Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
utapeli wa mtandao wahamia ktk simu kunahawa jamaawana namba hii0033488572848 wanatumiawatu msg inasema hivi congratulations the cell no wanaandika no yako owner of this no won 3000 Euro or special goodies for yourphone please call 0033488572848 for you price hii internationa code kwa uchunguzi niliyofanya ni ya france hawa jamaa matapeli mtu yeyote akipata hii meseji sio deal uzushi wezi watupu na wamepania kweli ktk simu za bongo ndugu yangu kaiforward kwangu manake alijua kawini nikamwambia hawa lazima watakuwa wapopo be carefull
ReplyDeleteHahahaahahahahaha Mbayaaaaaaaaaa hahahahaaha KIpanya hiyo si mchezo hahahahaha Kipanya Mdogo naona kavaa Malcolm X Hahaaha Angepiga Sokoine mwengine. Kipanya nimeipenda hiyo. Juma.
ReplyDeletePia kitimoto kina swine flu na Kuku - bird flu.Wht a budget strategy hahahhaha
ReplyDeleteKrissie
Pitt,PA
KP Umesahau, Kitimoto ina Swine flu..Tehetehetehe
ReplyDeletenimecheka sana, bajeti ya 2009/2010 ni ngumu sana kwa mwananchi.
ReplyDeletehayo ni maisha bora kwa kila mtanzania
Song of the week
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=5QnrVJkBKkM
.............. kiti moto kina virusi vya mafua, mchicha wa kisasa una kansa, nafaka zina kisukari, maji y kunywa yana homa ya matumbo........... MHH? Ni kufa tu iliyobaki
ReplyDelete