


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I think we should raise taxes on Bia na Sigara! Thats the only way kupunguza namba ya watumiaji tumbaku na walevi. Yaani sales tax ya hivyo vitu iwe 50%.
ReplyDeleteNatamani watu waandamane namna hii kupinga ufisadi!
ReplyDeletemambo ya kuiga tu. Tanzania tuna matatizo mengi ya kushughulikia siyo kuacha kuvuta tumbaku. Na wale ndugu walima tumbaku kule Namtumbo mtawasaidiaje watu wakiacha kuvuta tumbaku?
ReplyDeletekuna umuhimu gani wa kuwatumia wanafunzi katika maandamano haya?
ReplyDeleteWewe unaesema vita hivi ni vya kuiga ni mbumbumbu ! Unajua matatizo mangapi tuliyonayo yanasababishwa na utumiaji tumbaku ? Fuatilia vizuri ujue serikali inatumia mamiliono mangapi kutibu wagonjwa wanaotokana na matumizi ya tumbaku.Unajua watoto wanavyoathiriwa na asma, na magonjwa mengine ?
ReplyDeleteFuatilia ujue hali za kiafya wa hao waliopo Namtumbo,au wale kule iringa wanaolima tumbaku, na uone pia jinsi gani wananyonywa ! Wanaofaidika ni wengine...
Nyie mnaosema wanaandamana kwa nini na kwanini wantumia wanafunzi. Hivi mnajua madhara ya second smoking. Watoto wengi bongo mapafu yao kama ya wazee kumbe wanishi na watu wnaovuta sigara kutwa kucha
ReplyDeletekama serikali inaona uvutaji una madhara kwa binadamu basi ipige marufuku na iache siasa zake.
ReplyDeletekila siku utasikia serikali inatumia gharama nyingi kutibu. uwingi wa gharama sio kigezo ingesema inapata hasara tungeielewa. ifanye hivii ichukue pato litokanalo na tumbaku itoe hizo gharama then ituambie hiyo balance ni nini... iache kupiga kelele
ingefanya kama alivyofanya Maximo kwangu mimi Chuji, Bobani na master Kaseja hapo ingeeleweka msimamo wake
Chuji
Ilala
NANI KASEMA.....NYOOOOO. YAANI NIACHE KUBWILA TUMBAKU LANGU AAAAAAAAAACHOOOO AH! NGOJA NIANZE UPYA.
ReplyDeleteYAANI NI...AAAAACHOOOOOOO. HUU UGOLO KIBOKO WA MZEE KITUMBO.
Yote Tisa spelling mistake kwenye bango ...'wolrd'..badala ya 'world' ....kwenye bango -(picha ya kwanza).... du! inabidi wakasome waelimike kabla ya kwenda kwenye maandamano,- ...hivi hawa walimaliza primary school?.... manake hizi spelling exercise ni za darasa la 2..!
ReplyDeleteKwanini watu waandamane ili watu waache kutumia tumbaku ilihali serikali bado inasisitiza zao la tumbaku, dawa ni KUWACHA KULIMA TUMBAKU halafu tuone kama watu watatumia tumbaku.
ReplyDeleteKumbe ilikuwa WOLRD NO SMOKING DAY pia? I thought it was just WORLD NO SMOKING DAY!!!!!
ReplyDeleteMdau, Boston, US
namuona Lemunge, Arawa, shirima na Laswai....wanarepresent Rombo
ReplyDelete