El Nino Fernando Torres

Assalam alaikhum Alhaji.

Habari ni kuwa kijana wetu FERNANDO TORRES juzi amemwaga wino wa kuwa liverpool hadi 2013 kwa miaka mitano zaidi. alikuwa na mkataba toka mwanzo ila wa juzi umeboreshwa kwa kuongezewa kitita chake toka £ 90,000 pound elfu tisini kwa wiki hadi zaidi ya laki moja na kumi kwa wiki£110,000.

wakati hilo likifanyika.jamaa zetu Manchester bado matumbo yao yako juu kwani kuna uvumi mkubwa kijana wao anaweza kutimkia Real Madrid. na hajasema kama atajicommit tena MAN U.pia amekuwa akimvunjia heshima kocha wake inaonekana hana nia ya kubaki man u.
Nakuwekea link ya habari ya mkataba wa Torres hapa.
homepage/sport/football/2454362
/Torres-agrees-30m-Kop-contract.html
mkuu naomba usitoe jina langu iandike kivyako.
mdau meya wa uk.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2009

    Kijana WETU?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2009

    YNWA!
    Livefroolian (Liverpool fan) #1.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2009

    Sasa kati ya hiyo laki moja na elfu kumi wewe utapata ngapi yakhe??? na wanasema,mswahili kweli shabiki wa kijinga mpaka kiama!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2009

    kijana wetu ina maana jamaa ni mshabiki wa Liverpool.

    kuonesha kiwango cha mshahara wa Torres ni kuwapa motisha vijana wetu kama Ngassa,mgosi wakazane na kujua kuwa mpira ni investment.

    motisha kama hizo zimewapa nguvu wachezaji wengi wa Brazil walitumia mpira kama njia ya kukimbia umasikini.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 31, 2009

    mithupu mbona hutuambii kombe la taifa hapo bongo kachukua julio au minziro!tupe bwana hiyo story au unaona hatupaswi kujua??yaani nachungulia tuka jana kuona labda utatundika picha au utatuhabarisha wapi!nimechungulia kwa magazeti nimeambulia patupu!!!sasa wewe kama mtu wetu wa karibu embu tuambie ni mkoa gani umebeba na mechi ilikuweje!!!usitubanie mithupu tupo mbali!

    namingwea

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 31, 2009

    ilala...imetetea kombe kwa kuilaza TMK 1-0. kwako mdau wa 6:23am.

    ReplyDelete
  7. Baba UbayaMay 31, 2009

    i'm a GIANT LFC fun,but too much DAILY LFC posts here is boring.dont get me wrong,it's good to read anything abt Liverpool but this blog doesnt belong to LFC even thought Misupu is a huge Liverpool fun.
    to post every little stuffs abt Liverpool here proves a loooong crying of other people/funs that this blog seems to be only for Liverpool funs.any Liverpool fun who needs DAILY updates or rumors abt any thing going on to the club can visit official club website or fun's websites.
    www.liverpoolfc.tv
    www.lfcreds.com
    http://www.facebook.com/pages/Liverpool-FC/67920382572?v=box_3

    anyways,just my thoughts.

    "Liverpool Milele"

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 31, 2009

    CRISTIANO RONALDO can't be making many new friends in Manchester.
    The Red Devils' star man seems to be growing increasingly agitated with life at Old Trafford, and the Portuguese winger hasn't impressed MY Sun with his recent outbursts.


    If you really want to go, please leave and do it quietly.equatorialsunAdd a comment

    Rumours of a potential move to Real have re-emerged after Ronaldo criticised the manager's Champions League tactics following their crushing defeat against Barcelona.

    And few players have survived at United after crossing Alex Ferguson in public.

    Even Liverpool fan no1sun is sick of the winker's attitude:

    "All that rubbish about Fergie being like a father to him, then a few days later he shows him no respect. If Ronaldo says it's Friday today, I won't believe him."

    Manchester United could do without the disruption in the dressing room, but will it be worth losing the club's top goalscorer?

    equatorialsun has run out of patience:

    "I agree that Ronaldo has done a lot for us," he says. "But I am tired of his disloyalty, his diving, his cheating and posturing.

    www.thesun.co.uk

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 31, 2009

    Kama sio shabiki wa mpira acha kutoa comment nenda ka enjoy pombe zako za kienyenye kuliko kuanza kuuliza maswali ya ki layman hapa! Eti laki 1 itasaidia nini? Itasaidia kumwona Torres akiendelea kuichezea Liverpool na kufunga mabao! Kama unataka cash labda tukupe contact zake umwandie mail umwambie unataka kazi kwake hata ya kupangusa choo chake kila anapojisaidia!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 01, 2009

    Baba ubaya siku nyingine andika kwa kiswahili tu siyo lazima ung'ang'ania lugha ya watu ambayo hata hivyo inakupiga chenga. fun ni kitu kingine kabisa kwa mkuthsada ulio kusudia. Nyambafu kabisa.

    ReplyDelete
  11. Baba UbayaJune 01, 2009

    anony wa June 1st, 8:14am.i can use any language i want to as long i'm sure over 60%(excluding u) will understand.eti lugha ya watu,why they teach it in Tanzania??Nyang'au weeeeeeeeee!!!!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 04, 2009

    baba ubaya you break my heart. kama wewe unamshambulia misupu namna hii je sisi tutamfanyaje huyu? nimeshawahi kusema hii ni fan blog ya liva. anyways kuhusu torres; huyo ndio kikombe chao mwaka huu. ronaldo sasa hivi kila mpenzi wa man u ameshachoka naye kasoro watoto na akina dada wachache na akiondoka yule anakuja benzema kwahiyo naothing to lose.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...