Hallow kaka!za masiku,
hayo ndio maendeleo yalivyo sasa katika ujenzi wa daraja la umoja huku mpakani mwa msumbiji nguzo zimebaki nne kwa kuzihesabu kitu kikamilike.
Mdau John.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2009

    Heko kwa serikali zote mbili, tukipata kama hili pale Kigamboni. Mbona mambo yatakuwa mswano!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2009

    Naipongeza sana kampuni ya kichina inayofanya kazi hiyo ya daraja out of the public limelight.VILE VILE KUNA BARA BARA INAYOJENGWA KUELEKEA HUKO, MASASI MANGAKA.
    Serikali ihakikishe tu kuwa pale Ikwiriri Somanga pakamilike upesi ili iwe tambarare toka Dsm hadi Maputo

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2009

    nafikiri tuachane na majangili wakenya na uganda tuungane na wabantu wa msumbiji, Zambia, botswana jamaa na malawi hawa walfi sana kin mu7 na kibaki na kagame

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2009

    Inapendeza kuona Dar -maputo kunakuwa rahisi kutembeleana na biashara itazidi shamiri, Haya serikali hakuna linaloshindikana hata kigamboni mnapaweza kwani nipafupi kuliko hilo ya mpakani. Tutengenezeeni basi

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2009

    Bravoo! Mnyonge mnyongeni haki zake apatiwe. Kumbe kuna mazuri yafanywayo na serikali yetu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 20, 2009

    si mchezo im definately looking forward to driving from dar to maputo!! sounds like mad fuuunnn!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 20, 2009

    kigamboni jeee?????

    ivi imetushinda il'hali twajenga ayo mareeeefu km nini??

    ReplyDelete
  8. David villaMay 20, 2009

    Mto gani huo?Ruvuma?Halafu huo chini ni uchafu?Hongera serikali kwakweli.Hilo ni daraja muhimu sana

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 21, 2009

    sio mnachekacheka tu na daraja mmejiandaa vipi na wale MATAHIRA wa VYUMA CHAKAVU?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...