Bro michuzi ,
Thanx so much!! kwa kazi nzuri , maana bila wewe siju tunge pata wapi news! anyways sisi ni wadau wa hapa Atlanta ( kwa Obama) tumefungua kikampuni chetu cha kutengeneza filamu
(www.jake-productions.com)
hivi sasa tuko ukingoni kumalizia filamu yetu ya kwanza ambayo imeigizwa na Lambert "Lbt" Tibaigana na Tuni Ngigi(kutoka kwa watani wa jadi kwa mzee Kibaki) basi kwa hayo machache pokea picha katika moya ya scene ya movie..
wako Wadau
www.jake-productions.com
Great start!
ReplyDeleteWadau wanajitahidi! nimewaaminia, ila website iko slow kidogo! Kazi nzuri!!!
ReplyDeleteNimeishiwa maneno na mdomo Umejaa mate, nashindwa hata kupigwa na butwaa. HONGERENI kwa kazi nzuri.
ReplyDeleteKwa mara kwanza Nimeona KAZI ILIYOKAMILIKA NA KUWA NA MVUTO WA HALI YA JUU kutoka kwa waswahili wenzangu...
Nakutakieni kila la kheri.. Natumai tutazidi kuwasiliana, ntawatumia email kupitia site yenu. Mimi Ni mmoja ya wanafani hii kutoka UK. Mungu akipenda tutafanya kazi pamoja.
Hongereni tena na tena.
YAANI KAZI IPO HAYA NI MAKUBWA CHA KUSEMA KIMYA.
ReplyDeleteHii kitu poa washikaji. Haya ndio mambo tunayoyataka sio kila siku pombeee tuuu! Keep up ATL's!
ReplyDeleteKatika filamu yote hii ndiyo picha nzuri kupita zote
ReplyDeleteSawa,ndio iliyobaki, natumai mtatumia fursa hiyo kukitangaza Kiswahili!
ReplyDeletegood idea lakini kitu gani kitafanya movie yenu kuvutia ? kuna movie nyingi sana, lazima mtafute kitu kitakachowatofautisha na movie nyingine za ki gangsta push yourself to be different
ReplyDeleteof all the people...?
ReplyDeletejiranizzz wetu
ok vijana keep the gd work
No dream is beyond reach in the United States of America.
ReplyDeleteGo For It!
Kajikampuni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
ReplyDeleteTiba "LBT" album inatoka lini mwana? nimekuaminia nyimbo zako mistari imesimama halafu production iko juu! hebu fanya mambo, na usiache kukandamiza kiswahili wengi wanapotea kama majirani wanajaza ngeli tu kiswahili no!
ReplyDeleteTibaigana huyu huyu wa TAMBAZA enzi za mzee mzima Oluoch?
ReplyDeleteWow u guyz rock jamani,mko juu vibaya na mnawakilisha,mi nawatakia kila la heri,lbt hiyoo yani mia kwa mia kaka.
ReplyDeleteLBT ndiye yeye frm Tambaza to Texas.Good job, mwanangu.
ReplyDeleteMwanangu LBT na mwanangu JM, nawatakia mafanikio mema na mungu atawajalia nyinyi pamoja na wenzenu wote mnaofanya kazi pamoja katika JAKE PRODUCTION. Nimependa quality ya movie ni ya juu na sauti imechujwa ikachujika.
ReplyDeleteTanzania-hollywood
ReplyDeletekazi ni kazi
asante