Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Dr Naomi Katunzi (pili shoto), akimkabidhi zawadi, mmoja wa wanafunzi washindi wa chemsha bongo ya TEKNOHAMA, wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Mawasiliano na Jamii Habari, yaliyofikia kilele leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Prof. John Nkoma. Picha na PPR.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Dr Naomi Katunzi, akimkabidhi zawadi, mmoja wa walimu wa shule zilizofanya vizuri chemsha bongo ya TEKNOHAMA, wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Mawasiliano na Jamii Habari, yaliyofikia kilele leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Prof. John Nkoma. Picha na PPR.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...