta au ndo kampeni ishanza ya Umbunge kaka kila la heri
ReplyDeletemSWAHILI UTAMJUA TUU!!MBONA USIPIGE PICHA KARIAKOO AU POSTA YA ZAMANI UTUWEKEE KWENYE BLOG YAKO
ReplyDeletejamaa bado wanatumia reel to reel!
ReplyDeletesasa wewe Anonymous wa Tarehe May 23, 2009 11:43 AM umeombwa uje humu?Ingawa hii ni blog ya jamii MIGRAVY ni moderator wa hii blog kwa hiyo yeye ndiye mwenye uamuzi wa mwisho nini kibandikwe humu ndani.Pili kusema kwa nini asiweke picha za posta na kariakoo hiyo haina uzito yeye yupo na msafara wa Rais na kama unavyona mwenyewe hawapo kariakoo wako mitaa ya DC na walikuwa ma San Fransisco na kwingineko.IN MY OPINION wewe ndiyo mswahili tena yule mwenye roho ya kwa nini?Eboo hebu usituchafulie hewa humu ndani na vi comment vyako vya kihater hater.We kama box linakuongezea mastress usituletee humu ndani watu wako peace sana siku hizi waosha vinywa ni wachache sana.Ukiperuzi kwa haraka utagundua kuwa Michuzi ni mtu wa watu we angalia picha zinaprove hilo.Big up bro MIGRAVY a.k.a Mzee wa Konozz!Uko juu hata Jay Dee kakuimba wewe ni kioo cha jamii tunakumind!
ReplyDeletemdau Scandinavia
Duh! Bro Michuzi uko na Chris Tucker? Respect man. He's my favourite number 1 comedian! My main man when it comes to the comedy arena!! I'd love to shake hands with him too. Can't wait to get to L.A. so I can accomplish that dream too one day (of meeting Chris) :)
ReplyDeleteHafu uzuri Chris ninachomzimia, jamaa tofauti na most African Americans, attitude yake kwa Africa na Waafrika iko so positive. Chris ana mapenzi na waafrika wenzake toka barani Africa pia,amejitahidi sana kufanya affiliation nyingi tu na sisi, kuanzia Angola ambako ndo alifanya research akagundua kuwa most ancestors wake walitokea huko, mpaka zenj ambako alivisit last year. Website yake inaeleza shughuli zake za charity pamoja na affiliation zake na bara letu zuri la Afrika
Chris, your a true hero and a real patriot. Asante Michuzi kwa picha, wewe kweli ni mtu wa watu, tunakutakia maisha marefu na mafanikio zaidi katika shughuli zako na hii site yako nzuri kaka.
Survivor
Mdau UK (Rep. Rock City).
naona michuzi umepiga pich a na wabeba box na wakimbizi wa uchumi. wamependeza lakini .
ReplyDeleteKaka mkuu
ReplyDeleteKweli "Pamba" leo limetulia, sina zaidi ya kukupongeza,hata nanihii la "ugali wa siagi" halionekani kabisa.
Naona mambo ya DC yapo tambalale, mavekesheeni yamefikia kileleni.
usisahau "kajizawadi"cha shemej maana mikonozzz imekuwa mingi,na ma-pamba ya kwa Obama yamekutulia lakini bei yake "noma" !!!
mickey-Denmark
Jamaa anakuazima pamba muungwana sana, manake zinakupendeza kuliko yeye mwenyewe akizivaa na wala haoni wivu.
ReplyDeleteBwana Michuzi hapo sasa unachemsha, unasema uko vikisheni wakati uko kazini na tunamuona Mh. Rais JK anavyoangaika kuiweka nchi yetu katika anga za dunia. Inakuwaje wewe uliyefuatana naye useme uko vikisheni au mimi sielewi maana yake, naomba nieleweshwe kama naelewe vinginevyo
ReplyDeleteMichuzi nakuaminia yani huyo Chris Tucker ni rafiki wa kweli alivyokuja bongo kakupa number ya simu umempigia kaja kukufuata uende kwakwe si mchezo hivyo ndio inavyotakiwa akija Bongo mualike aje Ale Ugali wa Muhogo na Mchuzi wa Mkia wa Taa.
ReplyDeleteMichuzi Hiyo Picha ya Mwisho inaniinspire Nizidi kulenga kuhamia marekani.. ARDHI ADIMU KAMA HIYO HAPA UINGEREZA HAKUNA... Na kama zipo Wanakaa Kina Beckham kwani hazigusiki kwa pesa ya muajiriwa 9-5 wa kawaida...Mitaa myembamba mpaka magari ili kupishana kwa nafasi inabidi moja lisimame pembeni!!, Hata Kama Mmatumbi lakini Ndio nishatusua, nina haki ya kuishi nipendavyo bwana ebo!!
ReplyDeleteEbwana Soon wadau nawaunga Mguu Huko MAREKANI.
Tatizo kuna watanzania wachache sio wengi wamejawa na wivu, hilo lilisemwa hata na JK LA alipokuwa akizungumzia juu ya uraia wa nchi 2 kwamba kuna wachache wenye wivu wanazuia hili swala. Sasa na wewe mdau hapo juu umejawa wivu na chuki, unataka uone picha za kariakoo au posta mpya kwani huyajui maeneo hayo!!!!!!
ReplyDeleteUpeo wako ni mfinyu kama unataka picha za bongo watumie ndugu zako camera wakupigie maeneo yote unayotaka kuyaona piga na picha za nyumbani kwenu kwani inaelekea hata umesahau kukoje! pumbafuu wee!
Bwana nahii unaweza ukarekebisha kiswahili kwani watu wengine wanaleta maudhi kwenye comments zao!
Don't hate on Michuzi,wacha ndg ale raha na msafara wa JK.I'm glad mdau mkuu umepata nafasi ya kuja kuona life ya kiwanja.Vipi umekutana na mbeba box yeyote?Au kila ni misemo ya haters tu.
ReplyDeletewwe anon 12.14 wewe ndio mbeba box sie umetulia tunakula kuku!!!yatakushinda..mbona matokeo ya maana akiwa kwenye msafara wa raisi tanzania habandiki picha zake...sie hatutaki icha zake tunataka matukio yaliyopmpeleka acha ushamba!!uko ulaya lakini kama uko dodoma bwana!!sasa wewe unaona umeikaaa tuko sambamba na sehemu moja na wewe
ReplyDeleteSasa Mkuu wa nanihii, mbona hujala konooozzzz na Michelle Obama??? Unajua bahati haiji mara 2 ehhh!!
ReplyDeletewee unayetaka picha za kariakoo kwanini usiombe uwekewe picha za maskani yako uwanja wa fisi? uone jamaa zako ambao bado wanaliendeleza libeneke?
ReplyDeleteSunday naona umekwiva ile yenyewe mzee yaelekea huko kwa Mahalat na Maanjumat ndo kwenyewe,kula maisha ndugu yangu.
ReplyDeleteMsagasumu,Mtoni M/Madafu(TMK)
Picha ya Mwisho, jamani Marekani kuzuri sana.
ReplyDeleteMdau UK
america kuzuri sio uk wapemba kibao wasio na maana umbea tu maisha very low standard,wabongo wa us wanaonekana happy pia ,kaka michuzi hio mikono sasa sio mikonozz maana imepitiliza ni kabalizzz au loba kabisa,i like u brother your so happy and down to earth person god bless you.
ReplyDeletewewe mtowa maoni May 24, 2009 11:06 AM kama boksi limekushinda kaa upande. usituletee upemba na udanganyika hapa. mijitu kama nyinyi tushchoka nao, hamna kazi ila kutafuta ugomvi kwa kuanzisha ukabila na urangi. umbea na wapemba? labda umesaha kama zeutamu ni ya mbongo tena yuko us? umbeya wote unawekwa hapo na umbea wote wa uk unaowekwa hapo ni wa watu wa tanganyika. sasa sema nani mbeya mkubwa?
ReplyDeleteMdau unayesema UK hakuna sehemu kama hizo naona hujatafuta tu mbon wabongo kibao wana nyumba zenye nafasi na viwanja vya kuchezea hata mpira. Kuna maeneo mapya nyumba zinajengwa za kisasa na ni affordable ila ni nje kidogo na miji mikubwa mfano nje kidogo ya London kama M/keyenes, hertfordshire, essex, sussex na watu wana-commute kila siku kwenda central London kikazi kutoka miji hiyo. Angalia website za nyumba utapewa info.
ReplyDeleteHivi MICUZI KWANINI KILA WAKATI UKIWA KWENYE ZIARA YA RAISI UNASEMA VACATION???VACATION INATAKIWA UKAPUMZIKE BAADA YA KIPINDI FULANI CHA KAZI.WEWE WAKATI WA VACATION NI KAZI.UNAJIFAGILIANA WEWE UNAWEZA VACATION USA WAKATI KAZI IMEKUPELEKA?????USIPOWEKA POST YANGU UTAJIJU BUT TUMIA LUGHA SAHIHI,WEE AUPO USA KWA VACATION UMEKUJA KIKAZI ZIARA YA JK.
ReplyDeleteKRISSIE
Pitt,PA
I want me some sunday shomari
ReplyDeleteMichuzi, umekuwa International Superstar! Hongera kaka!
ReplyDelete