SAFARI ENTERTAINMENT
INAKULETEA
'USIKU WA KUWASHUKURU WADAU WA BURUDANI WA HOUSTON'
GOLDEN THURSDAY NITE
NI USIKU WA KUPONDA RAHA KWA UBWETE KABISA NDANI YA CLUB SAFARI,KUANZIA ALHAMISI HII TAR, 2 JULAI HAKUNA KIINGILIO (NO COVER), KILA ALHAMISI KUANZIA SAA 3 USIKU MPAKA SAA 8 ZA ASUBUHI.
NJOO UPATE 'MIPINI MIPYA NA OLD SKOOL ZA KUFA MTU' KUTOKA KWA 'THE POST' DJ KAYCEE AKISHIRIKIANA VIZURI NA DJ 8TH WONDER,
MILANGO NA HUDUMA YA VINYWAJI NI WAZI KUANZIA SAA MOJA USIKU, HIVYO NJOO MAPEMAA ILI USIKOSE UHONDO!
KARIBUNI WOTE KILA ALHAMISI NDANI YA
CLUB SAFARI
sasa watu wa houston tumezidi ,kupati mpaka alhamisi
ReplyDeletesaa 3 usiku mpaka saa 8 asubuhi....uliku na maana ya saa 2AM ama......manake kama ni 8AM basi huko hakufai kuishi....hata hivyo alhamisi iwe 2AM au 8AM hizo kazi ijumaa mtaenda saa ngapi?
ReplyDeleteasante kwa swali lako zuri. huku saa 8 usiku sisi tunaita saa 8 asubuhi ma kwa kiingereza 2 in the morning. hivyo tuna maanisha saa 8 za usiku. na kama ni kazini watu wataenda tu kwani kuna watu wanafanya kazi j'mosi na j'pili na bado wanaenda kwenye starehe siku hizo hizo, so hilo ni swala la ratiba ya mtu tu, kama wewe hutaweza basi tunakukaribisha siku nyingine ambayo utaweza, club safari iko wazi thursday , friday saturday, asante kwa kuuliza.
ReplyDeleteWadau mbona hii Club Safari ina address tofauti na ile ambayo ilikuwa ikitangazwa siku za nyuma pale Bissonnet, au kuna Safari Club mbili? Nisaidieni.
ReplyDelete