Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Kipanya Masoud big up kwa kazi nzuri, hii katuni inajieleza vizuri kwa kuwasaidia wadau wezangu Robert Mugabe is trying to eradicate a whole class in Zimbabwe (the poor). It is the only the poor that are suffering from cholera and malnutrition, the ruling class have lots of food and drugs.
ReplyDeleteRobert Mugabe's claims are nothing more than a pack of lies designed to halt any action being planned by the UN and a desperate attempt to keep himself in power. These lies must be ignored and any action must continue to save lives of the thousands who are suffering before it becomes a terrible humanitarian disaster. This evil man must be removed.
Mr Mugabe said " now that there is no cholera, there is no need for war". But war is endemic in his country. The UN should declare war on Mugabe, finance opposition so that can be pressure 'moving corpse' to exit. If the Americans can remove the satanic Saddam Hussein, the UN will be justified for ousting this Monster.
Mdau Mkasika Ukerewe.
Mdau wa June 1, 12:05 PM, nina imani wewe ni TZ na unajua maisha ya watu vijini yalivyo. Binafsi sioni tofauti kati ya TZ na Zimbabwe ktk umasikini na kukosa lishe bora. Kwa maelezo yako hapo juu, unataka kutuambia kwamba hapa TZ watawala na masikini wako sawa? Achana na politics za nchi za magharibi wana agenda zao hao.
ReplyDeleteNinakubaliana na wewe kwa wananchi wanateseka, lakini kuteseka kwao huwezi ukahusisha (100%) na kuwepo kwa Mugabe madarakani. Je nchi ambazo zinaonekana hazitawaliwi na ''dictators'' (TZ among them), wanatofautiana kwa kiasi gani na Zimbabwe.
Kuna wakati CNN ilionyesha wa Zimbabwe wanakula panya na wakatafsiri kuwa ni kwa sababu ya njaa. Ndugu zangu wamakonde/makua wa Ntwara wanakula panya, je nao wananjaa?
Na shwali langu la mwisho: is Iraqi better without Saddam Hussein?
Mdau wa 3:33pm...
ReplyDeleteYou are very right to say that most of the news tunazoona kwenye CNN and any other news network zimekuwa cooked and fixed in a way to create fear kwa watu/wananchi.Since the ousting of Saddam,Iraq has never been the same place.Ime-create a lot of problems sio Iraq tu bali karibu duniani kote.Usalama umekuwa ni kitu adimu sana.Zimbabwe inawezekana kabisa sio kama tunavyoona kwenye news za kila siku.Binafsi sijawahi kufika Zimbabwe but from hizi news ninavyoangalia,I don't think natamani kufika Zimbabwe.Sasa hapo penyewe unaona tayari Corporate world wamefanikiwa kuipublish image ya Zimbabwe vibaya na sisi tunapata message mbaya BUT I once had an interesting conversation with one Zimbabwean akaniambia ndio kweli Mugabe is not as bad as the way tunasoma kwenye magazeti na kuangalia kwenye TV,yeye aliona jinsi gani wananchi wake wanavyotawaliwa na new form of colonialism.Imagine baada ya kuchukua mashamba kutoka kwa wazungu,umeona jinsi gani uchumi wa nchi ulivyoporomoka ghafla.Wazungu hao hao waliokuwa wameshika uchumi wa Zimbabwe hawakuwa wana-invest in Zimbabwe for the future of Zimbabwe bali kutafuna na pale watakapomaliza au kukinai,waondoke.Means alizotumia Mugabe ndio labda hazikuwa muafaka BUT nani atakaye mlaumu kama uchumi mzima utakuwa ni wa wageni?
Hawa wazungu sisi tunawatetemekea sana huko nyumbani LAKINI wao wanavyotu-treat huku nje ni tofauti kabisa na perspective ya watu wengi.Hawa watu ni wanyama na hawana utu.Wanasema wanasaidia Africa but in reality,they take a lot of stuffs kwetu kwa manufaa yao kwa kutumia mgongo wa misaada.Tukae tukielewa tu kwamba WAR is a business like any other business and it is the MOST profitable business in the world.Cost haziji tu kwenye silaha BUT baada ya vita ndio utajua kweli pesa ipo kwenye this business-dirty business.Salaha zinachukuliwa in the form of mikopo na hii mikopo mpaka tunakufa na wanetu,tutakuwa tunalipa tu - TENA WITH INTEREST!!!Hapo wameshachukua our minerals,uranium kwa ajili ya Nukes,our oil and mostly,kutuachia a polluted land ambayo hatutaweza hata kuitumia kwa sababu haitakuwa fertile.
Don't believe kila kitu unachosoma kwenye magazeti au kwenye TVs.Fix kibao kukufanya akili yako ijae uoga.Mfano tu,do you think swine flu haikuwapo those days za zamani?Au kwa nini unadhani wazungu walitumia dini kama njia ya kutupata?
Mdau - Oxford
mnalaumu nini wazungu badala ya kuwalaumu viongozi wetu, wewe mdau oxford kama wazungu wanaku treat vibaya na niwanyama unafanya nini kwao ulazimiswi kukaa kwao njia nyeupe. Leo hii tukibadilishana wazunguwahamie africa nasi tuamie ulaya baada ya miaka kadha na kwa viongozi wetu hao tutawafuta tena huko africa kama tabia na mifumo ya viongozi wetu hatuta badilisha maisha yatakuwa hayo milele na milele
ReplyDeleteKwa kweli ndugu zangu msitilie maanani hizi taarifa zinazotolewa na vyombo vya habari kama CNN,FOx News,na CBT nkwani hawa wana agenda ya kuwafanya raia wao wasiwe na hamu ya kusafiri nje ya nchi yao ili pesa zibaki kwao.Napenda kuwakumbusha kuwa sababu ya marekani kuvamia Iraq ilikuwa ni kwamba wana WMD na viongozi wao walisamama na kuhutubia dunia nzima kuwa tusipochukuwa hatua za haraka Saadam hatashikika.Na mmoja wa viongozi wa mstari wa mbele alikuwa Vice president Dick Chenney na hivi leo amekanusha kuwa yeye hakusema kuwa iraq wana WMD na kuwa taarifa hizo zilitoka kwa Director wa CIA.Sasa tuwe makini na hawa watu kwa sababu wanampaka Mugabe matope na kumwita Dictator, je mnakumbkua nani walinza kumwita hivi?Jibu ni Saadam ambaye wamemwua yeye na watoto wake bila sababu bali kwa ajili ya mafuta na kuvuruga chanzo cha civilization.Mbona hawaingilii Darfur na wakati watu wanauwawa kila siku bila ya sababu.tusiwe tunashabikia kila wasemalo kwani na sisi hatuko mbali kupewa jina kama la mugabe iwapo tutawapinga sera zao.Kwanza hamshangai kwa nini US inajifanya inpenda nchi yetu kwa sasa wakati walikuwa kipenzi chao ni kenya, n je walikosana nini na majirani zetu?Mugabe sio Mungu lakini alichokifanya na kwa ajili ya raia wake waweze kumiliki mali zao wenyewe.Na sisi mambo yanavyokwenda tutakuja dai kumiliki machimbo yetu ya dhahabu,almasi, mbuga za wanyama ambazo cha kushangaza kunajengwa nyumba za kulala wageni badala ya kunyenga nje ya mbuga ili tuwape nafasi kubwa wanyama wetu.Tumuunge mkono Mugabe na tusiyumbishwe na vyombo vya nje waafrika wote tuwe imara na kushikamana.
ReplyDeleteNashukuru kuwa mchangiaji hapo juu umekiri kuwa hujawahi kuwa Zimbabwe na kwamba unapata kuongea na Mzimbabwe ambaye kaikimbia nchi yake. Mimi nimeshuhudia hali ya Zimbabwe, jamani usitamani siku moja ukalala ukaamka ukajikuta upo huko, utajuta. Hebu fikiria maisha ambayo unaweza kuwa na vijisenti vyako kama mgeni i.e per diem yako unataka kuitumia hupati bidhaa unayohitaji, ukiumwa ndio balaa utaona kama unachungulia kaburi. Hali ilikuwa mbaya zaidi nje ya Majiji ya Harare, Bulawayo na Mutare, kwani huduma zilikuwa hazifikishwi kisa FUEL. Na hata zikifikishwa SHAMWALI (rafiki) huwezi bei za kuruka. Watz kumbukeni enzi zile za maduka ya kaya, uhujumu uchumi. Wenzetu WASHONA wanavyopenda mikate ilikuwa ni baraa tupu siku wakisikia mikate ipo Bakery, foleni familia wanapokezana kukesha, na hata ukiingia utauziwa mkate mmoja tu angalau kila mmoja apate. KATIKA HILI MUGABE HAKWEPI HIZI LAWAMA, MBONA KABLA YA UCHAGUZI MIAKA YA 90, HALI ILIKUWA SHWARI!!! BOB ALIISHIWA SELA HAKUWA NA JIPYA LA KUWAFANYIA WANANCHI MAANA MIUNDO MBINU MINGI ILIWEKWA NA WAZUNGU (SMITH). SASA YEYE AKAONA AJE NA STYLE YA KUDAI MABADILIKO YA KUMILIKISHA ARDHI KWA WAZAWA (LAND REFORM). JAMBO LILIMSHINDA, LIMEMSHINDA NA LITAMSHINDA KULITEKELEZA KWA SABABU KUNA UKIUKAJI WA HAKI ZA BINADAMU SI WAZUNGU TU BALI HATA WAAFRIKA WEUSI ZIMBABWE.
ReplyDeleteINASIKITISHA SAAANA!!! USIPIME! AIBU!!
vyomo vyote vya nje ni propaganda za kishenzi tu,
ReplyDeleteivi iyo democracy ya magharibi ndo kuvamia watu na kuita taifa fulani wendawazimu??
newz chache sana ni positive
lets live ourlives