Idhaa ya Kiswahili ya Redio Sauti ya Ujerumani a.k.a Deutsche Welle inakupatia huduma mpya !!!
Unaweza kupokea bila ya malipo yoyote kutoka Jumatatu hadi Ijumaa, taarifa fupi za habari kwa njia ya SMS kupitia simu yako ya mkononi.
Ili uweze kujisajili tutumie ujumbe mfupi mmoja wa SMS kupitia nambari 0049 17 68 88 77 111. Ikiwa unataka kujiondoa tutumie SMS kwa kuandika JIONDOE kupitia namba hiyo hiyo.
Andrea Schmidt
Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili
Deutsche WelleBonn,
Germany
phone + 49 228 429 4903
fax + 49 228 429 4900
Tovuti ya Idhaa ya kiswahili


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2009

    KAKA MICHUZI NILIKUA NAOMBA USIKILIZE KILIO CHETU SISI WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA WA KITANZANIA TUNAOSOMA NCHI ALGERIA.

    KUMBE UFISADI HUANZIA MASHULENI NA SIO MAOFISINI.ALIEKUA KIONGOZI WA WANAFUNZI AMEKULA POSHO YETU AMBAYO TUNATAKIWA TUPATE KILA MWAKA!!
    AMECHUKUA POSHO YETU YOTE YA MWAKA NA KUTUACHA HATUNA PAKUKIMBILIA,HATUNA PAKUSHITAKI MAANA TUMESHAFIKISHA HII ISSUE UBALOZINI UFARANSA,WIZARANI LAKINI INAPATA MWEZI SASA HAKUNA HATUA YOYOTE ILIYOCHUKULIWA.
    INASEMEKANA HUYU JAMAA ANAMTANDAO AMBAO UNAMLINDA HUKO BODI NA WIZARANI NA NDIO MAANA AMEWEZA KUINGIA MITINI NA MAMILIONI YA WANAFUNZI.
    KAKA MICHUZI KAMA NA WEWE NI MZALENDO WA KWELI UNAEPINGA UFISADI USIJE UMIZA WATOTO WAKO NA WATANZANIA TUNAOMBA UIWEKE HII SCANDAL PEJI ZAKO ZA MBELE KABISA ILI MHESHIMIWA RAISI WA TANZANIA ASIKIE KILIO CHETU,TUNAJUA MHESHIMIWA ANASOMA HUU MTANDAO,HATUNA WAKUTUSAIDIA JAMAA ANATANUA NA MAMILIONI YETU MTAANI NA WAPAMBE WAKE WANATUTOLEA NYODO.
    HII SCANDAL IMESABABISHA TUWATOE MADARAKANI YEYE NA MAKAMO WAKE BI ADELAID.
    HUYU JAMAA ANAITWA RUGE.
    CHONDECHONDE KAKA MICHUZI TUSAIDIE IKIWEZEKANA ITUME KWENYE MITANDAO MINGINE NA MAGAZETI.
    TUTAZIDI KUA NA IMANI NAWE UKITUSAIDIA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2009

    Mbona nimejaribu kutuma ujumbe huo kama namba za simu zilivyoonyeshwa hapo juu haijakubali? au unatakiwa uanze na +?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2009

    Sasa tunatuma ujumbe gani kwenda kwenye hiyo namba? Maana umesema kujiondoa unatuma Jiondea kwenda kwenye the same number. make us clear plz

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 11, 2009

    Tutaanza kupokea lini hizo habari?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...