Bjarne Sorensen baada ya kuweka jiwe la Msingi la ukarabati wa barabara ya TANZAM
sehemu ya Iyovi-Kitonga Gorge na Ikokoto –Iringa pamoja na barabra ya mchepuko ya
kuingia Iringa mjini zote zikiwa na urefu wa kilometa 149.6 katika sherehe
zilizofanyika Mazombe wilayani Kilolo Juni 14, 2009. Kulia ni Waziri wa
Miundombinu, Dr. Shukuru Kawambwa na katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mohamed
Abdulaziz
HIVI KUNAAJENDA GANI SERIKALINI KUHUSIANA NA BARABARA KUU YA KASKAZINI? KWANINI BARABARA HII KATI YA IRINGA, DODOMA NA ARUSHA HAIJENGWI BADALA YAKE ZINAJENGWA BARABARA ZISIZO NA UMUHIMU MKUBWA. INAELEKEA HAPA SIASA INATUMIKA ZAIDI KULIKO UKWELI.
ReplyDeleteale bee kuboma uko...
ReplyDeletewahungile kukae
Kinachoshangaza ni kuwa hata ujenzi wa barabara haujaisha barabara zinaanza kubomoka.
ReplyDeleteHaya ni maajabu kabisa na hao wakandarasi wanapewa barabara nyingine kujenga.
Kweli sirikali ya bongo ni kichwa cha mwendaazimu.....