
HABARI KAKA MICHUZI,
POLE SANA KWA KAZI.NAPENDA SANA KUKUPONGEZA KWA JUHUDI ZAKO ZISIZO KUWA NA KIPIMO WALA MWISHO WA KUSAMBAZA HABARI MBALIMBALI MUHIMU KWA WATANZANIA NA WENGINE WOTE DUNIANI BILA KUJALI WAPI WALIPO.
NAPENDA KUKUFAHAMISHA NA PIA NINGEOMBA UWAFAHAMISHE WATANZANIA WOTE NA WADAU WOTE WA BLOGU YA JAMII KWAMBA KUNA BLOGU MPYA INAYO HUSU UBUNIFU NA UELIMISHAJI KWENYE MASWALA MBALIMBALI YANAYO HUSU NYUMBA NA UJENZI KWA UJUMLA(ARCHITECTURAL DESIGNING AS A WHOLE).
BLOGU INAITWA:
AHSANTE SANA NA KAZI NJEMA.
REGARDS,
CASSIAN.J.NG’ITTU,
CEO AND FOUNDER,
SMARTDESIGN360
okk....sasa bro utuwekee na mapicha ya mamiss kwa sanaa
ReplyDeleteuna kifafa wee annon wa #1
ReplyDeletealaaah
bongo kila mtu ARCHITECTURer ukipata hela unabomoa ukuta unaongeza chumba mpk linakuwa gorofa "ndondondo si chururu"
ReplyDeleteunaakili sana wewe,simpaka ungoje uajiriwe na konoike ndo faida ya kusoma nje hiyo you learn & apply creativity & innovation.hatuwezi wote kufungua salon mtaani
unaakili sana kijana kaza mwendo ndio wakina john mashaka wa baadae hawa subirini tu tujengewe mji.
ReplyDeletevery intelligent. atleast umefungua blog inayoelimisha. THUMBSUP
ReplyDeleteI like people like this who got their education abroad and try to come up with new ideas.And u become creative.
ReplyDeletePongezi kwa huyu Architect.
I like it...Mimi napenda nyumba...though architecture sio career yangu lakini napenda sana kutembelea architecture museums etc.....Napenda nyumba za frank Lloyd wright na huyu wa green homes ......kama unapenda extremes home check HGTV wana kipindi chao kila Monday utaona world's extreme homes.... its very fascinating
ReplyDeletecassian nimeshaona blog yako imetulia.
ReplyDeleterose uk