Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2009

    ndo ukome !!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2009

    hanha hii imetulia,kwanza dogo welcome back tuliku miss sana.

    haya wataka nyumba ndogo mna lakusema?hahahahahahaah.

    ReplyDelete
  3. Al MusomaJune 01, 2009

    What a bully! I feel for that poor man...

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 01, 2009

    Mimi akili yangu ya panza aijafumbua kitendawili,nisaidieni jamani.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 01, 2009

    Duh!!! hiyo ni kubwa kuliko!. Ni mambo ya kawaida sana ktk maisha, kwani ni rahisi kutunza bigi hausi kuliko smol hausi

    ReplyDelete
  6. Ngoja nikusaidie kukupa ufafanuzi wewe anon wa 6:39. Huyu jamaa anakokotwa na Nyumba Ndogo (Smol-Housi) kwanda kwa sonara kumnunulia mabling-bling. Sasa huyu jamaa anawaza kuwa pesa yote ya mshahara inaenda kuishia kwenye mikufu ya dhahabu wakati kuna mke na watoto nyumbani wanamtegemea yeye. Ndio maana nilituma comment ya kwanza hapo juu kumwambia akome hiyo tabia. Matatizo mengine ni ya kujitakia. angekaa na kutulia na mkewe hayo yote yasingemkuta.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 01, 2009

    The guy doesn't know how to run "smol hausi".Probably that was his first "smol hausi" as an experienced man should have tactics to manipulate women.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 01, 2009

    shwengwa kitu kimetulia mzee

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 02, 2009

    Ukisikia KULA, ULIWE basi ndiyo hii.
    Jamaa alipokuwa nakula alisahau kuwa zamu yake itafika na ataliwa. Kazi anayo lazima dhahabu anunue hapo.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 02, 2009

    Wewe mwenyewe hela ya kuvuta kwa manati inakuwaje unataka nyumba ndongo??? Kwani hujui ni gharama? Ukiwa na nyumba ndongo lazima uweze kujishughulisha kote kote ujue kutimiza mahitaji. Ukisha likoroga linywe. Unafikiri mchezo kulea??? Usipotoa matumizi unategemea atapendeza vipi huyo nyumba ndogo?? Au unataka uwe na wenzako tisa wanaokufuata mgongoni kukusaidia kutoa matumizi?? Nyie wanaume ndio mjue mwanamke matumizi...Mwanamke kupendeza...Ukiona vyapendeza vyagharamiwa.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 02, 2009

    I have at least 4 "smol hausi" but they don't do that to me.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 02, 2009

    ndio annon 10.03am

    vinagharimikiwa aswaaa
    so wataka ule,uchunwe adi ukauke
    ivi ukimwi na izi tabia za kifisadi,kweli??

    poa

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 02, 2009

    Smol hause oyeeeeeeeeeeee!!! smol haus tuko juuuuu!!!! kula pasu kwa pasu na waliovaa shela tehe tehe tehe!! mwenye wivu ajinyongeeee!!!!!!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 02, 2009

    si vyema kutoa lugha a kebehi

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 02, 2009

    hapo mi sioni hasara coz mdau anagharamia anachokipata,maumivu anayoyapata huyo mama nimakali, na hiyo ndo tiba yake. halafu hata ukimwangalia huyo jamaa makini unaona mwili wote umeishia sehem moja hii ni hatari

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...