KAMPUNI YA DMK GLOBAL PROMOTIONS NA MDOSI WANAWALETEA ONYESHO LA ALI KIBA LIVE IN WASHINGTON

***PROGAM NI KAMA IFUATAVYO

**JUMAMOSI-JUNE 13
**ZANZIBAR NIGHT CLUB AT THE WATER FRONT**
700 WATER STREE, NW
WASHINGTON DC
***DOORS OPEN @ 9 PM
***KIINGILIO JUST $ 20

***WAALIKWA TOKA TANZANIA,KENYA,
UGANDA,RWANDA,BURUNDI,ZAIRE
ALSO DC SUPER STARS
***THA SWAHILI***
WATAFUNGUA SHOW YA ALI KIBA
SUPER STAR DJS LINE UP
DJ BANTI & OLD SCHOOL MIX MASTER DJ LUKE
MAELEZO ZAIDI-
301-661-6207
OR
301-760-7237-
DICKSON a.k.a Mr DMK

VISIT
AU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2009

    Huyu jamaa ni mshamba saana anakubali kupeperusha bendera ya Kenya badala ya nchi yake maana watu wengi huku USA wanajua anatoka Kenya. Basi mkenya mmoja akawaanusumulia musician toka kwao jinsi alivyotumbuiza nikauliza anaitwa nani, nikajibiwa Ali Kiba. Nikabaki gaa, no Ali kiba is from TZ while is too late.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2009

    Bwahaaaaaaaaaaa
    Yale yale ya Kilimanjaro kua Kenya.
    Waacheni wakenya wajisifie.
    Mbona tunamjua kwamba mama yake anatoka Kigoma na baba yake ni msambaa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2009

    Hii tena imekaje.Kama mdau hapo juu aliesema anapeperusha bendela ya kenya baadala ya Tanzania. jamani mbona kila siku Wabongo wanapenda kujirudisha nyuma hivyo. Michosho sana huyu ali kiba, Tena ache mara moja kujivyunia na hao majilani. Tanzania yetu nzuri sana yenye milima na mabonde,nini? tena kwenda kujipakaza ya majilani. kama hataki kuonekan mbongo na ahamie huo kenya na awe wa uko na ndio apeperushe hiyo bendela. Huko kwa kina laila kama anakusudisha. Kutwa wanamalizana wenyewe kwa wenyewe ohhh!!!! mara laila, mara kibaki. Mungu ibariki Tanzania. heshima umoja na amani, na kama hao mafisadi huko kenya ndio mishosho kabisa kwa tarifa yake, Tanzania mafisadi watacha tuu, kwani ni kurekebishana, fisadi nani? na asiefisadi ni nani? ni kumbuana na kufungwa jela na utaifishaji ndio dawa ya mafisadi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 10, 2009

    sasa atafanyaje wakati mapromota wote wanaompeleka huko ughaibuni ni wakenya, na wabongo wamelala tu?
    don't just complain do something abt it. ndo yale yale ya mlima kili, complain nyingi lakini no action. nani atawafanyia kama sio nyinyi wenyewe? grow up kids!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 10, 2009

    Bongo Tumekalia UTAPELI na UFISADI,matokeo kila mtu anatafuta wapi kwa kujilipua kama Kenya,UK au USA .yote maisha.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 11, 2009

    Dogo punguza dharau wewe uliza wenzio walikuwa wanajifanya na maringo leo wako wap?
    mas wimbo wa MAC MUGA utakuwa umejiimba wewe mwenyewe heshima wa kwenu.....zirokweli kweli wewe

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 11, 2009

    wabongo kila kitu mnaonewa.sasa leo wakenya wamewachukulia mwimbaji wenu? ha ha ha mnakuwa kama mitoto midogo.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 12, 2009

    YOTE HAYO NI SHAURI YA MICHUZI. TUMEMWAMBIA MARA KIBAO HUYU JAMAA ANATEMBEZA BENDERA YA KENYA KWENYE MAONYESHO YAKE LAKINI AKAONA KAMA TUNAONA WIVU. SEMENI NYIE WENGINE TUKISEMA TUNAOSHA VINYWA! LOL

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 13, 2009

    haitusaidii,wala hatusaidii
    Tz haitofutika itadumu tu km nchi

    music nini bwanaaa??

    kwani roho ziwapipuke kwa uyu kavulana?simply sijui kaja mamtoni,bendera sijui nk nk

    kuna vitu vya msingi tuvizingatie vibadilike ndo vitambulishe nchi:MADINI,MBUGA,MILIMA,VIVUTIO VYA KITALII,UTAMADUNI,SHULE nk nk

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...