Home
Unlabelled
bei ya madafu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
pound juu, juu ,juu zaidi !
ReplyDeleteMa mwenye kofia yako mi nakuzimia !
Kaima (UK)
where r we heading at??
ReplyDeleteall this money?
Asante kwa hii data mkuu.
ReplyDeleteWadau ukiangalia kwenye ubao inaonesha shilingi 10 za Bongo ni sawa na YEN moja ya Japan, yaani Yen imezidiwa na hata shilingi ya Kenya, lakini mbona uchumi wa Japan ni mkubwa kuliko wa Kenya, hapo inakuwaje? Hii ni blog ya jamii na mimi ni mwanajamii hebu nielewesheni.
ReplyDeletePoa sana
ReplyDeleteAnonymous wa 2.29, kwa uelewa wangu mimi, dhamani ya pesa haimaanishi uchumi wa nchi uko juu, mfano, Rial moja ya Oman ni sawa na rial 10 za Qatar, ila uchumi wa qatar uko juu vibaya na ndo nchi pekee duniani ambayo haikuguswa na recession. labda wadau walioumiza akili kwenye uchumi watueleweshe zaidi
ReplyDeletemimi sio mchumi,lakini kuhusu thamani ya pesa ya nchi nachofahamu ni kuwa inategemea export ya nchi hiyo kwenda ktk soko la dunia,sasa kama utakuta wanaexport kubwa ktk soko la dunia,na kwavile forex nyingi hupimwa kulingana na dolar kwanza,basi ninavyoelewa mimi fedha ya nchi hiyo hupanda thamani yake ili kupunguza kuzagaa kwa dola inapo badilishwa na pesa ya nchi hiyo.
ReplyDeletetuchukulie kama mauzo mathalani ya mafuta[fuel],almasi,dhahabu n.k kama nchi inazalisha bidhaa hizo ambazo huhitajika ktk soko la dunia sana,na wakauza wao moja kwamoja ktk soko la dunia,na sio kupitia makampuni ya kigeni kama tunavyouza dhahabu na almasi zetu(yaani wanachimba zinakuwa zao kisha wanauza kwa jina la nchi mama ya kampuni hiyo) basi thamani ya currency yao itapanda kupunguza mfumuko wa dola,yaani inaweza kuwa mfano Tsh 10=1USD. KISHA mlinganyo unafuata kwa fedha za nyingine.
sijui kama nikosawa kama nimekosea nakubali pia kuelemishwa na wataalam wa nyanja hiyo kwa upana.
maana mie nalichukulia kama ni swala la PRODUCTION,SUPPLY and DEMAND relationship ktk soko la dunia.
kaka hata mimi hapo uw sielewi kwa sababu lily Italia 10,000 ni sawa na Tzs 4,200 lakini wao wako juu zaidi kiuchumi tunomba msaada kwa wale wenye ujuzi wa economics. ni hayo tu kaka.
ReplyDeleteMdau wa kwanza juu, kufurahia kupanda kwa Pound si jambo la mafanikio na kufurahia hivyo, kwani ndugu zako wa TZ wanaumia kwa kuwa SH imeshuka, gharama ya maisha juu. Wewe utaona mafanikio utakapotuma visenti vyako lakini watu milioni 44 wanateseka bongo. Inabidi usikitishwe na suala hilo.
ReplyDelete