hayo ndio maendeleo yalivyo sasa katika ujenzi wa daraja la umoja huku mpakani mwa msumbiji nguzo zimebaki nne kwa kuzihesabu kitu kikamilike.
Home
Unlabelled
ujenzi wa daraja la umoja wakaribia kumalizika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Heko kwa serikali zote mbili, tukipata kama hili pale Kigamboni. Mbona mambo yatakuwa mswano!!!
ReplyDeleteNaipongeza sana kampuni ya kichina inayofanya kazi hiyo ya daraja out of the public limelight.VILE VILE KUNA BARA BARA INAYOJENGWA KUELEKEA HUKO, MASASI MANGAKA.
ReplyDeleteSerikali ihakikishe tu kuwa pale Ikwiriri Somanga pakamilike upesi ili iwe tambarare toka Dsm hadi Maputo
nafikiri tuachane na majangili wakenya na uganda tuungane na wabantu wa msumbiji, Zambia, botswana jamaa na malawi hawa walfi sana kin mu7 na kibaki na kagame
ReplyDeleteInapendeza kuona Dar -maputo kunakuwa rahisi kutembeleana na biashara itazidi shamiri, Haya serikali hakuna linaloshindikana hata kigamboni mnapaweza kwani nipafupi kuliko hilo ya mpakani. Tutengenezeeni basi
ReplyDeleteBravoo! Mnyonge mnyongeni haki zake apatiwe. Kumbe kuna mazuri yafanywayo na serikali yetu.
ReplyDeletesi mchezo im definately looking forward to driving from dar to maputo!! sounds like mad fuuunnn!!!
ReplyDeletekigamboni jeee?????
ReplyDeleteivi imetushinda il'hali twajenga ayo mareeeefu km nini??
Mto gani huo?Ruvuma?Halafu huo chini ni uchafu?Hongera serikali kwakweli.Hilo ni daraja muhimu sana
ReplyDeletesio mnachekacheka tu na daraja mmejiandaa vipi na wale MATAHIRA wa VYUMA CHAKAVU?
ReplyDelete