niko nyumbani kwa nanihii hapa beverly hills, los angeles, katika muendelezo wa vekesheni
matangazo ya hapa yanaeleza ni nani anaweza kufanya shopingi
sehemu zingine ni kama mwanza fulani hivi..
ama dodoma

mitaani LA
barabara kuu kuelekea LA






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 52 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2009

    mjomba kukosa ubingwa ukaona pa kujisunda hakuna hadi LA! picha nyingi tena nyingine zinajirudia lakini za MAN U, moja kama dawa! utaishia kujibaraguza na kujifanya ya kale hayanuki. goja may 27 tuone; tukishinda sijui vekesheni itakuwa wapi...kimbiji au kiparang'anda

    ReplyDelete
  2. Michu, you are the man, welcome to AMERICA, land of OBAMA. I like the way you spend your vacation, driving is the best way to enjoy America.

    Summer summer time, summer time.
    Have a good bro Michuzi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2009

    Kaka Michu tunakuaminia, ni kweli upo
    Sacramento wala usikonde ku-prove! Sehemu imenona ama sivyo! Enjoy! Hope you have fun!

    Mdogo wake Lunde!...............nga

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2009

    WAZEE WA VACATION, TOO BAD MMEKUWA NA MAMBO MENGI NA MUDA NI MFUPI. MLIBAKISHA KIDOGO TU KUFIKA SAN JOSE, CALIFORNIA KUTOKA STANFORD. PALE MNGEWEZA KUONA WINCHESTER'S HOUSE OF MYSTERY (JUMBA LA MAAJABU), LENYE MILANGO ZAIDI YA 400 ISIYOFUNGUKA. ILIJENGWA 1800s KWA TEKNOLOJIA YA MAJENGO YA KISASA.

    SIISHI CALIFORNIA, LAKINI NDILO JIMBO NILIPENDALO KWA VACATION. MNGEWEZA KUTEMBELEA MASHAMBA YA MIZABIBU, MITI MIKUBWA YENYE UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 1500 (THE REDWOOD VALLEY), NA MENGINEYO. AFU WANA HALI YA HEWA NZURI. HAMNA MIBARAFU NYAKATI ZA WINTER.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2009

    katika hio vekesheni yako kuendelea umechaguliwa kua mshindi wa kutembelea mkoa ungine unatakiwa kupiga simu namba 6215979019ext50 tumia neno
    njenje

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 20, 2009

    Unastahili vekesheni kubadilisha mazingira ni muhimu naona unafurahia kuvuta hewa laini isiyo na impurities! Kula maisha kaka jua huku limepimwa na kupoozwa ukirudi bongo ngozi iwe imekwiva!!
    I am happy for you.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 20, 2009

    kutoka wapi? /

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 20, 2009

    Michuzi kwetu shimo tu, Laundiwa tume sijui imeishia wapi?

    ReplyDelete
  9. Mdau, umanganiMay 20, 2009

    mkuu wa nanihiii, kwanza hongera maana naonma vekesheni inazidi kukukubali.
    Ni kweli hako kasehemu ni kama unaingia home rock city kutoka shy town, same same yaani!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 20, 2009

    duh kumbe LA sio kuzuri kiiivyo!! haya kula maisha mwana ila ukumbuke kurudi home usije kuwa kama hao kina nanihii wanaojigeuza wakimbizi wa kiuchumi na kusahau kuwa siku hizi bongo tambarare!!!! hasa wale waganda wa kagera ndo wamejaa huko!!!!
    Asifiwe, DSM,TZ.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 20, 2009

    Kwetu tunaangaika na EPA sijui Richmond na Rostam ,Mungu tusaidie

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 20, 2009

    Tafadhali Michuzi huwezi linganisha hii kitu na Bongo. US kwa highways ni kiboko hapo unaona kama lane 5 au sita hivi. Kubwa lao ni kwamba hakuna police trafic ati unatakiwa umpe rushwa. Pia huoni watu barabarani, daladala tofauti na bongo. LA inawezekana magari ni mengi zaidi compare na miji mingine ambapo tunaendesha shwari. Hujatupa contact zako mkuu lakini unakaribishwa.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 20, 2009

    misupu najua unachek game DEN na LAL

    ReplyDelete
  14. MagazetiMay 20, 2009

    Michuzi mimi sasa nilikuwa shemeji wa Gibson pale YMCA....mimi niko Columbia, South Carolina. Sasa tuwasiliane pnhigula@yahoo.com au patrick.nhigula@waldenu.edu. Tumecheza sana basketball Pazi na Magnet enzi na Kange na Zonga.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 20, 2009

    Asante kaka issa bora utuonyeshe, onyeshe maana wengine hatutegemei,wabeba box wakija wanatukoga tu... "tungeona wapi"? Ingia humo dukani basi(The most expensive in world) utupigie hata picha hizo price tags.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 20, 2009

    wewe michuzi hapo sio nyumbani kwa nannihii hapo ni kwenye APTment hiyo sio nyumba bana....thr different nyumba n APTment....halafu tena gorofani...alafu tena LA..ww michuzi acha utani wako huo

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 20, 2009

    we utaanguka na ze fulanaz yako.

    its Neyma

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 20, 2009

    jamani wenzetu wamepiga hatua c c cjui lini tutafika hatua hiyo.mmh na ufisadi unaoendelea cjui

    its Neyma

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 20, 2009

    Mithupu unawapagawisha vijana wetu hapa mjini..kesho wataenda kupanga foleni kuomba visa kuingia unyamwezini... Ohh shauri lako..mimi simo..

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 20, 2009

    Kaka hizo signs za vidole chunga sana, zina maana kubwa sana kwa magenge ya wahuni. Unaweza kuwaudhi watu wa genge adui alafu ukaumizwa bila kujua kwa nini. Hapa hata rangi za nguo unazovaa ni muhimu kwa usalama wako. Nakushauri usifanye hivyo hadharani.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 20, 2009

    ebwana kaka michuzi nimekubali!kweli mzee ulikuwa vekesheni hiyo mitaa si mchezo.ukirud nyumbani utajisikia vibaya sana kwa jinsi tulivyo nyuma bila shaka.

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 20, 2009

    misupu bwana...hahahahaa
    utafikili mtoto anamdoboshea mwezie pipi/chocolate..iyo picha ya #1

    sasa ujapata mdau yoyote aliyerekodi TUKIO LA KIHISTORIA LEO PALE SAM NUJOMA km sikosei..MJESHI na WAJESHI wezie WAMEMSHAMBULIA kwa MAKOFI NGUMI MATEKE adi chini TRAFIKI alokua anaongoza magari kisa eti msafara wao uliombeba karnali general umesimamishwa ilhali wao hawakua na king'ola
    sikuamini macho i thought nchi imachukuliwa na wajeshi/maoinduzi ya kijeshi...wanainchi wacha waaze kuwazomea wajeshi na kumpongeza trafic baada ya kujitetea kwa kupambana na mjeshi wa kwanza avoanza mchapa ikabidi waondoke.

    ivi hizi ndo sheria???km wajeshi wetu wachapa wafanyakazi wezao,sasa why wanainchi tusiue watu(kuchukua sheria mkononi?)

    wajeshi sii ndio wa kutulinda au?ila nna wasiwasi na wajeshi wa nchi hii Mungu apishie mbali,ni km wana mpango wa kutawala ivi!!!

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 20, 2009

    wajeshi wamechapa makofi traffic barabarani kabisa ktk lile foleni la Dar!!!!

    tubandikie pichaz apa hakuna kuogopa wala nini apa..enough is enough

    whaaaaaat!!

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 20, 2009

    AH! KUMBE JK ANA NYUMBA NZURI HIVYO HUKO, HAYA WAJAMENI NINAWATAKIA VEKESHENI NZURI YA KIPUPWE.

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 20, 2009

    issa na wewe hiyo uniform yako itatoboka, inabidi nikutumie T-shirt mpya ya kazi. ha ha ha

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 20, 2009

    Hako kafulana ukikachoka katundike kwenye e-bay tukagombanie, bonge ya signature.

    ReplyDelete
  27. ChakubangaMay 20, 2009

    Ahaha-:) Naona unapiga picha za barabara na baraza la hotel.Badilisha T-shirt hiyo Michuzi;uko sasa Golden State(California)

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 20, 2009

    Pitapita madukani basi kaka urudi na tshirt nyingine mbili angalau zikusogeze!

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 20, 2009

    Jamani kumbe mdau wa jana alikuwa anatania kuhusu kusahau fulanazzzzz kama kawa inazunguka dunia. have fun kaka.

    ReplyDelete
  30. AnonymousMay 20, 2009

    Michuzi tuonyeshe na picha za Tandale, Manzese,Tandika na Mbagala zao ili tujipe moyo kuwa nchi yetu haiko nyuma sana hata na wao wana uswazi!

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 20, 2009

    Utakuwa wa TK tu hapo Mkuu!

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 20, 2009

    HATA KUTOKA UCHAGGANI KUJA KUOIGA RANGI VIATU DAR NI SEHEMU YA UKIMBIZI WA KUICHUMI. OTHERWISE MNGETULIA VIJIJINI KWENU .

    ReplyDelete
  33. AnonymousMay 20, 2009

    MIMI NIPO VEKESHENI KIGOMA WHAT IS THE DIFFERENT WITH LA?Nothing my broo okey may be mimi nimekuja huku na treni ya TRL na wewe pipa lililokuwa linavuja(KLM)

    ReplyDelete
  34. AnonymousMay 20, 2009

    Babu weee Ndio nini kuweka pozi katika nchi za watu???? Chakuwekea pozi nini hasa?? Hebu rudi kwenu.

    ReplyDelete
  35. AnonymousMay 20, 2009

    Ah michuzi nimemuona manzese jana na ze fulana, hizo picha labda za zamani wajameni.

    ReplyDelete
  36. AnonymousMay 20, 2009

    WeWE annony wa may 20 6:33 unayesimulia barabara za States ACHA USHAMBA!!! Wewe inaonekana hata ulipokuwa TZ ni mshamba flani hivi, maandishi yako yanadhihirisha hilo!!! hiyo ni simulizi ya kuwapa washamba wenzako ukirudi Bongonyoso sio humu mtandaoni ujuage humu wanaingia watu wajanja kuliko wewe. vipi ushajilipua?? make kwa ushamba huo sidhani kama utarudi kwenu!!!
    Ahsante
    Asifiwe, IL, US

    ReplyDelete
  37. AnonymousMay 20, 2009

    libeneke la naniniiiiiiiiii hili hapaaaaaaaaaa!!

    http://mawasilianoikulu.blogspot.com/

    ReplyDelete
  38. AnonymousMay 20, 2009

    Michuzi wacha kutuyeyusha! Uko vekesheni au kazini? Au unadhani hatujui kazi yako? Kweli mnajua kuzuga...lakini sishangai manake ndo mlivyofundishwa.

    ReplyDelete
  39. AnonymousMay 20, 2009

    hiyo ze katisheti hadi katakoma,maana hata picha ya suti unako ndani.ndo kanamzizi mzee???

    ReplyDelete
  40. AnonymousMay 20, 2009

    Hivi huko Tegeta hakuna First Lady??? Maana kila kona tunamuona mkuu wetu peke yake hata mzee wa watoto Jacob Zuma tulimuona na First Lady.............Hizi Vekesheni hizi KULIKONI??!! mmmhh!!
    Mzawa

    ReplyDelete
  41. ongera mzee unazidi jenga jina.nadhani ume enjoy vilivyo.bro lakini hiyo picha yako uliyofaa ti sheti nilipoiona ilibidi nicheke mwenyewe yahaani unatukoga.ndo maana nasema wewe ni mzushi.huo utani kaka usinimind bure

    ReplyDelete
  42. AnonymousMay 21, 2009

    Naunga mkono.kweli wewe anony 6:33 sizani mji uliofikia umeshawahi kutoka 500mile kwa njia ya barabara.

    ReplyDelete
  43. AnonymousMay 21, 2009

    yes MWANZA in 10 years to come

    exactly,we will be there

    ReplyDelete
  44. AnonymousMay 21, 2009

    Am not in LA,never have been and probably never will.
    Comparing a city like LA vs DSM ni upumbavu uliokithiri wa hawa wapiga box.Hizo nchi zimeanza ujengwa tangu miaka ya 1600,and again,most of the resources used to build up were stolen from mamaland(Africa).And yet,they are still stilling through globalisation.

    Wabeba mabox,get to know that America suffered to be where it is now,Do u you know anything about GREAT DIPRESSION and many other scenario?How dare can STUPPID,SLAVE,MLALAHOI mbebabox merely start being proud of the American roads and the big malls,Thats chcken mid,Stupid!!

    Am very optimistic that even Tanzania will be another LA oneday.Look at the LA picture,to me it looks like POSTA MPYA na gorofa linaloonekana linanipa picha ya IPS building.

    Wabeba mabox wapumbavu kamanyie huku Gezaulole huwa tunawachinjia baharini ili mkanyonywe ulimi na samaki.Pumbavu!!!!!!!

    Mkulima-Kijijini Gezaulole.

    ReplyDelete
  45. acheni kuita watu mabwege kwa maoni yao,wanasema ni cha kweli na inasikitisha kuona balabala zetu na compare na huku duniani,mfano in uk,angalia kila kaji mji kuna junction za kueleweka laiti kama dar kungejengwa mfano wa mji mmoja basi kusingekuwa na foleni,hizi balabala zimejengwa miaka zaidi ya mia iliyopita,sasa uliza kwa huo waziri wa miundo mbinu kama hata wanaplani hiyo.hii kweli inadhihilisha mzungu tumemuondoa mapema tanzania

    ReplyDelete
  46. tatizo la bongo wakulima wengi ndo mmeshikilia vitengo.changes zitakuja once watoto wamjini wataposhika vitengo

    ReplyDelete
  47. AnonymousMay 21, 2009

    Huyo dereva alikuwa lena. Hiyo lane inaelekea Sacramento na kama mlikuwa mnaenda LA basi alikuwa anatakiwa ku exit kulia kabisa. Malizia stori jamaa ali exist vipi kwenda LA?

    ReplyDelete
  48. Mijitu mingine bwana, siipendi! eti hiyo sio nyumba ni apartment! ovyoooooo! ndio tujue unajua kidhungu ama? apartment kwa kimatumbi inaitwaje?

    ReplyDelete
  49. AnonymousMay 22, 2009

    michuu
    yan nimekufiiii sana,nakutaka saana tu,sey yess beibeee

    iyo pic yako #1 yan iyo suruale na ze fulanazz niko taabani apa mwezio

    usintupe

    ReplyDelete
  50. AnonymousMay 22, 2009

    The LA exit may not be as close as you think it is. sometimes inaweza kuwa kama 5miles away!! Mdau uliokosoa kuhusu exit!!!!
    Mdau Ubena Zamosi.

    ReplyDelete
  51. AnonymousMay 22, 2009

    Mtu yoyote anayetumia neno Mshamba katika sentance yake hana class. Ni neno la kitoto sana sidhani mtu mzima mwenye akili timamu anaweza kulitumia. Na sidhani kuna mbongo anayeweza kujifanya ni mjanja sana hivyo kwani ukifika kwa mataifa mengine tunaonekana ni watu wa kuja. Labda ujanja ni kuwa na matusi kama ya mtandao wa utamu kwa akili zako finyu. Au kufoji checks na kuiba aka mission town. Kama umesomasoma unafahamu mambo ya poverty cycle? Na unafikiri utaendelea bila kuangalia wenzako wamefanyeje kwa nchi za dunia ya tatu kama yetu? Bongo ajali zinatokea watu wanapoteza maisha kila siku itachukua muda lakini kwa taswira hizo hapo juu waweza kuona umuhimu wa multiple lanes na one way ndivyo wenzetu wanavyofanya. Tuko nyuma lakini uwezo upo ni mafisadi tu wanaoharibu. Kama waliweza kujenga twin towers kwa gharama zile then mambo mengi yanaweza kufanyika.

    ReplyDelete
  52. AnonymousMay 24, 2009

    Mbona basi usimwite Kaka Michuzi kwenye picha ya kwanza kwa jinsi alivyopiga hiyo picha ni mshamba? Na hiyo tshit aliyovaa miaka 5 ni ushamba pia? Ulishwahi kusikia bibi au babu yako, shangazi au mjomba yako, mama au baba yako akiita mtu mshamba? Fala wewe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...