Home
Unlabelled
dogo wa uswazi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ndo ukome !!!!
ReplyDeletehanha hii imetulia,kwanza dogo welcome back tuliku miss sana.
ReplyDeletehaya wataka nyumba ndogo mna lakusema?hahahahahahaah.
What a bully! I feel for that poor man...
ReplyDeleteMimi akili yangu ya panza aijafumbua kitendawili,nisaidieni jamani.
ReplyDeleteDuh!!! hiyo ni kubwa kuliko!. Ni mambo ya kawaida sana ktk maisha, kwani ni rahisi kutunza bigi hausi kuliko smol hausi
ReplyDeleteNgoja nikusaidie kukupa ufafanuzi wewe anon wa 6:39. Huyu jamaa anakokotwa na Nyumba Ndogo (Smol-Housi) kwanda kwa sonara kumnunulia mabling-bling. Sasa huyu jamaa anawaza kuwa pesa yote ya mshahara inaenda kuishia kwenye mikufu ya dhahabu wakati kuna mke na watoto nyumbani wanamtegemea yeye. Ndio maana nilituma comment ya kwanza hapo juu kumwambia akome hiyo tabia. Matatizo mengine ni ya kujitakia. angekaa na kutulia na mkewe hayo yote yasingemkuta.
ReplyDeleteThe guy doesn't know how to run "smol hausi".Probably that was his first "smol hausi" as an experienced man should have tactics to manipulate women.
ReplyDeleteshwengwa kitu kimetulia mzee
ReplyDeleteUkisikia KULA, ULIWE basi ndiyo hii.
ReplyDeleteJamaa alipokuwa nakula alisahau kuwa zamu yake itafika na ataliwa. Kazi anayo lazima dhahabu anunue hapo.
Wewe mwenyewe hela ya kuvuta kwa manati inakuwaje unataka nyumba ndongo??? Kwani hujui ni gharama? Ukiwa na nyumba ndongo lazima uweze kujishughulisha kote kote ujue kutimiza mahitaji. Ukisha likoroga linywe. Unafikiri mchezo kulea??? Usipotoa matumizi unategemea atapendeza vipi huyo nyumba ndogo?? Au unataka uwe na wenzako tisa wanaokufuata mgongoni kukusaidia kutoa matumizi?? Nyie wanaume ndio mjue mwanamke matumizi...Mwanamke kupendeza...Ukiona vyapendeza vyagharamiwa.
ReplyDeleteI have at least 4 "smol hausi" but they don't do that to me.
ReplyDeletendio annon 10.03am
ReplyDeletevinagharimikiwa aswaaa
so wataka ule,uchunwe adi ukauke
ivi ukimwi na izi tabia za kifisadi,kweli??
poa
Smol hause oyeeeeeeeeeeee!!! smol haus tuko juuuuu!!!! kula pasu kwa pasu na waliovaa shela tehe tehe tehe!! mwenye wivu ajinyongeeee!!!!!!!
ReplyDeletesi vyema kutoa lugha a kebehi
ReplyDeletehapo mi sioni hasara coz mdau anagharamia anachokipata,maumivu anayoyapata huyo mama nimakali, na hiyo ndo tiba yake. halafu hata ukimwangalia huyo jamaa makini unaona mwili wote umeishia sehem moja hii ni hatari
ReplyDelete