mgeni rasmi akimpa Lil Getto tuzo ya Producer Bora wa Mwaka
MWANAMUZIKI BORA CHIPUKIZI MUZIKI WA KIZAZI KIPYA DORICA AKIPOKEA TUZO

vijana wa Road squad wakipokea tuzo ya kundi bora la mwaka

nwanamuziki bora wa mwaka wa kizazi kipya berry black (shoto) akimsikiliza chid benz
Baby J AKIPOKEA TUZO
Beery black (kulia) akipokea tuzo ya wamamuziki bora wa kizazi kipya

Juma 20 akipokea Tuzo







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Waendelee tu na vidole juu na taarabu zao..
    Muziki Zanzibar umewashinda, wanajaribu kuvaa ki-hip hop lakini hawawezi na hata wakiweza itakuwa kituko ni sawa pata picha kesho unamuangalia Jadakiss kwenye video yake mpya au interview pamoja na micheni yake, matattoo halaf akawa anaongea kwa lafudhi ya kizanzibari/kipemba?
    Kwa hiyo hawa jamaa waangalie fani nyingine au kama vipi waendelee kupanda minazi kuangua madafu..

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2009

    Nakuona Austin Makani.....kaka i cant u ooohhh!!! heee

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2009

    wewe koma wazanzibari ndio Baba zako

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2009

    Sifikirii kama huu ni uwanja wa kutupiana madongo ila ni kutoa comments zitakazojenga zaidi kuliko kubomoa. Usiwe na chuki na wazanzibari sisi tuko juu tu hata mkisema nini, vipaji vipo na ukiangalia watu wake wanapendeza machoni. Na hata hiyo taarab ina market zaidi huko Mainland kwa sasa kuliko hata Zanzibar, kwa hiyo that is not the issue. Mziki Mainland haukuinuka overnight, it took sometimes kwa hiyo na sisi tunakuja leo unaanza kuwaona kina Berry Black, Offside Trick etc etc... Ukija katika suala la lafudhi, Zanzibar kiswahili ndio kwao that is the home of swahili sisi hatusemi "Mologolo"

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 21, 2009

    mdau wa mwanzo hivi umewahi kukaa na kufikiri kama hayo uliyoyasema ni shauri ya chukoi binafsi au urangi? grow up idiot

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2009

    mtoto wa area c, naamini wewe ni mtoto mtoto hasa! what a stupid comments go and find something useful to do! deepstick

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 21, 2009

    Mtowa maoni (Mtoto wa Area C) isikushuhulishe kuhusu wazenj angalau tunatambuliwa wapi tunatoka na wapi tupo tatizo linakuja kwa wale wenye kutafuta wapi they belong na wakawa wana haha kila kona pia usisahau (usimlaumu Dobi Kaniki ni rangi yake )M,jackson

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 21, 2009

    Kwa picha zaidi nendeni www.swahiliremix.com

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 21, 2009

    Mtoto wa area c huna mpya,wewe sema,poroja huna la maana uliloliandika zaidi chuki,choyo na roho mbaya tu,Kalagabaho.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 21, 2009

    naam hata nami naamini huyu Mtoto wa area c ni mtoto tena sio riski! kwani wadanganyika wao ndio wako juu na musiki huu wa r&b na hip hop? au wao ndio wanaojuwa kuvaa na kuimba? hebu angalia nchi nyengine za afrika ambazo nazo zime adopt aina hii ya muziki na utaona walivyo mbele kikweli kuliko wadanganyika na wazanzibari kwa ujumla.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 21, 2009

    wacheni kujisifu kwa mambo maovu

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 22, 2009

    punguzeni jazba ndugu zangu watu kama huyu mtoto wa araea c wamejaa tele nchini, ni watu kama hawa ambao wanaturudisha nyuma katika nchi hii. kila jitihada zikipitishwa kwa jambo lolote nchini wao tayari kuweka negeative comments.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 22, 2009

    Mtoto wa area c zanzibar wamekunyima nini wewe? maana naona hii ni sizitaki mbichi hizi

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 22, 2009

    wewe uliyetwambia kama tuende www.swahiliremix.com
    kwa picha zaidi namana gani. mbona picha ni hizo hizo zilizopo hapa? kama ulitaka kujitangazia website yako si ungelisema tu, hakukuwa na haja ya kutudanganya hapa.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 22, 2009

    nimefurahi kuona mwanasiasa kama Mohamed Moyo anawasupport vijana katika fani kama muziki. Vijana zanzibar wengi wameharibika na mambo ya unga na kwa kweli fani kama hizi zinasaidia kuweka mawazo yao mbali na mambo kama madawa hayo ya kulevya hivyo pongezi zao na pongezi kwa mgeni rasmi kuencourage vijana kiasi hiki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...