Mdau Pius Mikongoti (tatu shoto) wa P-Informatics (T) Ltd, akila pozi baada ya kusaini mkataba wa makubaliano na Kampuni ya Extol SDN BHD huko nchini Malaysia hivi majuzi.

Extol ni kampuni kubwa ya IT nchini Malaysia ambapo watafungua tawi nchini Tanzania likiwa na lengo la kuboresha huduma za IT kwa Tanzania na Africa ya Mashariki kwa ujumla kwa kushirikiana na P-Informatics (T) Ltd.

Wengine kwenye picha ni Charles Becon CEO wa P-Informatics, na Evans Rweikiza Mkurugenzi wa Tanzania Private Sector Foundation pamoja na Uongozi wa Juu wa Extol. Kwa habari zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. BIG UP MLONGO LETS KEEP ON TWEETING USICHUNE

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2009

    Haya ndio mambo tunayotaka nafikiri sasa utaachana na kukimbia kimbia na Azam. Hongera sana kiongozi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2009

    Tumekusomesha kwa kodi zetu mrudi kuja kulitumiakia taifa.
    Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...