For the first time an international broadcaster was awarded in Portugal with the prize for gender equality.
State Minister Jorge Lacao honoured the Deutsche Welle with its ambitous project 'Learning by Ear - Noa bongo! jenga maisha yako' with the Premio Paridade: "The Series of Deutsche Welle is an excellent example, how media are able to send messages for changes in societies, for gender equality and equal opportunities for wonen and men."
LbE is a Panafrican project, educational and entertaining programmes for the youth in Africa. Produced by DW in six languages, mainly written by African authors and produced in more than six African countries. The project is financed by the German Foreign Office. The LbE series on girls, which was awarded by the Portuguese government, was written by Zaina Aziz Salim.
Baada ya kupokea tuzo si wengine ila toka kulia ni Andrea Schmidt mkuu wa idhaa ya kiswahili ya DW, Zainab Aziz na Johannes Beck mkuu wa idhaa ya kireno.

Jopo la waandishi wa habari wa DW walipotembelea makaao makuu ya NATO mjini Brussels Ubelgiji mwishoni mwa wiki.Idhaa ya kiswahili iliwasilishwa na 'Shekhe' Aboubakary Liongo (wa pili shoto nyuma).

Serikali ya Ureno imetoa tuzo kwa shirika la habari la kimataifa DW kutokana na mchango wake katika masuala ya jinsia.
Hii ni kufuatia mfulululizo wa vipindi vyake viitwavyo Learning by Ear-Noa bongo jenga maisha yako, ambavyo vimetafsiriwa katika lugha mbalimbali zinazotangazwa na DW.
Mtunzi wa mchezo uliyoko katika vipindi hivyo ambao umeshinda huko Ureno ni mtangazaji wa zamani wa idhaa ya kiswahili ya DW Zainab Aziz Salim.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...