Home
Unlabelled
Basi la Scarlink laungua moto mwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
dah hatari sana
ReplyDeletedah hatari sana
ReplyDeletehttp://www.goal.com/en/news/89/africa/2009/06/01/1298885/tanzanian-midfielder-nurdin-bakari-unfit-for-new-zealand KUHUSU NURDIN BAKARI
ReplyDeleteWe mdau uliyelete habari hii, Hulumalwa ndio wapi? Bila shaka kwa kuweka kwenye mabano umegundua siyo jina la sehemu hiyo. Ni kwamba kijiji hicho kinaitwa Ng'hungumalwa.
ReplyDeleteKazi wa Ng'hungumalwa
Kujeruhiwa je?
ReplyDeletesasa wewe anony 3:48pm, sawa kwa ujumbe wako ila comment yako haiko sambamba na habari hapo juu au ndio ushabiki umekolea?
ReplyDeletewewe anony ulituwekea hapa habari ya Nurdin Bakari umechanganyikiwa?? au kuna kitu knaisumbua akili yako? we umeona tunaomngea mpira hapa?? alah!!
ReplyDeleteMungu ashukuriwe kwamba hakuna aliyepoteza maisha. Nimewahi kusafiri kwa basi la Scanlink na kujiwekea nadhiri ya kulikwepa nisilisafirie tena. Walianza kuniudhi kwa kutumia madalali kukata tiketi wakijifanya waajiriwa wa kampuni. Wakanilangua tiketi. Basi lilikuwa na viti vibovu. Njiani dreva alilivaa shimo barabarani nikashtukia nimepakata abiria waliokuwa wamekaa kwenye kiti cha mbele yangu. Miguu ya kile kiti ilinyofoka kutoka kwenye bodi. Kwa uendeshaji wa kampuni wa mtindo ule suala la mabasi kuwaka moto sio ajabu.
ReplyDeleteThis is the best way to get money out of those stupid insurance companies! Ehh teh teh! janja ya nyani hiyo! I have been there.
ReplyDeleteIt's quit okay they screw you, you screw them back in this order!
You never hear any injuries in situations like this. This is just a Rhetoric thinking, just think about it!
Mdau (makini)
izi 3rd hand izi?
ReplyDeleteJAMANI