





kwa habari zake zaidi
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka Misoup mambo viiiiiiiip naona shavu na mikonziiii ila poa kaka
ReplyDeleteNanihii una bahati sana wabongo hatuna roho mbaya, si unacheki masela wa US walivyokusitiri kwa suti zao, ukija huku Umangani, ntakuazima dishdasha (Kanzu) na aamama (Kilemba) upigie picha1
ReplyDeleteAha kweli umependeza, angalia usimsahau wife nyumbani.Mithupu TK maana yake nini?
ReplyDeleteMisoup hebu tupe story jinsi ulivyowaingia hao jamaa kuomba upige nao picha maana najua hapo ni Kiinglish kiliongewa
ReplyDelete...me..you a ...picture I mean a photo..can we beat..?
HAPO UMENIANGUSHA SANA MICHUZI.HII NDIO ILIKUWA SEHEMU YENYEWE YA ZE FULANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAZ.na ungeivaa hapo ningeamini kuna kibabu kimekupa fulana hio bagamoyo.
ReplyDeleteDuuh, Nilidhani TK ni Mbongo kumbe mzungu, nywele naona si kama zetu.
ReplyDeleteN'shikaji ulifaudu kweliii!
ReplyDeletewabeba box wakimbizi wa kiuchumii wamekula suti za SALE!!!!
ReplyDeleteKimali
Mmmh unatanua tu kaka.
ReplyDeleteHongera. Umevaa thuti ndio maana umefurahi sana sijakuonaga ktka picha ukicheka hivyo yani meno thelathini na nje yote mbili
ReplyDeleteNyie watu hizo gang signs mnazo flash mnajua maana yake lakini? Msiige mambo kwa sababu tu uko U.S. Ngoja mkutane na Crips au Bloods alafu flash hizo gang signs uone kitakachotokea......kama hatutakuchangia jeneza na nauli.
ReplyDeleteNanihiii bonge la celebrity, tunasubiri zawadi toka Obama land....mweee.
ReplyDeletemichuzi mambo yako si mabaya unapeta tu.
ReplyDeleteMzee wa bwawa la maini..ingawa unabana sana kuhusu ushindi wa ManU kwenye blog yako.Lakini jana nilipata fursa ya kukuambia kwenye uso wako ManU is a best team na ukashindwa kuitetea team yako.
ReplyDeleteKwa ujumla upokezi wa Rais Kikwete ulikua sio mbaya,lakini uswahili ulikuwa mwingi kwenye mambo ratiba.
Mdau Los angeles
Mkuu wa nanihii!!hii picha uliyopiga na dada wa Nigeria konozi moja liko wapi?mbona naona kama vidolez hapo karibu na mkandaz.Ila Big Up sana mkuu......
ReplyDeleteSasa huu ni mwisho wa Fulanazzzzzz mijumba inakusitiri poa sana kaka Michuzi! Unapendeza na hilo jumba ulilotinga ni la nguvu si mchezo!
ReplyDeleteInabidi fulanazz zistahafu! Looking nice bro.
Kaka Mkuu,
ReplyDelete"Pamba" limetuliya pahali pake,hata hilo "nanii" la "ugali wa siagi" halionekani,kama isingekuwa kawaida yako ya "mikonozzz" nisingekutambua kama ni wewe.
Uwe makini "mikonozzzz" ya huko kwa "Obama" haiendi mitupu bila ya kulambwa,usije kosa kaji-zawadi cha shemeji ukirudi kwetu kwenye jua kali.
Vekesheniiiii njema !!!
mickey@mail-online.dk
Denmark
TK ndo nini jameni???
ReplyDeletena hao mazee wawili na vidole ivo ndo nini sasa?na suti zao basi ndo wameharibu kbs haziendani na kufanya ivo...aaagh "*^^$#>::+@&**
kweli unapeta misoup...sasa JK nani anamtandika pichazzz km wewe unazurura ivo????
hahahahaaa
heeeeeeeee
ReplyDeleteHii suti yako NI ile ASANTE MRUMA sio?? Ile aliyowanunulia wakati wa Sullivan? Nadhani. Imekutoa lakini. Mruma adumu TSN.
ReplyDeleteMkuu wa wilaya ya nanihii vp? mbona kwenye hiyo picha na bibie mdau wa hollywood naona kama mtu mzima "kitu kimeenda winga"?Bibie alikupandisha wazimu wa nanilii nini?
ReplyDeleteTuandikie makala tujua vile Google alianza, na anavyo-operate
ReplyDeleteKaka Michuzi, Mimi ni mdau wako mkubwa sana wa huku Mysore - India. Tafadhali naomba uitambulishe blog yangu ya mambo ya Washindi.
ReplyDeletehttp://www.washindi.blogspot.com/
Kaka NANIHII kabla hujarudi BONGO pitia huku CANADA ni nchi jirani na USA ili utupe hai.Waombe tu hao wakuu wako(Najua haupo ktk Vacation kama unavyotudanganya),au watamaindi? maana huaminiki unaweza kuingia mitini.Wakikukubalia waambie nitakulipia nauli ya kurudi kutoka Montréal hadi DAR,usikonde
ReplyDeleteTHE KOP
MONTRÉAL
CANADA
Michuzi shemejiyetu kweli hana wivu.
ReplyDeleteSasa huko ndio kucheka au kufurahi???? Au ndio pizi la tabasamu?
ReplyDeleteEnjoy ila usisahau kazi
ReplyDeleteEnjoy ila usisahau kazi
ReplyDeleteHii post watu hawacomment sana, sijui kwanini?! Ila nahisi kama comments zinawekwa KAPUNI!!! hahahaha
ReplyDeleteannon 4.45pm,,,umenena
ReplyDeletehahahahaaaaa uwiiiiiii
bora umesema mana me nashindwa kabsaaa kuelewa izi mbongozz yan nyie kila kitu mwaiga tuu,mara madolee v mara wafuta vumbi sijui began,mara ivi mara nyooo
khaaa,mbanoa sana
annon...
ReplyDeletekonozzz moja liko apoapo uliposemea ktk kandazz
dah michu unafaudu,,afu my waifu wako wala hana noma wala nini safi sana una mke mwelewa
hitfilm pro crack
ReplyDeleteparallels desktop crack
sony vegas pro crack
easeus data recovery crack
imazing crack
device doctor pro crack
360 total security crack
ableton live crack
coreldraw graphics suite crack
quick heal total security crack