kombe la mabingwa wa mabara limepamba moto na kila kona hapa sauzi leo utakuta big screen na watu kibao wakicheki gemu la bafana bafana na iraqi ambapo hadi dakika ya 55 wakati nabandika hii ngoma ilikuwa droo 0-0


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2009

    Mashabiki Wasauzi wana matarumbeta yao yana kelele mpaka unashindwa kuangalia mpira kwa amani unapokuwa nyumbani kwako.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2009

    Heheh hilo tarumbeta linaitwa VUVUZELA Kizulu vurugu tupu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 16, 2009

    Je mashabiki wa tanzania wana nini ambacho kinafurahisha au kuonyesha upenzi wa timu yao. matarumbeta haya tunayaita "vuvuzela",nadhani pia uliona,yalikua ndani ya nyumba siku mzee madiba,tutu,walipokua zurich ambapo blatter alitangaza rasmi kuhost world cup,na vuvuzela zilipulizwa pia.
    hiyo ndio "symbol" ya ushabiki south africa. na pia wanapenda sana soccer la kwao,sio kama tanzania, kila mtu manchester,liver,chelsea,barca,uzushi mtupu

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 16, 2009

    Mitarumbeta hiyo inaitwa Vuvuzela hata mimi ninayo!Picha hiyo imepigwa wakati niko meneo hayo ila nilikua naelekea kwenye Fifa ticket center kuchukua tickect zangu!Kaka Michuzi Upo SA mpaka lini?I wish to meet u sir! I'm worried kumbe ninge kutana na wewe sandton jana!enjoy vakesheni yako.One love

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 16, 2009

    Hilo VUVUZELA ni kero kweli kweli unapokuwa unaangalia mpira. Lakini pia tunawasifu Wasauzi kwa ubunifu wa ushangiliaji ambao ni unique.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...