Habari zimeingia mchana huu kwamba Kaimu Mufti Mkuu, Sheikh Suleiman Gorogosi amefariki dunia katika ajali ya gari akiwa safarini akitokea Mtwara kwenda Lindi.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana Marehemu Gorogosi aliondoka Dar leo kwa ndege kwenda Lindi kupitia Mtwara, akashuka na ndege mtwara kwenda Lindi gari ambapo inasemekana tairi la mbele la gari alilokuwa akisafiria lilipasuka na gari kupinduka.
Habari kamili zitaletwa kadiri zitavyopatikana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 36 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2009

    hakika kwake tutarejea inahi lilahi wainalilahi rajuun pigo kwa familia pamoja na waislam kote tanzania nzima poleni wafiwa pamoja na waislamu kote nchini

    ReplyDelete
  2. Inalillah Wina Ilahi Rajiuni. Kiongozi muadilifu katutoka duniani. Poleni wafiwa na Waislamu wote duniani. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi, Amen.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2009

    R.I.P SHEIKH! Alifungisha ndoa yangu 2003 masikini.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 27, 2009

    mzee huyu alikuwa nguzo muhimu sana kwa waislamu na watanzania, ni mwelewa sana mzee huyu. aliyesikia mawaidha yake atakubaliana nami.
    naungana na waislamu wote na watanzania wapenda amani kama alivyokuwa shikh Gologosi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 27, 2009

    INNA LILLAH WAINNA IRAYRAJUYN
    HII NI HABARI YA KUSHTUSH SANA
    HAKIKA KAZI MOLA

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 27, 2009

    Mimi ni mkristu mkatoliki lakini nilikuwa nayapenda sana mafundisho ya Sheikh Gorogosi tangu mwaka 1970. Amenisaidia sana kumjua Mungu ni nani. Kweli taifa limepata msiba mkubwa. Pumzika kwa amani baba yetu

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 27, 2009

    Inal Lilahi wainai lai rajiun ametangulia mwenzetu Inshallah ataenda mahali pema peponi.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 27, 2009

    Kawaida tu mbona!!! mi naona mwake tu mwanangumwenyewe michuzi. amekufa maiko jeki jana!!!! tunatangulizana tu, n' who knows may b kesho or in the next few hrs it's gonna be me or you michuzi or you waosha vinywa au wewe hapo unaosha kinywa sahvi!!!
    cha msingi hapa ni kutaarifiana kabisa kuwa washkaji ikitokea ukatangulia basi ukifika kule kwa sir god msibadilike mkawa na roho mbaya, nasi wenzenu tunaokuja kesho mtupokee vizuri na kutonyesha mazingira na viwanja vya huko kwa sir god!!! pia mtuonyeshe jinsi ya kupata box huko kwa sir god ili nasi tuweze kusukuma life freshi tukiwa huko!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 27, 2009

    haya hapo maongezi ya kwanza kabisa yaliyohusiana na kifo cha michael J. ni wakati jamaa pale nyumbani kwa michael alipokuwa akiita ambulence
    Call 911

    Here is the call in full:

    Operator: What is the nature of your emergency?

    Caller: Yes sir, I need an ambulance as soon as possible, sir.

    Operator: OK sir, what's your address?

    Caller: Los Angeles, California 90077

    Operator: Is it Carolwood?

    Caller: Carolwood Drive, yes.

    Operator: OK sir, what's the phone number you're calling from?

    Caller: Sir, we have a gentleman here that needs help and he's not breathing. He's not breathing and we're trying to pump him, but he's not ...

    Operator: OK, OK. How old is he?

    Caller: He's 50 years old, sir.

    Operator: 50? Ok. He's unconscious? He's not breathing?

    Caller: Yes he's not breathing sir.

    Operator: Ok and he's not conscious either.

    Caller: No, he's not conscious sir.

    Operator: Alright, is he on the floor, where's he at right now?

    Caller: He's on the bed, sir, he's on the bed.

    Operator: OK let's get him on the floor.

    Caller: OK.

    Operator: OK let's get him down to the floor. I'm going to help you with CPR right now. We're on our way there, we're on our way but I'm going to do as much as I can to help you over the phone. We're already on our way. Did anybody see him?

    Caller: Yes we have a personal doctor here with him sir.

    Operator: Oh you have a doctor there?

    Caller: Yes but he's not responding to anything. He's not responding to CPR or anything.

    Operator: Ok, well we're on our way there. If your guy's doing CPR as instructed by a doctor, he has a higher authority than me. Did anybody witness what happened?

    Caller: No, just the doctor, sir, the doctor's been the only one here.

    Operator: OK so the doctor's seen what happened?

    Caller: (aside) Doctor, did you see what happened, sir? (To operator) If you can please ...

    Operator: We're on our way, I've dispatched these questions on to our paramedics and they're on their way there sir.

    Caller: Thank you sir. He's pumping his chest but he's not responding to anything sir, please.

    Operator: Ok, we're on our way, we're less than a mile away. We'll be there shortly.

    Caller: Thank you sir, thank you.

    Operator: Ok sir, call us back if you need any help.

    Caller: Yes sir.



    vipi wewe hapo home kwenu? someone not breathing?? don't worry call 911

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 27, 2009

    Kila kiumbe kitarejea kwa muumba wake, ewe mwenyezi mungu muweke mahala peponi sheikh wetu. poleni wafiwa na watanzania wote.

    ReplyDelete
  11. Inna Lillahi wa Inna ilayhi Rajiuun, bahati mbaya sana migogoro ya BAKWATA imepafanya mahali pale pawe ni pa ajabu ajabu, mengi yatazungumzwa lakini kazi ya Mola hakuna wa kuizuia

    ReplyDelete
  12. Al MusomaJune 27, 2009

    Inna lillahi wa inna ilaihi raajiuun. Sina shaka alikuwa katika shughul za dini. Mwenyezi Mungu ampe malazi mema peponi.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 27, 2009

    Inna lillahy wa inna ilayhir rajiun, inshaallah Allah ampe Janna. He was a great character, kwa Allah ndio marejeo yetu sote.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 27, 2009

    Inna Lilah wa inna ilaihi Raajiuun.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 27, 2009

    Innalillah wainna Illaihy raajiun! Hakika tumempoteza kiongozi shupavu, mwerevu na mwenye hekima kubwa.

    ReplyDelete
  16. inna lillah wainalillah rajiun.
    (RIP sheikh gorogossi)

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 27, 2009

    Innaalillahi wainnaa ilayhi raajiuun! Mswiba mkubwa umetukuta watanzania inshl mwenyezimungu atupe subra na amjaalie sheikh gorogosi mahala pake anapostahiki kwa mambo yake mema aloyafanya wakati wa uhai wake! Ameeeeen

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 27, 2009

    "Wa maa jaalnaa min qablika (yaa Muhammad) lkhuld, fain mitta, afahumul khaaliduwn?"

    Maa shaa Llaahu kaana, wa maa lam yasha lam yakun, innaa liLlaahi wa innaa ilayHi raajiuwn.

    Kila nafsi itaonja mawti kuelekea uwanja wa hukumu siku ya akhera/akhiri/mwisho.

    ReplyDelete
  19. innaa lillaahi wa innaa ilaiji rajiuuna

    ReplyDelete
  20. TVZ KicartoonJune 27, 2009

    Innalillahi wainna ilayhi rajiun.
    Poleni wafiwa na waislamu wote.

    ReplyDelete
  21. MtanzaniaJune 27, 2009

    Mimi ni Mkristo, lakini nilipenda sana kusikiliza mawaidha ya sheikh Gorogosi hasa alipo kuwa anatofautisha kati ya funga ya mwezi mtukufu na mtu anaye shinda njaa akidhani kafunga. Lala salama baba Sheikh Gorogosi.
    Msiba huu ni kwa watanzania WOTEEEE nampiga huyo anony wa hapo juu anayesma ni wa waislam wa Tanzania tu. si kweli hata kidogo haya mambo tumesha yakataa na tutaendelea kuyakataaaaa. sheikh alikuwa mtumishi wa Mungu yule yule wa wakristo na waislam.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 27, 2009

    Mweneyzi Mungu amlaze pema peponi na kumfutia madhambi na adhabu za kaburi.
    Amina.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 27, 2009

    Inna lillah wa inna ilayhi raji'un.Mwenyezi Mungu ampe kauli thabit Amin.

    ReplyDelete
  24. Dah!! Amemaliza kazi yake na ametangulia. Tumuenzi kwa mema yake na kujiandaa.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 28, 2009

    Inalillah wainailah rajiun!

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 28, 2009

    Mimi ni mkristo, bt hiki kifo kimenigusa sana...
    Mungu amlaze pahali pema peponi...Amen.

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 28, 2009

    Kwakweli kila nafsi itaonja mauti, hakika siku yako ikifika huwezi kukwepa kabisa.Wote tutarejea kwa Allah ila tu hatujui lini?wakati gani? na nani atatangulia kati yetu kwani kila mtu anataka mwenzie abaki.Mungu amlaze mahali pema peponi Amina na amuepushie na adhabu ya kaburi na ampe wepesi wa kujibu maswali ya adhabu ya kaburi.

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 28, 2009

    Inna lilahi wa inna ilaihi rajiun(Bwana ametoa na Bwana ametwaa) Tunamuombea Maghfira kwa mola na amkurubishe na waja wema siku ya malipo.Amuondoshee adhabu ya kabri na ameondoshee adhabu ya moto siku ya kiyama.
    Tungeleta ombi kwako Mzee wa Libeneke utuwekee japo rekodi ya darsa zake tupate kumkumbuka kwa mema Inshallah
    Mdau
    Jumanne

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 28, 2009

    Jameni kulikoni? Imeshatosha sasa. Hapa tunasikia vifo vya watu wafahamiko tu. Wengi wanaondoka kimya kimya. USHAURI WANGU: Tujaribu kufuatilia tabia nzuri za usalama barabarani. PLEASE WEAR SEAT BELTS mara tu uingiapo ktk mchuma. Magari mengi ya kijapani yana air bags. Ukivaa na mikanda uwezekano wa kubakia hai unaongezeka hasa ktk turn overs. Otherwise, inna lilahi wa inna ilaini rajiun tutaiandika sana humu. Poleni watanzania wenzangu wa dini na bila dini.
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 29, 2009

    Mdau Tarehe Sun Jun 28, 08:44:00 PM,, hakuna kifo kinachoweza kuepukika.. Mtu akifa siku zake zishakamilika za kuwepo duniani, akipona basi muda wake wa kurudi kwa Muumba wake haujafika.. uvae mkanda usivae... unaweza kufa hata ukiwa usingizini, sasa ajifunike shuka au alale wazi??? hujajifunza tu kama mpaka leo watu wanakufa kila siku toka dunia ianze...
    Mambo mengine common sense tu ndugu, haihitaji uwe professa..
    hakuna sababu ya kuzuia kifo... ukivaa mkanda utajikinga na kuvunjika viungo nk..lakini kama siku ishafika ndugu, hata kujifungie ndani... utakufa tu.

    ReplyDelete
  31. Nakumbuka enzi zile za Tawheed, pale Mwananyamala kisiwani, na kule ubalozi wa syria kwenye arabic center, inshallah mungu aiweke roho yako mahali pema

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 29, 2009

    mimi mkristo mlutheri mlokole kwa msisitizo lakini nimeguswa sana na ajali iliyopelekea kifo cha MZEE GOLOGOSI nimeguswa sana kwa hasira niliuliza kwanini afe pekeyake wenzake wapone? nikajijibu KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA SISI WAKRISTO TUNAAMINI AMETUTANGULIA MBELE YA HAKI.


    BWANA ALITOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE

    WOTE TUSEME Ameeeeeeeeeeeen

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 29, 2009

    inalilah, waina ilah rajiun.

    kifo ni chetu sote ila kutangulia ndio kubaya, upumzike kwa amani baba yetu, na Mwenyezi akupunguzia adhabu. Amina.

    R.I. P

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 29, 2009

    Sorry sana ndugu wote. Badala ya kusikitikia kifo itabidi nimjibu jamaa wa mon Jun 29,02:16:00 AM. Mbona unafunga mlango unapolala? Na madirisha ya double nondo. Na ngono huweki pekupeku? Katiza Jangwani saa nne usiku na kuendelea. Au vaa nguo rangi za Yanga na ingia kwa mashabiki wa Simba. Fate? yote yanaanzia na F...
    Nenda shule kwanza kabla ya kufungua mdomo.
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  35. AnonymousJune 29, 2009

    Qallu Inna Lillah wa Inna Ilayhi rajiuun.... .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...