Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2009

    wewe kipanya wewe... utafungiwa kama mwenzako zeutamu. Huyu mjomba hapendi mambo hayo....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 01, 2009

    Kipanya mimi ninavyojua viwanda vingi vya samaki kanda ya ziwa vimejengwa baada ya J.K. Nyerere kuondoka madarakani na vyote ni vya watu binafsi na si mali ya serikali,wakati wa mwalimu ni viwanda vingi sana vilijengwa na serikali kama Mwatex,Urafiki,Tanganyika pekers n.k tofauti na sasa serikali haijengi viwanda.
    Hivyo basi kusema tumuulize Nyerere si haki inatakiwa tumulize Kikwete na ahadi zake lukuki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...