Jarida la The Base lipo mtaani pata habari mbalimbali zinazohusu bongo entertainment industry and Africa, Pata habari kuhusu Kilimanjaro music awards 2009 the event, the Good , bad and ... , Bongo fleva V/S lingala who is pulling Bongo Crowds, Sababu zinazosababisha wachezaji wetu kushindwa majaribio nje, Mahojiano Maalumu na Banana Zorro na mengi mengineyo only @ 1500/ Tshs usipitwe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2009

    sasa mh Misupu dili kama hizi za gazeti la Entertainment inapaswa uwe unazindua wewe yaani mwanzilishi vile entertainment zote hututaarifu weye! kwa kuanza anzisha jarida la epaper kama Mwananchi wanavyofanya! Changamkia dili baba

    ReplyDelete
  2. Baba UbayaJune 01, 2009

    wangelichapisha kwa kiswahili ingekuwa safi sana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2009

    Sekta ya habari mbona mnakosa ubunifu?

    Kila mtu anaanzisha gazeti siku hizi. Haya magazeti ya "Burudani na Michezo" ndio yanachipuka kila siku.

    Mara Bongo5, sijui Nipe 5, mara Ndoto, mara Base ... na mengine kama manne hivi nimeyasahau.

    Guys are you serious? Soko lenyewe liko wapi? Maana kila mtu anategemea apate matangazo ya tiGO, Zain na Vodacom.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 02, 2009

    Baba Ubaya mimi nadhani bado hujabahatika kuliona hilo gazeti, mbona kilichoandikwa humo ndani kwa asilimia 80 ni kiswahili kiasi kwamba hata sie tusiojua kiinglish tunapata ujumbe, na hata hao wabongo wanaoongea kiinglish wengi wao kiswahili kinapanda kwahiyo tuko nao ngoma droo wote tunaelewa. Pia bila kusahau Rwanda, Burundi, Kenya na Uganda wakisoma hilo gazeti wataelewa kilichoandikwa kwani nao pia wanazungumza kiswahili na kiigereza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...