Wadau wa Chuo Kikuu cha Tumaini university, Iringa college, wanalalamika timu yao ya Ba of Cultural anthropology and tourism imetolewa mashindanoni eti sababu chuo kinahisi washabiki wake (wanachuo na wananchi kibao) wanaweza leta vurugu hii ni halali? picha hapo zikionesha kikosi cha BAcat na baadhi ya wachezaji wao mahili kama vile Hoboka,Salim aka Boban,tosh toshiba,Dee Mushi aka meku na chini ni mashabiki wao bada ya wapinzani kutia mpira kwapani. Sasa fujo iko wapi hapo jameni?



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2009

    Haya simba naona unauza sura tu hapo huna lolote la kusema!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2009

    Eh,huo ni uwanja wa Chuo kikuu au??
    Kweli bongo tambarare!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2009

    Boban mawela wa Bacat ...HAhaha salim bwana kwa kujipaisha!! ila kama na we unacheza basi kweli timu yenu ina vurugu...michezo furaha jamani!!!!!

    ReplyDelete
  4. We mwenye la kusema mbona matokeo ya frm 6 yametoka umekaa kimya!!!!!

    ReplyDelete
  5. Lakini huu ubabe me sina matatizo nao kwani haujaanza leo, mmmh, hawa jamaa wa Bacat wanatusumbua sana hapa Chuoni, muda mwingine natamani kutowaona ....lakini nitawamiss, wasipokuwapo huwa kuna pooza.

    ReplyDelete
  6. watu hawatupendi...ila tunawakaribisha kwenye bonanza j'mosi!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 11, 2009

    Tanzania twapenda majina yote '''''Chuo Kikuu cha Tumaini university, Iringa college.


    Yaani hapo kwanini isiwe tu college au university?

    halafu chuo kikuu cha tumaini university ouch!!!!! Nadhani mwandishi ni mwanafunzi wa chuo hicho pia suh bongo!!!!!! education!!!!! si tuongee kiswahili chetu tu kama lugha za watu hazipandi

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 11, 2009

    Waalim wa kiswahili wanatafutwa peleka cv,au la saba?maana hata mzee kifimbo cheza hajasoma ila lugha anaijua!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 11, 2009

    Isikose ni kati ya walio tia zengwe bacat itolewe huyu kifimbo cheza wa vro michu!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...