
Kapitali inawakaribisha Watanzania wote na marafiki zao may 22 hadi may 24 kwa raha,starehe,muziki,michezo,nyama choma na burudani,fika washington Dc kwenye wabongo reunion ya kwanza ya aina yake.
RATIBA KAMILI:ijumaa may 22 DENIM NIGHT kuanzia 3 usiku(9:00pm)mambo yataanzia ZODIAC LOUNGE-address ni
654 Center point way
Gaithersburg,Md 20877
Dress code:pamba yoyote mradi umependeza,
Jumamosi may 23 kuanzia saa 10 jioni(4:00Pm)mambo yataanzia FAIRLAND RECREATION PARK kwa Nyama choma,mpira wa mguu
Houston stars v/s Bongo United fc na kufuatiwa na mechi kali ya kikapu,Pazi,Vijana na Don Bosco addrees ya park
3928 Green Castle Road,
Fairland,Md 20866
Baadae usiku kwenye FREE STYLE NIGHT kuanzia saa 4 usiku(10:00pm) THE HERITAGE-address ni
1337 Connecticut Ave,
Washington,Dc 20036
Dress code:vaa upendeze lakini club hairuhusu T-SHIRT au SNEAKERS
Jumapili may 24 kuanzia saa 10 jioni(4:00pm) mambo yote ni nyama choma na mpira wa miguu,wakina dada Dc v/s kina dada out state na wakipatikana wakina dada wengi watakao pendelea kucheza Netball mechi itachezwa siku hiyo ya jumapili address ya park
300 Van Buren st,Nw
Washington,Dc
na baadae usiku kuanzia saa 4 usiku(10:00pm)
WHITE PARTY NIGHT Zodiac Lounge Gaithersburg-
address ni:
654 Center Point Way
Gaithersburg,Md 20877
Dress code:pamba nyeupe lakini si lazima
MA-DJ WATAKAOKURUSHA ROHO,NA KUKUPA ILE KITU NAFSI INAPENDA NI MUTOTO YA MUJINI DJ JOE(CAT DADDY W.K.Y.S.F.M.),DJ SEIF,DJ REDDIE NA THE MIX OLDSKOOL MASTER DJ LUKE.
Kwa taarifa zaidi bofya
www.wabongoreuniondc.com
au simu
240 411 2380,
301 300 2742,
240 715 2077
Dah! hakika mlio States mnajua kula raha, yaani hadi nimetamania... :)
ReplyDeleteMdau UK.