Home
Unlabelled
mambo ya freddy macha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Freddy Macha ni mfano wa kuigwa katika maendeleo ya "fani" ya wana-habari na wana-mziki kwa sisi watanzania.
ReplyDeleteShairi la mwaka 1985 mpaka hii leo lipo katika "kumbu kumbu" mbali mbali maeneo ya utamaduni Denmark.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuzindua "vita" ya kupigana na maelimisho ya usomaji na sanaa zingine za utamaduni zisimezwe na maendeleo ya kuiga nchi zilizoendelea ambazo zimefika ukutani na hazina mwelekeo wa uzinduzi wa "utamaduni" wao uliyopotea kabisa.
Watanzania turudi katika misingi yetu ya utamaduni wa jadi na usomaji wa vitabu,habari za kila siku vijijini na miji mikubwa.
mickey@mail-online.dk
Denmark
toka miaka yote iyo uko kwa watu??
ReplyDeletenini asa wee mpemba au!!
ni ayo tu
Kitabu cha Mpe maneno yake ni kipimo tosha cha kuwafahamu watanzania, ama wabongo, na nafikiri ni chaguo zuri sana kwa sisi sote ambao hatuna uwezo wa kuweka kumbukumbu za masaa matatu yaliyopita.
ReplyDeletenaamini ni mfano mzuri kwa kila mtunzi, awe wa vitabu ama mashairi, kalamu na karatasi ndiyo silaha.
lakini je, sisi watanzania ni wakweli kwa kiasi gani ili kuweza kuandika bila kutia porojo?
nimesoma kitabu ni kizuri lakini kwa mara ya kwanza kiliunzwa kwa bei ya chini sana ili hali kina thamani kubwa.