MAMBO MATAMU HAYA NI MAALUMU KWA AJILI YA KUWASHUKURU NA PIA KUTAMBUA MCHANGO MKUBWA WAPENDA BURUDANI WA HOUSTON NA NEW CLUB SAFARI.

SAFARI ENTERTAINMENT
INAKULETEA
'USIKU WA KUWASHUKURU WADAU WA BURUDANI WA HOUSTON'
GOLDEN THURSDAY NITE

NI USIKU WA KUPONDA RAHA KWA UBWETE KABISA NDANI YA CLUB SAFARI,KUANZIA ALHAMISI HII TAR, 2 JULAI HAKUNA KIINGILIO (NO COVER), KILA ALHAMISI KUANZIA SAA 3 USIKU MPAKA SAA 8 ZA ASUBUHI.

NJOO UPATE 'MIPINI MIPYA NA OLD SKOOL ZA KUFA MTU' KUTOKA KWA 'THE POST' DJ KAYCEE AKISHIRIKIANA VIZURI NA DJ 8TH WONDER,

MILANGO NA HUDUMA YA VINYWAJI NI WAZI KUANZIA SAA MOJA USIKU, HIVYO NJOO MAPEMAA ILI USIKOSE UHONDO!

KARIBUNI WOTE KILA ALHAMISI NDANI YA

CLUB SAFARI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2009

    sasa watu wa houston tumezidi ,kupati mpaka alhamisi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 01, 2009

    saa 3 usiku mpaka saa 8 asubuhi....uliku na maana ya saa 2AM ama......manake kama ni 8AM basi huko hakufai kuishi....hata hivyo alhamisi iwe 2AM au 8AM hizo kazi ijumaa mtaenda saa ngapi?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 01, 2009

    asante kwa swali lako zuri. huku saa 8 usiku sisi tunaita saa 8 asubuhi ma kwa kiingereza 2 in the morning. hivyo tuna maanisha saa 8 za usiku. na kama ni kazini watu wataenda tu kwani kuna watu wanafanya kazi j'mosi na j'pili na bado wanaenda kwenye starehe siku hizo hizo, so hilo ni swala la ratiba ya mtu tu, kama wewe hutaweza basi tunakukaribisha siku nyingine ambayo utaweza, club safari iko wazi thursday , friday saturday, asante kwa kuuliza.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2009

    Wadau mbona hii Club Safari ina address tofauti na ile ambayo ilikuwa ikitangazwa siku za nyuma pale Bissonnet, au kuna Safari Club mbili? Nisaidieni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...