Home
Unlabelled
kombe la mabingwa wa mabara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mashabiki Wasauzi wana matarumbeta yao yana kelele mpaka unashindwa kuangalia mpira kwa amani unapokuwa nyumbani kwako.
ReplyDeleteHeheh hilo tarumbeta linaitwa VUVUZELA Kizulu vurugu tupu
ReplyDeleteJe mashabiki wa tanzania wana nini ambacho kinafurahisha au kuonyesha upenzi wa timu yao. matarumbeta haya tunayaita "vuvuzela",nadhani pia uliona,yalikua ndani ya nyumba siku mzee madiba,tutu,walipokua zurich ambapo blatter alitangaza rasmi kuhost world cup,na vuvuzela zilipulizwa pia.
ReplyDeletehiyo ndio "symbol" ya ushabiki south africa. na pia wanapenda sana soccer la kwao,sio kama tanzania, kila mtu manchester,liver,chelsea,barca,uzushi mtupu
Mitarumbeta hiyo inaitwa Vuvuzela hata mimi ninayo!Picha hiyo imepigwa wakati niko meneo hayo ila nilikua naelekea kwenye Fifa ticket center kuchukua tickect zangu!Kaka Michuzi Upo SA mpaka lini?I wish to meet u sir! I'm worried kumbe ninge kutana na wewe sandton jana!enjoy vakesheni yako.One love
ReplyDeleteHilo VUVUZELA ni kero kweli kweli unapokuwa unaangalia mpira. Lakini pia tunawasifu Wasauzi kwa ubunifu wa ushangiliaji ambao ni unique.
ReplyDelete