Balozi wa Tanzania nchini Italy Mh.A.KARUME leo alipokea ugeni wa viongozi wakuu wa jumuiya ya Watanzania Italy walioambatana na wakili wa jumuiya Avv.Angela Felice Senese.
Pamoja na mazungumzo marefu juu ya malengo na mikakati ya jumuiya,mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania ndugu Abdulrahaman A.Alli alimtambulisha rasmi wakili wa jumuiya kwa balozi.
Balozi Karume pia alimsisitizia wakili wa jumuiya kulinda na kutetea haki na maslahi ya watanzania. Kesho ijumaa Mwenyekiti atakuwa na kikao na viongozi wa jumuiya Napoli,kikao hicho pia kitahudhuriwa na wakili wa jumuiya .
Pichani kutoka kushoto ni Avv.Angela Senese,Mh.Balozi A.Karume,Mwenyekiti wa jumuiya Italy ndugu Abdulrahaman A.Alli na Katibu mkuu wa jumuiya Italy ndugu Kagutta N.M. katika picha ya pamoja mara baada ya mazungumzo.
http://www.tnzncommunity.blogspot.com
hii! Bw.Ali Karume yakhe che che,bado hupo unaula tu,vile kule Ujerumani? waswahili walikuzonga,namna gani mwaka 2010 unakuja huo,Vipi yakhe umeshachukua
ReplyDeleteForm za kugombea unaniii?? Urais wa TZ au?
Sina uhakika na dreams za H.E. Balozi wrt Zanzibar lakini nina uhakika kuhusu kitu kimoja. Rais wa sasa za Zenji, Amani Karume, ame-prove kuwa the best President Zanzibar imeshawahi kumpata.
ReplyDeleteHe has been good for Zanzibar. I hope the Mainland can learn a few things from this guy.
Namtakia mapumziko mema baada ya kustaafu u-Rais.
baba rais
ReplyDeletekaka mkubwa rais
kaka mdogo balozi
dada------
kaka wengine -----
ukoo wa viongozi
UKOO WA VIONGOZI!
ReplyDeleteHAHAHAHAH AHAHAHA AHAHHAA HAHAHA AHAHAHHAA
WEWE KIBOKO NILIKUWA NAFIKIRI NICOMNT NINI NILIVYOSOMA HIYO TOSHA. SIJUI NANI WEYE KICHWA CHAKO SI KIZURI.
HAHAH AHAHAH AHAHA.
I do respect Baba wa Taifa enormously but sometimes it becomes boring to see some of our current political and government leaders use his name for their own gain.
ReplyDeleteWith my little knowledge, I can’t see why we should have his picture in all government offices, just as in private buildings or in small shops in Mazense or elsewhere. Not only that, I can’t see the logic of naming almost everything after his name.
Surely, our country isn’t a one man country and never was. And it looks a bit disrespective to other freedom fighters who their names were buried in the dust and that of Mwalimu is being 'over' praised now and then as if he was the only guy fought for our independence.
Of course, always in every success story, there should be one guy to be singled out as a leader. And in our case, we all accept Mwalimu was our leader in our journey towards freedom and thereafter became our first leader. Thanks for that Mwalimu! But too much of something can be harmful.
The picture above underpins!
Despite three phases came after Mwalimu’s era, his picture tells million words behind the wall of that particular office.
Mwalimu was down to earth man!”-something many of today’s leaders lack. I wonder if he could have liked all those things named after him!
Mwalimu Mafinga Primary School