
Habari zimeingia mchana huu kwamba Kaimu Mufti Mkuu, Sheikh Suleiman Gorogosi amefariki dunia katika ajali ya gari akiwa safarini akitokea Mtwara kwenda Lindi.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana Marehemu Gorogosi aliondoka Dar leo kwa ndege kwenda Lindi kupitia Mtwara, akashuka na ndege mtwara kwenda Lindi gari ambapo inasemekana tairi la mbele la gari alilokuwa akisafiria lilipasuka na gari kupinduka.
Habari kamili zitaletwa kadiri zitavyopatikana
hakika kwake tutarejea inahi lilahi wainalilahi rajuun pigo kwa familia pamoja na waislam kote tanzania nzima poleni wafiwa pamoja na waislamu kote nchini
ReplyDeleteInalillah Wina Ilahi Rajiuni. Kiongozi muadilifu katutoka duniani. Poleni wafiwa na Waislamu wote duniani. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi, Amen.
ReplyDeleteR.I.P SHEIKH! Alifungisha ndoa yangu 2003 masikini.
ReplyDeletemzee huyu alikuwa nguzo muhimu sana kwa waislamu na watanzania, ni mwelewa sana mzee huyu. aliyesikia mawaidha yake atakubaliana nami.
ReplyDeletenaungana na waislamu wote na watanzania wapenda amani kama alivyokuwa shikh Gologosi.
INNA LILLAH WAINNA IRAYRAJUYN
ReplyDeleteHII NI HABARI YA KUSHTUSH SANA
HAKIKA KAZI MOLA
Mimi ni mkristu mkatoliki lakini nilikuwa nayapenda sana mafundisho ya Sheikh Gorogosi tangu mwaka 1970. Amenisaidia sana kumjua Mungu ni nani. Kweli taifa limepata msiba mkubwa. Pumzika kwa amani baba yetu
ReplyDeleteInal Lilahi wainai lai rajiun ametangulia mwenzetu Inshallah ataenda mahali pema peponi.
ReplyDeleteKawaida tu mbona!!! mi naona mwake tu mwanangumwenyewe michuzi. amekufa maiko jeki jana!!!! tunatangulizana tu, n' who knows may b kesho or in the next few hrs it's gonna be me or you michuzi or you waosha vinywa au wewe hapo unaosha kinywa sahvi!!!
ReplyDeletecha msingi hapa ni kutaarifiana kabisa kuwa washkaji ikitokea ukatangulia basi ukifika kule kwa sir god msibadilike mkawa na roho mbaya, nasi wenzenu tunaokuja kesho mtupokee vizuri na kutonyesha mazingira na viwanja vya huko kwa sir god!!! pia mtuonyeshe jinsi ya kupata box huko kwa sir god ili nasi tuweze kusukuma life freshi tukiwa huko!!
haya hapo maongezi ya kwanza kabisa yaliyohusiana na kifo cha michael J. ni wakati jamaa pale nyumbani kwa michael alipokuwa akiita ambulence
ReplyDeleteCall 911
Here is the call in full:
Operator: What is the nature of your emergency?
Caller: Yes sir, I need an ambulance as soon as possible, sir.
Operator: OK sir, what's your address?
Caller: Los Angeles, California 90077
Operator: Is it Carolwood?
Caller: Carolwood Drive, yes.
Operator: OK sir, what's the phone number you're calling from?
Caller: Sir, we have a gentleman here that needs help and he's not breathing. He's not breathing and we're trying to pump him, but he's not ...
Operator: OK, OK. How old is he?
Caller: He's 50 years old, sir.
Operator: 50? Ok. He's unconscious? He's not breathing?
Caller: Yes he's not breathing sir.
Operator: Ok and he's not conscious either.
Caller: No, he's not conscious sir.
Operator: Alright, is he on the floor, where's he at right now?
Caller: He's on the bed, sir, he's on the bed.
Operator: OK let's get him on the floor.
Caller: OK.
Operator: OK let's get him down to the floor. I'm going to help you with CPR right now. We're on our way there, we're on our way but I'm going to do as much as I can to help you over the phone. We're already on our way. Did anybody see him?
Caller: Yes we have a personal doctor here with him sir.
Operator: Oh you have a doctor there?
Caller: Yes but he's not responding to anything. He's not responding to CPR or anything.
Operator: Ok, well we're on our way there. If your guy's doing CPR as instructed by a doctor, he has a higher authority than me. Did anybody witness what happened?
Caller: No, just the doctor, sir, the doctor's been the only one here.
Operator: OK so the doctor's seen what happened?
Caller: (aside) Doctor, did you see what happened, sir? (To operator) If you can please ...
Operator: We're on our way, I've dispatched these questions on to our paramedics and they're on their way there sir.
Caller: Thank you sir. He's pumping his chest but he's not responding to anything sir, please.
Operator: Ok, we're on our way, we're less than a mile away. We'll be there shortly.
Caller: Thank you sir, thank you.
Operator: Ok sir, call us back if you need any help.
Caller: Yes sir.
vipi wewe hapo home kwenu? someone not breathing?? don't worry call 911
Kila kiumbe kitarejea kwa muumba wake, ewe mwenyezi mungu muweke mahala peponi sheikh wetu. poleni wafiwa na watanzania wote.
ReplyDeleteInna Lillahi wa Inna ilayhi Rajiuun, bahati mbaya sana migogoro ya BAKWATA imepafanya mahali pale pawe ni pa ajabu ajabu, mengi yatazungumzwa lakini kazi ya Mola hakuna wa kuizuia
ReplyDeleteInna lillahi wa inna ilaihi raajiuun. Sina shaka alikuwa katika shughul za dini. Mwenyezi Mungu ampe malazi mema peponi.
ReplyDeleteInna lillahy wa inna ilayhir rajiun, inshaallah Allah ampe Janna. He was a great character, kwa Allah ndio marejeo yetu sote.
ReplyDeleteInna Lilah wa inna ilaihi Raajiuun.
ReplyDeleteInnalillah wainna Illaihy raajiun! Hakika tumempoteza kiongozi shupavu, mwerevu na mwenye hekima kubwa.
ReplyDeleteinna lillah wainalillah rajiun.
ReplyDelete(RIP sheikh gorogossi)
Innaalillahi wainnaa ilayhi raajiuun! Mswiba mkubwa umetukuta watanzania inshl mwenyezimungu atupe subra na amjaalie sheikh gorogosi mahala pake anapostahiki kwa mambo yake mema aloyafanya wakati wa uhai wake! Ameeeeen
ReplyDelete"Wa maa jaalnaa min qablika (yaa Muhammad) lkhuld, fain mitta, afahumul khaaliduwn?"
ReplyDeleteMaa shaa Llaahu kaana, wa maa lam yasha lam yakun, innaa liLlaahi wa innaa ilayHi raajiuwn.
Kila nafsi itaonja mawti kuelekea uwanja wa hukumu siku ya akhera/akhiri/mwisho.
innaa lillaahi wa innaa ilaiji rajiuuna
ReplyDeleteInnalillahi wainna ilayhi rajiun.
ReplyDeletePoleni wafiwa na waislamu wote.
Mimi ni Mkristo, lakini nilipenda sana kusikiliza mawaidha ya sheikh Gorogosi hasa alipo kuwa anatofautisha kati ya funga ya mwezi mtukufu na mtu anaye shinda njaa akidhani kafunga. Lala salama baba Sheikh Gorogosi.
ReplyDeleteMsiba huu ni kwa watanzania WOTEEEE nampiga huyo anony wa hapo juu anayesma ni wa waislam wa Tanzania tu. si kweli hata kidogo haya mambo tumesha yakataa na tutaendelea kuyakataaaaa. sheikh alikuwa mtumishi wa Mungu yule yule wa wakristo na waislam.
Mweneyzi Mungu amlaze pema peponi na kumfutia madhambi na adhabu za kaburi.
ReplyDeleteAmina.
Inna lillah wa inna ilayhi raji'un.Mwenyezi Mungu ampe kauli thabit Amin.
ReplyDeletemungu amlaze pema peponi
ReplyDeleteDah!! Amemaliza kazi yake na ametangulia. Tumuenzi kwa mema yake na kujiandaa.
ReplyDeleteInalillah wainailah rajiun!
ReplyDeleteMimi ni mkristo, bt hiki kifo kimenigusa sana...
ReplyDeleteMungu amlaze pahali pema peponi...Amen.
Kwakweli kila nafsi itaonja mauti, hakika siku yako ikifika huwezi kukwepa kabisa.Wote tutarejea kwa Allah ila tu hatujui lini?wakati gani? na nani atatangulia kati yetu kwani kila mtu anataka mwenzie abaki.Mungu amlaze mahali pema peponi Amina na amuepushie na adhabu ya kaburi na ampe wepesi wa kujibu maswali ya adhabu ya kaburi.
ReplyDeleteInna lilahi wa inna ilaihi rajiun(Bwana ametoa na Bwana ametwaa) Tunamuombea Maghfira kwa mola na amkurubishe na waja wema siku ya malipo.Amuondoshee adhabu ya kabri na ameondoshee adhabu ya moto siku ya kiyama.
ReplyDeleteTungeleta ombi kwako Mzee wa Libeneke utuwekee japo rekodi ya darsa zake tupate kumkumbuka kwa mema Inshallah
Mdau
Jumanne
Jameni kulikoni? Imeshatosha sasa. Hapa tunasikia vifo vya watu wafahamiko tu. Wengi wanaondoka kimya kimya. USHAURI WANGU: Tujaribu kufuatilia tabia nzuri za usalama barabarani. PLEASE WEAR SEAT BELTS mara tu uingiapo ktk mchuma. Magari mengi ya kijapani yana air bags. Ukivaa na mikanda uwezekano wa kubakia hai unaongezeka hasa ktk turn overs. Otherwise, inna lilahi wa inna ilaini rajiun tutaiandika sana humu. Poleni watanzania wenzangu wa dini na bila dini.
ReplyDeleteBlackmpingo
Mdau Tarehe Sun Jun 28, 08:44:00 PM,, hakuna kifo kinachoweza kuepukika.. Mtu akifa siku zake zishakamilika za kuwepo duniani, akipona basi muda wake wa kurudi kwa Muumba wake haujafika.. uvae mkanda usivae... unaweza kufa hata ukiwa usingizini, sasa ajifunike shuka au alale wazi??? hujajifunza tu kama mpaka leo watu wanakufa kila siku toka dunia ianze...
ReplyDeleteMambo mengine common sense tu ndugu, haihitaji uwe professa..
hakuna sababu ya kuzuia kifo... ukivaa mkanda utajikinga na kuvunjika viungo nk..lakini kama siku ishafika ndugu, hata kujifungie ndani... utakufa tu.
Nakumbuka enzi zile za Tawheed, pale Mwananyamala kisiwani, na kule ubalozi wa syria kwenye arabic center, inshallah mungu aiweke roho yako mahali pema
ReplyDeletemimi mkristo mlutheri mlokole kwa msisitizo lakini nimeguswa sana na ajali iliyopelekea kifo cha MZEE GOLOGOSI nimeguswa sana kwa hasira niliuliza kwanini afe pekeyake wenzake wapone? nikajijibu KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA SISI WAKRISTO TUNAAMINI AMETUTANGULIA MBELE YA HAKI.
ReplyDeleteBWANA ALITOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
WOTE TUSEME Ameeeeeeeeeeeen
inalilah, waina ilah rajiun.
ReplyDeletekifo ni chetu sote ila kutangulia ndio kubaya, upumzike kwa amani baba yetu, na Mwenyezi akupunguzia adhabu. Amina.
R.I. P
Sorry sana ndugu wote. Badala ya kusikitikia kifo itabidi nimjibu jamaa wa mon Jun 29,02:16:00 AM. Mbona unafunga mlango unapolala? Na madirisha ya double nondo. Na ngono huweki pekupeku? Katiza Jangwani saa nne usiku na kuendelea. Au vaa nguo rangi za Yanga na ingia kwa mashabiki wa Simba. Fate? yote yanaanzia na F...
ReplyDeleteNenda shule kwanza kabla ya kufungua mdomo.
Blackmpingo
Qallu Inna Lillah wa Inna Ilayhi rajiuun.... .
ReplyDelete