
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akikaribishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Robin Goetzsche alipowasili kwenye kiwanda cha kampuni hiyo Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, kuzindua mtambo mpya wa kisasa wa kufungasha bia.Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TBL, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya.

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda (wa pili kushoto) akibonyeza kitufe kuzindua mtambo mpya wa kisasa wa kufungasha bia katika kiwanda cha bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kunshoto ni Meneja wa kiwanda hicho, Bw. Salvatory Rweyemamu. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa (TBL), Bw. Robin Goetzsche na wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.William Lukuvi (wa tatu kulia), Waziri wa Viwanda, Buiashara na Masoko, Dkt.Mary Nagu.

Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda (kushoto) akiangalia zawadi ya bilauri aliyozawadiwa na
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Robin Goetzsche (katikati) baada kuzindua mtambo mpya wa kisasa wa kufungasha bia katika hafla iliyofanyika kiwandani hapo
Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Bi. Dorris Malulu.
Wiki mbili tu waziri huyo kakataza watu wasinywe pombe.Pombe ambazo uhuzwa kwa bei nafuu. sasa apo bila buku shing mbili ujagusa.
ReplyDeleteNimefurahishwa sana na huyo kijana kupewa nafasi ya kuongoza moja ya makampuni makubwa nchini.
ReplyDeletehuyu slavatory rweyemamu ndo yule wa ikulu au majina tu yanafanana??
ReplyDeleteASANTE KWA KUTUONESHA KUWA UNAJUA MANENO YA KISWAHILI, BILAURI HUTENGENEZWA KWA CHUMA NA GILSI HUTENGENEZWA KWA KIOO VYOMBO HIVYO VIWILI VINAFANANA KWA UMBILE NA MATUMIZI; SASA GILASI KUIITA BILAURI SI KUENDELEZA KISWAHILI BALI NI KUPOTOSHA KISWAHILI. NINAJUA KWA WALIODANDIA NJIANI KISWAHILI BILA KUJUA KILIKOTOKA VIDOLE VYAO VITAWAWASHA.
ReplyDeleteNINGEKUA WAZIRI MKUU NINGEULIZA HIZI GLASS MNATEGENEZA WAPI BONGO AU NJE,KAMA NJE KWANINI SIO BONGO..NAWAPENI MUDA MNIPE FEEDBACK HARAKA....
ReplyDeleteKUUZA POMBE KWA WATANZANIA ONLY NI KUJIUA.. NA KUHARIBU FAMILIA ZETU. LAZIMA TANZANIA IUZE POMBE ZAKE NCHI ZA NJE.. TBL KUTAKA KUUZA POMBE TANZANIA ONLY SIO MAENDELELO.
ReplyDeleteTBL ANGALIA MFANO WA BUD, STELLA AU PERONI.. ZIPO DUNIA ZIMA.. ACHA UPUMBAVU.. MAENDELEO SIO HAYO UNAYOFANYA HAPO TANZANIA.. UNAUWA WATANZANIA TUU.