Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2009

    kupanga ni kuchagua. ukichagua ovyo mambo yankuwa hovyo hovyo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2009

    Ujumbe wanapewa tatizo akili zao zinafikilia UFISADI na urasimu usiokuwa na sababu. MUNGU TUSAIDIE.

    I`m just say.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2009

    Mjadala huo ulifungwa zamani. Vyombo vya habari, wafanya biashara, wanasiasa, wamepiga keleleeeeeee, wameshindwa. Lakini ukweli ndiyo huo, Kuna meli zinapita na mzigo hapo hapo DSM, zinakwenda kushusha Mombasa, na unasafirishwa hadi Dar kwa magari. jamaa zangu kibao pia hushusha magari yao Mombasa, na kuyaleta Dar kwa barabara. Achilia mbali biashara za nchi jirani tunazokosa!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 11, 2009

    Wameambiwa long time...tumieni bandari za Mtwara na Tanga lakini bado tu! Jamani hivi vichwa vya viongozi wetu vina mchanga au nini?
    Wawekezeji wapo tayari kuja kuimarisha miundombinu ya bandari hizi lakini wao bado tu wanashikila Dar! Chonde Chonde jamani!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 11, 2009

    hapo mbuzi anapigiwa gita lakini ujumbe umewafikia.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 11, 2009

    Yaani huwezi amini, bandari na tra wameanzisha online system ya kuprocess mizigo, lakini kila siku server zipo down kwa masaa 4-6 na hivyo kusababisha mwenye mzigo kulipa storage fee ktk bandari na shipping line, yaani inatia hasira na kukatisha tamaa kabisa kushusha mzigo bandari ya dar.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 11, 2009

    mimi naona wote wawajibishu kwakuwa hawawezi kazi, mizigo yangu imekaa miezi miwili na nusu kwasababu wanataka wanitose laki nne ya person effects za bi mkubwa hata gari hawajui ushuru pesa ngapi mpaka wahulize supply wao wa uk kwaemail,hiyo ndio titcs tunamachungu basi tu tutarudi turekebisha wenyewe wakereketwa.
    Kinachoniuma nafanya same job in uk (custom officer)ya kucharge mizigo inayotoka all over the world lakini hatumii muda hivyo.
    Kama mzigo unakwenda stores hutatumia siku tatu maximum.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 12, 2009

    heri mombasa kuliko dar...

    yani wanang'oa vifaa katika mali ao khaaaaa kama wameambukizwa VIRUS

    yan inakatisha tamaa sana,

    hizi biashara za mtandao izi???

    siku ipo tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...