washiriki watatu toka shindano la Miss TZ EU watajiunga na wenzao waliopita kwenye michuano ya vitongoji vya ulaya ikiwemo UK na kumpata Miss TZ Ulaya 2009

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2009

    Hivi miss tz eu si imeshapita huko ujerumani, hii imetoka wapi tena

    ReplyDelete
  2. REQUEST

    Shikamoo Kaka Michuzi,naomba ui post request yangu kwenye blog yako since nimepata shida kuisend directly.me ni msichana wa miaka 25nina bba,naishi na kufanya kazi ukanda wa southern africa japokuwa nipo huko huwa nakuja tz for about a month or so.Natafuta NGO's or any company ambayo naweza kufanya "volunteer work in any field"(I'm talented) for 3-7hrs a dayAhsante na samahani kwa kuchanganya lugha
    my email add is:ppsie@yahoo.com

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2009

    Hi ni Miss Tanzania Europe not EU naona amekosea maana iliyofanyika ilikuwa Miss Tanzania Schenge (EU).

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 18, 2009

    EU si Europe jamani na ile contest inaitwa Miss Tanzania Europe. Hamuoni kama hii inaleta mushker hapa!

    Kwani Schengen ni wapi, si countries in the European Union.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 18, 2009

    I AM VERY CONFUSE!! NILIJUA WATU WALISHAMPATA MS. TANZANIA EUROPE SASA HAYA MENGINE NI NINI TENA> MBONA MNATUCHANG"ANYA

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 19, 2009

    Mashindano ya EU yalikuwa ya Schengen pekee yake na UK is not part of that thats why sasa itafanyika finali where mashindano yatahushia washindi wa EU pamoja na wa UK kupata mshindi mmoja wa Ulaya (EUROPE)na ndipo huyuo mshindi atakwenda kutuwakilisha Tanzania kwenye Miss Tanzania (Tanzania) na endapo atashinda huko ataenda kwenye Miss World. Hope this makes sense to you. Samahani sana kwa kuwachanganya.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 19, 2009

    Sasa kwanini msiongee na huyo wa schengen kwa vile ameshaanza kutumia jina la miss tz europe, mkafanyia huko ujerumani

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 19, 2009

    mbona mnatuchanganya hapa! mnasema mmempata miss tz EU halafu sasa mnaleta miss nini? hivi hanjui kama ukisema EU unajumlisha UK? badilisheni majina ya title zenu.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 19, 2009

    khaaa!?? mtasemaje haya jamani washiriki watatu toka shindano la Miss TZ EU watajiunga na wenzao waliopita kwenye michuano ya vitongoji vya ulaya ikiwemo UK na kumpata Miss TZ Ulaya 2009

    kwanza EU maana yake ni Europena Union kwa hivyo moja kwa moja UK wamo, sasa kama hawakushirikishwa katika round ya mwanzo huyo alieshinda hamuwezi kusema ni miss TZ EU.

    Halafu vitongoji vya ulaya ikiwemo UK, mnasema UK ni kitongoji? ama sasa nimesoma mengi ndugu zangu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 19, 2009

    all i can say EU = Europe = Ulaya

    hapa kuna vituko kweli, huyo leyla ally keshapewa taji la miss tanzania europe halaf tena inabidi ashindane for the same thing.

    Kweli hii inaleta common sense, nilidhani bongo tu kuna vituko, hata ulaya pia????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...