Home
Unlabelled
fainali za miss TZ Europe 2009 kufanyika juni 27 london
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi miss tz eu si imeshapita huko ujerumani, hii imetoka wapi tena
ReplyDeleteREQUEST
ReplyDeleteShikamoo Kaka Michuzi,naomba ui post request yangu kwenye blog yako since nimepata shida kuisend directly.me ni msichana wa miaka 25nina bba,naishi na kufanya kazi ukanda wa southern africa japokuwa nipo huko huwa nakuja tz for about a month or so.Natafuta NGO's or any company ambayo naweza kufanya "volunteer work in any field"(I'm talented) for 3-7hrs a dayAhsante na samahani kwa kuchanganya lugha
my email add is:ppsie@yahoo.com
Hi ni Miss Tanzania Europe not EU naona amekosea maana iliyofanyika ilikuwa Miss Tanzania Schenge (EU).
ReplyDeleteEU si Europe jamani na ile contest inaitwa Miss Tanzania Europe. Hamuoni kama hii inaleta mushker hapa!
ReplyDeleteKwani Schengen ni wapi, si countries in the European Union.
I AM VERY CONFUSE!! NILIJUA WATU WALISHAMPATA MS. TANZANIA EUROPE SASA HAYA MENGINE NI NINI TENA> MBONA MNATUCHANG"ANYA
ReplyDeleteMashindano ya EU yalikuwa ya Schengen pekee yake na UK is not part of that thats why sasa itafanyika finali where mashindano yatahushia washindi wa EU pamoja na wa UK kupata mshindi mmoja wa Ulaya (EUROPE)na ndipo huyuo mshindi atakwenda kutuwakilisha Tanzania kwenye Miss Tanzania (Tanzania) na endapo atashinda huko ataenda kwenye Miss World. Hope this makes sense to you. Samahani sana kwa kuwachanganya.
ReplyDeleteSasa kwanini msiongee na huyo wa schengen kwa vile ameshaanza kutumia jina la miss tz europe, mkafanyia huko ujerumani
ReplyDeletembona mnatuchanganya hapa! mnasema mmempata miss tz EU halafu sasa mnaleta miss nini? hivi hanjui kama ukisema EU unajumlisha UK? badilisheni majina ya title zenu.
ReplyDeletekhaaa!?? mtasemaje haya jamani washiriki watatu toka shindano la Miss TZ EU watajiunga na wenzao waliopita kwenye michuano ya vitongoji vya ulaya ikiwemo UK na kumpata Miss TZ Ulaya 2009
ReplyDeletekwanza EU maana yake ni Europena Union kwa hivyo moja kwa moja UK wamo, sasa kama hawakushirikishwa katika round ya mwanzo huyo alieshinda hamuwezi kusema ni miss TZ EU.
Halafu vitongoji vya ulaya ikiwemo UK, mnasema UK ni kitongoji? ama sasa nimesoma mengi ndugu zangu.
all i can say EU = Europe = Ulaya
ReplyDeletehapa kuna vituko kweli, huyo leyla ally keshapewa taji la miss tanzania europe halaf tena inabidi ashindane for the same thing.
Kweli hii inaleta common sense, nilidhani bongo tu kuna vituko, hata ulaya pia????