Basi la scarlink limeungua moto leo asubuhi mkoani Mwanza maeneo ya (Hulumalwa) likitokea Mwanza kwenda Dar. Hakukuwa na maafa wala majeruhi, abiria na wafanyakazi wa basi waliwahi kujisalimisha. Chanzo cha ajali hii bado kujulikana na uchunguzi wa polisi unaendelea
Mdau wa Mwanza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2009

    http://www.goal.com/en/news/89/africa/2009/06/01/1298885/tanzanian-midfielder-nurdin-bakari-unfit-for-new-zealand KUHUSU NURDIN BAKARI

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2009

    We mdau uliyelete habari hii, Hulumalwa ndio wapi? Bila shaka kwa kuweka kwenye mabano umegundua siyo jina la sehemu hiyo. Ni kwamba kijiji hicho kinaitwa Ng'hungumalwa.
    Kazi wa Ng'hungumalwa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2009

    Kujeruhiwa je?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 01, 2009

    sasa wewe anony 3:48pm, sawa kwa ujumbe wako ila comment yako haiko sambamba na habari hapo juu au ndio ushabiki umekolea?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 01, 2009

    wewe anony ulituwekea hapa habari ya Nurdin Bakari umechanganyikiwa?? au kuna kitu knaisumbua akili yako? we umeona tunaomngea mpira hapa?? alah!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 01, 2009

    Mungu ashukuriwe kwamba hakuna aliyepoteza maisha. Nimewahi kusafiri kwa basi la Scanlink na kujiwekea nadhiri ya kulikwepa nisilisafirie tena. Walianza kuniudhi kwa kutumia madalali kukata tiketi wakijifanya waajiriwa wa kampuni. Wakanilangua tiketi. Basi lilikuwa na viti vibovu. Njiani dreva alilivaa shimo barabarani nikashtukia nimepakata abiria waliokuwa wamekaa kwenye kiti cha mbele yangu. Miguu ya kile kiti ilinyofoka kutoka kwenye bodi. Kwa uendeshaji wa kampuni wa mtindo ule suala la mabasi kuwaka moto sio ajabu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 01, 2009

    This is the best way to get money out of those stupid insurance companies! Ehh teh teh! janja ya nyani hiyo! I have been there.
    It's quit okay they screw you, you screw them back in this order!

    You never hear any injuries in situations like this. This is just a Rhetoric thinking, just think about it!
    Mdau (makini)

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 02, 2009

    izi 3rd hand izi?

    JAMANI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...