DEAR MICHUZI,
I WOULD LIKE TO SHARE THIS WITH PEOPLE WHO ARE INTERESTED TO BOOST UP THE TOURISM INDUSTRY IN TANZANIA.
WE ARE THANKFUL TO THE GOVERNMENT ON THE NEW BUDGET FOR THE YEAR 2009 WHERE WE HAVE SEEN SOME MAJOR REDUCTION IN TAXES, ALL THIS IS TO BOOST UP THE ECONOMY OF THE COUNTRY AS ALL OVER THE WORLD THERE IS AN OUTCRY OF ECONOMIC CRISIS.
IN MY OPINION, THE BUDGET HIGHLIGHTS FOR THE TOURISM SECTOR DO NOT OFFER ANY HOPE FOR THE INDUSTRY. THE REDUCTION OF VISA FEES FROM $100 TO US50 IS NOT GOOD ENOUGH TO BOOST UP THE TOURISM INDUSTRY IN THE COUNTRY AS THE REDUCTION ONLY BENEFITS FOREGINERS WHO COME INTO THE COUNTRY AND LET US NOT FORGET NOT EVERYONE WHO COMES INTO THE COUNTRY IS A TOURIST.
IF WE WANT TO BOOST UP TOURISM IN TANZANIA, THE BEST WAY IS TO SEE WHAT MAKES TANZANIAN SAFARI ONE OF THE MOST EXPENSIVE HOLIDAYS COMPARED TO OTHER COUNTRIES IN THE WORLD AND WORK AROUND MITIGATING THE FEW AREAS.
AS A STAKEHOLDEDR IN THE INDUSTRY, THE BEST THE GOVERNMENT SHOULD DO IS TO KEEP AN EYE ON PARK FEES, REDUCE LANDING FEES AT KILIMANJARO INTERNATIONAL AIRPORT TO CATER FOR MORE AIRLINES TO LAND ON GROUND, REDUCE THE LICENCE TO CARRY TOURIST AND REMOVE USD 200 AS CRATER SERVICE FEE FOR EACH CAR GOING INTO THE CRATER, ABOLISH TRANSIT FEES OF 50 USD PER PERSON FOR CROSSING NGORONGORO AND SEREN GETI.
ALL THESE ARE THE MAJOR ELEMENTS WHICH IF THE GOVERNMENT COULD TAKE CONSIDERATION, IT WILL BE BOOSTING THE SECTOR TREMEDOUSLY AND WE SEE SHALL AN INCREASE IN THE NUMBER OF TOURISTS INTO THE COUNTRY AN OPPORTUNITY WHICH WILL GIVE TOUR OPERATORS A CHANCE TO REDUCE PRICES FOR SAFARI PACKAGES AS WELL WHICH ROTATION WILL BE HIGH COMPARE TO OTHER PLACE,
REGARDS
BALTAZAR ATHANAS
KIPEPEO TOURS
ARUSHA
TANZANIA.
we Baltazar mi nilifikiri una akili kumbe matope. we unafikiri income ittoka wapi wakiondoa vitu vyote hivyo.
ReplyDeleteUnakumbuka walipopandisha crater service kutoka 100 mpaka 200 mkasema watu hawataingia crater mbona bado wanaingia.
Then tuangalie enviromental factor ile crater ni ndogo inatakiwa kuwa na limit ya magari we ukisema kila mtu aingie bure utakuwa unaenda kuangalia magari au?
Think before u bwabwajazzzzzz
Wabongo hacheni upuuzi, Tanzania ina idadi ya watu milioni 40 ambapo nusu yake haijui kiswahili, iweje wewe kama mtanzania uandike habari yako kwa kiingereza wakati idadi kubwa ni ya watu wasio fahamu kiingereza, utafikishaje ujumbe kwa jamii? Au Kiingereza ndio kipimo cha kuonesha umesoma na una akili?
ReplyDeleteKiswahili kidumu.
sisi wengine tuna birthrights zetu hapo tanzania,kitendo cha kutucharge tourist rate tunapoingia kwenye mbuga is not right.kuwa na passport ingine isiwe sababu ya kutuumiza wakati sisi ni wazawa
ReplyDeletemimi ni tanzania pia naongea na kuwelewa lugha ya kingereza anyway nimemuelewa sana baltazal kwakuwa mimi pia nafanya utalii as tourguide-sio kila mzungu anayekuja tanzania ni mtalii wengine ni wezi kama ujatambua habari ndio hiyo, sasa kunawazungu wanaokuja kwa kazi za kujitolea na utakuta wengi wao ni wanafunzi wanakosa hela za kutosha ,mimi nafikiri bajeti ingezigatia gharama kama za kupanda mlima kilimanjaro ,kuingia kreta na other fees ufanya watalii waweze kulipa otherwise kuna wageni wanarudi makwao bila kwenda safari labda wanakwenda zanzibar beach,bagamoyo,kigamboni lakini kwenye faida kwa n´chi wanashindwa´, ipungue kidogo lakini isile kwetu ,viza piga uwa watalipa hata ikiwa 200us kwakuwa lazima waje tanzania ,ila safari sio lazima kwao ukizingatia kuna vitu vingi tanzania vya kuangalia kwa bei nafuu na wakaenjoy kama mikumi wanaweza kwenda na daladala mpaka morogoro ,ruaha,mwanza halafu wewe no1 acha kutukana watu kwanza ujui uchungu wa utalii-
ReplyDeleteNaungana na mdau wa kwanza. Lengo la serikali ni kuongeza mapato siyo kuongeza idadi ya watalii bila kuongeza mapato. Mawazo yako ni ya kifisadi zaidi kwani yatawanufaisha watu wanaofanya biashara hiyo ya utalii kama wewe na kuacha taifa maskini.
ReplyDeleteThe thinking by this guy is askew. How does not understand whether he is coming or going. First he hits out at the government for lowering the the visa fees. Then he advocates for the lowering of so many local fees that most tourists have not problem in paying. How are his suggestions going to help Tanzania make more money from the tourist industry?
ReplyDeleteA friend of Tanzania (St. Kitts and Nevis, West Indies)
ebwana mkuu Bongo inaitaji vitu vingi kunyanyua utalii..watu wengi tunafikiri kuwepo kwa mlima kilimanjaro, mbuga za wanyama na beaches ndo utalii tayari..utalii wa Bongo unaitaji lots of promotions, domestic tourism inabidi upewe nafasi mana economic crisis na mambo mwengi yamekumba dunia na international touirism imeasirika...wahusika wa wizara ya utalii na sekta binafsi ndo jukumu lao kubwa kufanikisha utalii unakua...tunaomba msilale mana tanzania inaita mengi kubadilika..
ReplyDeletehasa suala la landing fee. hili kweli ni tatizo kwani kinasababisha nauli kuwa kubwa sana. tunakosa watalii pamoja na mambo mengine kwa sababu ya hii landing fee. watanzania wengi pamoja na wageni huamua kushuka Nairobi na kuchukua shuttle ambayo ni rahisi.
ReplyDeletemwaka jana nilikuja nyumbani ambapo kwenye shuttle tulikuwa na watalii wengi sana ambao walishukia Nairobi kwa sababu ya nauli kubwa za kuja Tanzaia ambazo zinasababishwa na landing fees.
Jamani watanzania tujitahidi sana kuweka kutumia blog ya kaka michuzi vizuri kwani inasomwa karibu dunia nzima, pia cha msingi kabisa hapa kwa huyu bwana Kipepeo kama nimemuelewa vizuri hapo kabla hajaanza uchambuzi wake amesema kwa mawazo yake binafsi ndicho alichoona kitasaidia kuongeza uchumi wa nchi kwani yeye ni mdau wa sekta labda anaongea hayo from the experiance, sidhani kabisa kama huyu bwana kaongea matope ila kwa kutumia lugha ya kizungu ndio kidogo kachemka ila ndugu zangu tukiangalia swala la kunyanyua uchumi kwenye sekta ya ni kupnguza bei ili upate watu wengi wanaoingia kwenye park ina maana mzunguko wako wa fedha utakuwa mkubwa,nchi kama Argentina uchumi wake uliporomoka sana miaka ya 2002/2004 walichokifanya wana uchumi walipunguza gharama za ndege, mahotel na vivutio vya utalii kwa asilimia 50% nchi ile sasa hivi uchumi wake umekuwa juu kuliko sana, sasa ndugu yangu unaesema tuangalie enviroment factor hapo ndio naona unaongea matope,kuhusu swala la mazingira unatakiwa ulalamike wale wanaochimba dhahabu na almasi ni jinsi gani nchi yako inaachwa andaki on top of that they have taxes exemptions lakini kwa utalii kuanzia mtumiaji mpaka mfanyakazi wa park anatakiwa kutunza mazingira ya crater,CRATER SERVICE ITAKAPOTOLEWA KUNA SEHEMU NYINGI ZA KUFIDIA HILO PENGO KAMA VILE KODI ZA BIA, SIGARA,VOCHA ZA SIMU, TOA MISAMAHA YOTE KODI KWA WACHIMBA MADINI KUNA FACTORS NYINGI SANA, UJUE PIA WATANZANIA WENGI SASA HIVI WANAJUA KINGEREZA TOFAUTI NA ENZI ZA MWALIMU, ILA CHA MSINGI NI KWAMBA TOUR YA TANZANIA IMEKUWA NI YA 2 KWA KUWA GHALI ZAIDI DUNIANI SASA TUSHUSHE BEI TUPATE FEDHA ZA KIGENI AU TURINGE WATATOTO WETU WAFE KWA NJAA NA KUKOSA MADAWA WAKATI UCHUMI TUMEUKALIA?
ReplyDeletePETER MWAKILASA
IRINGA
WATANZANIA UTALII NI MUHIMU SANA TENA HAKUNA KITU KINATUNZA MAZINGIRA KAMA UTALII WASHUSHE BEI WAZUNGU WAJE KWA WINGI KUTALII PESA NYINGI ZIINGIE NCHINI ACHENI USHAMBA KAZI YA WAFANYAKAZI WA PARK NI KUREBISHA NA KUHAKIKISHA MAZINGIRA YANATUNZWA NA WALA SIO KUPANDISHA BEI NDIO KUTUNZA MAZINGI, WEWE UNAESEMA BALTAZAR ANABWABAJ NDIO HUJUI CHOCHOTE KABISA SASA HIVI PARK FEES ZILIVYOKUWA GALI WATALII WANAPOKUJA WANASHANGAA HELA ZINAKWENDA WAPI JINSI MASHIMO BARABARANI CRATER YENYEWE NJIA NI MBAYA SANA UTUNZAJIA GANI WA MAZINGIRA UNASEMA WEWE TUULIZE SISI TUNAVYOTESEKA NA HIZO BARABARA NA KILA MWAKA WANATUMIA MAMILION KUKARABATI WAKATI ROMANS HAWAKUWA NA LAMI LAKINI BARABARA ZAO ZIKO SAFI MPAKA SASA HIVI HEBU TUAMKE TUTOE MAWAZO YA AKILI SIO KUTOA KASHFA KWA WANAOTOA MAWAZO MAZURI.
ReplyDeleteSHARIFA AHMAD
Anayesema sijui utlii naanyesema nimuulize yeye anayeteseka na shimo nyie ndo hamjui utalii.
ReplyDeleteMie niko crater almost everyweek kutengeza barabara sio kutunza mazingira. Barabara za masai mara mbaya kuliko unavyo fikiri lakini wanapata watalii wengi kuliko wanaoingia Ngorongoro na serengeti.
Hizo gharama za utalii sio za kushusha tu unaangaliana vitu kama tourism promotions we unafikiri ukishusha gharama ndio watalii watajua kuna nchi inaitwa Tanzania.
Tujaribu kufanya kitu kimoja gharama ziwe hizo hizo, lakini tuhakikishe tunakuwa na matangazo ya kutosha then tuone kama utalii haujapanda
MATHAI NI THINK YOU DONT KNOW WHAT YOU ARE SAYING, I WORK IN TOURISM SECTOR FOR 15 YEARS NOW TANZANIA SAFARIS, I RECEIVE 200 INQURY A MONTH 170 THEY HAVE PROBLEMS IN PAYING AND 30% THE ESCAPE WITH SOME MONEY HOW COMES YOU SAID TOURIST HAVE NO PROBLEM IN PAYING AND GUYS BALTAZAR RAISE A VERY IMPORTANT POINT OF HELPING TOURISM WHAT I SEE THIS TOPIC IS THAT PEOPLE WHO ARE NOT IN THE INDUSTRY ARE THE ONE TO WIDE THEIR MOUTH WITH WRONG INFORMATION FUN IDEA OF SAYING WE DONT MUCH TOURIST FOR ENVIROMENT FACTORS IF THAT THE POINT DO WE NEED TO SAY KILIMANJARO AIRPORT KEEP HIGH COST OF LANDING FEES TO PROTECT THE ENVIROMENT TAKE IN TO CONSIDERATION EATHROW AIPORT EVERY 5 MINUTES FLIGHT COMOING AND GOING AND STILL THE RUN WAY AND THE AREA ARE VERY CLEAN CLEAN, WE JUST NEED TO THINK ON WHAT TO DO.
ReplyDeleteTAKE IN TO CONSIDERATION MR BALTAZAR WHAT HE SUGGEST IS WAVE AND REDUSE DOES NOT MEAN HE WANT PARK ENTRY TO BE FREE IMAGINE WHEN TOURIST SAFARI MANYARA, NGORONGORO AND SERENGETI FEES ONLY FOR THE 3 PARKS IS LIKE THIS MANYARA 35 USD, NGORONGORO 50 USD AND 200 USD PER CAR, CROSSING TO ENTER SERENGETI 50 USD,WHEN YOU ARE INSIDE SERENGETI YOU PAY 50 USD EACH DAY HERE WE HAVE THE TOTAL OF 385 USD PER PERSON HERE YOU HAVE NOT ADD TRANSPORT, HOTEL AND PROFIT
WHAT THE GUYS WAS SUGGESTING IS THAT 50USD PER PERSON PER DAY AS A PARK FEES TO REMAIN AND GOVERMENT TO KEEP AN EYES ON OTHER STUFF,
IF YOU GUYS HAVE PAIN FOR YOUR COUNTRY WHY CANT ASK YOUR GOVERMENT WHAT DO THEY DO WITH MAFISADI WHO HAVE TAKEN SO MUCH MONEY OF THE COUNTRY,EVIDENCE ARE THERE BUT AT THE SAME YOU HAVE LAWYERS WHO DEFENCE THEM IN COART WHERE ARE WE GOING GUYS
FELIX
Bwana Baltazar ana point, tatizo anajaribu lugha za watu ambazo haziwezi.
ReplyDeleteIssue ni kwamba how can we attract more tourists? This is a broader issue to be discussed.
Lowering fees is one of the incentives, but it is not enough.
Obviously, infrastructure improvement is paramount to attracting more tourists. Niwaulize kwanini hatuna watalii wengi wa kimarekani? Kwasababu wajinga wengi wa kimarekani hawaki kutumia hela yao kuja kupata shida. When one goes to vacation they are supposed to relax, and not suffer through roads that are impassable.
Kwahiyo mimi nafikiri tuanze na vitu basics, kama barabara, umeme wa kudumu, maji ya kudumu, usafi wa hali ya juu. Nakwambia watalii utawakimbia.
Airports Bongo ukifika, kwanza unaibiwa, then ukifika mbugani kila unayekutana naye anakuomba hela, gari linakwama na mwisho unaambia fee imeongezeka.
sekta ya utalii TZ ipo chini sana. bado usingizini ndio maana Kenya wanauza K'njaro zaidi yetu. sie twajua kupinga na sio kubuni
ReplyDeleteKama kiinglish chenyewe ndo hiki wanachoongea kina Felix utalii utapanda lini Bongo.
ReplyDeleteKwanini tusiongee kiswahili chetu
Felix: Let us not get entangled in the web of translation of a simple message from our correspondent. I am glad you say that you work in the tourism industry. I too have worked in the tourism industry in the area of public relations. The correspondent had first hit out at the Tanzania government for lowering visa fees, saying that the country would then not raise enough money from the industry. He is wrong in that (and I believe you know this fact) a lot of countries who are after the tourist dollar are actually doing away with visa fees so as to attract more tourists. Tanzania simply took a first step to lower the fees. The net return in economic terms means that more tourists will come in and the overall amount received will be higher than when you have fewer tourists who are paying higher fees. I fully support the government for that initiative.
ReplyDeleteNow our correspondent, having found fault in that, he goes ahead to suggest that fees paid locally should be lowered. This is where he is wrong and that was the basis of my posting: You will have fewer tourists coming in and then they end up paying less local fees as the correspondent suggested. Je, tutajenga Tanzania kwa njia gani? I will support the correspondent in his quest to have lower local fees only if he supports the government’s move to lower the visa fees. As the world experiences an economic downturn and fewer people are venturing to travel, hakuna njia mbili – visa fees should come down.
Swala la mtoa hoja ni zuri hata kama limelenga mtazamo wake (askewed as termed by someone above). Cha msingi je mtazamo wa huyu mjamaa unafaa? Kama wengi walivyokwisha sema, sekta ya utalii Tanzania imelala ama haipo kulinganisha na nchi nyingine. Matatizo ni mengi ya kutatua. Hayawezi tatulika overnight. Lakini, je hata yale yawezekanayo leo yasifanyike?
ReplyDeleteMtoa mada anatazama swala hili kwa upande wake kwani ndipo anapoendea choo. Nia yake ni njema kwani maendeleo kikawaida yanaanzia ndani yanatoka nje. Wengine tunalitazama in broad sense kwa sababu sipo tunapo shibia lakini in general tunapategemea kwa namna nyingine kwani Serikali ikipona nasi twapona.
Shida ya hii sekta ambayo kweli serikali ingelikula ikimbie inatokana na ukosefu wa ubunifu. Sio kwamba wabunifu hawapo bali ukija na ubunifu wako nani akusikilize?
Nimesoma research nyingi sana zinazo zungumzia utalii na matatizo yake tanzania mfano paper nyingi tu za ecotourism zilizoandikwa na wataalamu wa ndani na nje zina toa suggestinsion safi sana. Kwanini hizo suggestions hazijafanyiwa kazi? jibu ni simple. Nani amezisoma? nani yupo interested? Hata kama yupo mtu interested, nani amwezeshe? Serikali imetoa changamoto gani zaidi ya kuwatwanga watu mi kodi pale mtu akitaka kufanya kitu?
Ni mengi tu lakini tuombe Mungu
JAMANI HUYU ANESEMA MBUGANI PANATAKIWA UMEME NA MAJI YA KUDUMU ANA MAANISHA NINI MBONA VYOTE VIMO, KAMA VICHWA VYENU VIMEJAA WADUDU SI MSEME MADOKTA WAKATOLEE, KUOMBWA HELA SI JAMBO LA KAWAIDA KWA WANAOKWENDA PORINI WEWE LABDA NI NYODO ZAKO ZA KIBONGO WAULIZE WATALII WANGAPI WANAOKUJA BONGO WANAOMBWA HELA PORINI KAMA SIO HUKO MIJINI KAMA ILIVYO NEW YORK NA MIJI MINGINE DUNIANI,KUTUMIA LUGHA YA KINGEREZA NIO SWALA LA KUTOA PONGEZI KUONYESHA NI JINSI GANI KIWANGO CHA ELIMU KIMEPANDA BONGO SASA BILA KUJARIBU NDIO HUTAJUA KAMWE, MKUU WA MKOA WA NANII ALIKUAJA NA CHRISS TAKER MBUGANI HAJAOMBWA HATA MIA MAJI YA KUMWAGA MUULIZE MWENYEWE.
ReplyDeleteDOGO L.A