mdau wa ujerumani malumbo s. malumbo (shoto) aliye katika vekesheni hapa bongo akiwa na dansa nyota wa twanga pepeta aisha madinda pamoja na katibu wa bendi na mpiga drums mahiri abou semhando 'baba diana' katika moja ya shoo wikiendi ilopita. baada ya kusumbuliwa na matatizo ya miguu aisha sasa yuko fiti na karudi jukwaani kwa kishindo kuendeleza libeneke

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2009

    AISHA YUPO JUU KWA KUZUNGUSHA MAUNO SEMA AACHE KULA SANA MBUZI WABONGO,MIGUU ITACHOMOKA JUKWAANI HIYO.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 01, 2009

    hiki ni kipindi cha baridi bongo? Naona wadau makoti.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2009

    ni baridi sana..ukija mkoa ndo balaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...