Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2009

    utapeli wa mtandao wahamia ktk simu kunahawa jamaawana namba hii0033488572848 wanatumiawatu msg inasema hivi congratulations the cell no wanaandika no yako owner of this no won 3000 Euro or special goodies for yourphone please call 0033488572848 for you price hii internationa code kwa uchunguzi niliyofanya ni ya france hawa jamaa matapeli mtu yeyote akipata hii meseji sio deal uzushi wezi watupu na wamepania kweli ktk simu za bongo ndugu yangu kaiforward kwangu manake alijua kawini nikamwambia hawa lazima watakuwa wapopo be carefull

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2009

    Hahahaahahahahaha Mbayaaaaaaaaaa hahahahaaha KIpanya hiyo si mchezo hahahahaha Kipanya Mdogo naona kavaa Malcolm X Hahaaha Angepiga Sokoine mwengine. Kipanya nimeipenda hiyo. Juma.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2009

    Pia kitimoto kina swine flu na Kuku - bird flu.Wht a budget strategy hahahhaha


    Krissie

    Pitt,PA

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2009

    KP Umesahau, Kitimoto ina Swine flu..Tehetehetehe

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 13, 2009

    nimecheka sana, bajeti ya 2009/2010 ni ngumu sana kwa mwananchi.
    hayo ni maisha bora kwa kila mtanzania

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 13, 2009

    Song of the week
    http://www.youtube.com/watch?v=5QnrVJkBKkM

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 13, 2009

    .............. kiti moto kina virusi vya mafua, mchicha wa kisasa una kansa, nafaka zina kisukari, maji y kunywa yana homa ya matumbo........... MHH? Ni kufa tu iliyobaki

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...